To be honest nyimbo mbaya..an frm da song level zake sio za kushindana na diamond tena..akashindane na kina rich mavoko sasa
Kwa mtazamo wangu huyo mondi mwenyewe kwa Rich Mavoko hasogei! Labda tu mseme kama msemavyo tatizo nyota though management nayo inachangia.
Itakuwa kishumundu,sijui iko mkoa gani vile?
Sikatai rich movoko knows to sing ila diamond anawazidi creativity...nyota...na diamond anatuliza akili sana b4 doing smthin....
The truth is dat Ally kibba anapata un necessary prom kutoka media....!
Mi nasikiliza SIKINDE tu.
Kwa mtazamo wangu huyo mondi mwenyewe kwa Rich Mavoko hasogei! Labda tu mseme kama msemavyo tatizo nyota though management nayo inachangia.