Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

tatizo mishabiki ya ndomo minafiki sana na wivu vinawasumbua plus roho mbaya,nyimbo inaubaya gan ile sasa,nyimbo kali sana tena sana,acheni ushabiki maandazi.

Hahaha
 
Nyimbo sio nzuri hata kidogo. Wabongo 2nashindwa kuwaambia ukwel wasanii wetu tunajidai die hard fans" Ile nyimbo iko normal ad mashairi yke melody very normal song ambayo sio yakiushindani kama alivyojiweka. Nyimbo zke 2 zimevuja na hii katoa official sioni future yke huyu jamaa. Mwenzake zikivujaga Jiwe akitoa official ndo balaa. Ajipange kiba niljua angempa sna Ushindan diamond lkn wapi. Kiba zaman bana.

Kuna watu wana macho ila hawaoni, wana makalio ila hawakai ...usitegemee kina cc nifah watakubali hii nyimbo ni mbaya
 
Alaf hii nyimbo ya chekecha cheketua ya Kiba cover song yke sikuona wasanii wenzake wakishare sna IG kama zilivyo nyimbo nyingne hawakuipa promo zaid yke yy mwenyewe kupost na kuipa promo B4. Note Kiba hajamfollow msanii yoyote IG hata mtu yoyote so nadhani pia na wasanii wenzake hawajamfollow pia inakua ngumu sna kumpa sapport. Na sijuo kwa nn aliUnfollow watu wote aft Mwana bcome a hit song. I thk if Kiba angekua level kama aliyokua mwenzake cjui ingekuaje. Not hating jus sayng 2.
 


Hat-off to King Kiba kwa hili songi...liko kiBongo, linachangamsha, linachezeka, na meseji nzito..a total package! This is club banger kuanzia Ijumaa hii ijayo!
 
Last edited by a moderator:
Tabu ya kukulia Mikoani, ni kwamba Vitu vingi sana unakuwa HUVIELEWI!
 
Kuna watu wana macho ila hawaoni, wana makalio ila hawakai ...usitegemee kina cc nifah watakubali hii nyimbo ni mbaya

Hahahaaa, ungenimention tu kijana...wasiwasi wa nini?
Wimbo mzuri hutaki unaacha tu maana hata ukisema mbaya haupunguzi chochote.
 
jamaa anajua sana mziki lakini hiki kijamaa cha tandale kimeamua kufanya kweli
 
emotion ni mbaya ali k kafanya poa ila kwa ukawaida sana na hi competition inampa stress ya kufanya aimbe muziki wa kawaida eti bora watu wacheze
 
Sikatai rich movoko knows to sing ila diamond anawazidi creativity...nyota...na diamond anatuliza akili sana b4 doing smthin....The truth is dat Ally kibba anapata un necessary prom kutoka media....!
Hapo kweny creativity I half-agree.....unless niwe nimeelewa tofauti.Nitoke vipi? Niwateke vipi? Nifanyeje ili niendelee kuwa gumzo? Nianzeje?Ndo style ya MondiGood for him......kuendelea kumaintain na kutengeneza fan base ya kutosha na vichupa vikali imekuwa nyenzo na silaha madhubuti kwake.As for Kiba nilichokiona mimi.....hata kuwe na zero promotion kipaji chake kitambeba daima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom