Machmadem
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 758
- 944
Naona wimbo unapigwa Wasafi TV, je ni nani alieupeleka huko ama wameiba mtandaoni? Je Alikiba ana haki ya kuwashtaki kwa kupiga wimbo wake bila ridhaa ama zile sababu za kukataa kualikwa tamashani hazihusiki kwenye TV yao.
Nimejikuta nawaza ile sheria ya media kumlipa msanii ambae wimbo wake utasikika iliishia wapi!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
no 1 on trending 800k views within 24hrs.wewe kaa kibarazani ukiendeleza majungu.wimbo umepoa utaishia kuusikiliza ww n mkeo chumban una mwimbia dodo
Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
Mkuu unaoleta wewe ni uadui si ushindani wa game inamaana ali akitaka kuimba na rayvanny au konde boy itakuwa nikosa kubwa.kwakuwa ni wasanii wa wcb..acheni wivu wa kike.mbona tanasha alikuwa video vixen wa alikiba na baadae akatoka na mondi ulisikia watu wakipiga domo..mobeto pale yupo kazini kama ilivyo kuwa kwa tanasha.Mwanzo nilikua naamini Ali kiba hapendi kabisa kujihusisha na maswala ya diamond lakini naanza kuamini sio kweli.
tukiachilia mbali swala la hamisa mobeto kuwa mwanamitindo wa video wanawaita “video vixen” , they way Ali kiba alikuwa anaji-portray kutokutaka kuhusishwa na chochote kuhusu diamond aliwaaminisha wengi kuwa yeye huwa hana time na attentions zisizozuwa na msingi kwake.
lakini huenda upepo unavyoenda inaonekana ameshindwa na inabidi ili abaki kwenye game walau kwa miaka kadhaa ijayo ni lazima asake attentions.
Wapo wataosema hamisa ni video vixen Kama wengine lakini kwa Ali kiba alivyotuaminisha alikuwa sio wa kumtumia hamisa kwenye hii video , anahitaji Ipate promotion ya kutosha, Je ali kiba ameamua kufanya janja janja (opportunist) sawa na diamond anavyofanyaga?
Toka lini umeanza kuwa shabiki wa Ali kiba ww [emoji41]
😄😄😄 Jina tu linasakidiki unafiki wako.
Yeye kauliza swali hajatoa mtazamo wake😄😄😄 Jina tu linasakidiki unafiki wako.
ulisoma hii post 👇 umeelewa nn hapa kwenye haya maelezo mzee 😎Yeye kauliza swali hajatoa mtazamo wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nafunga Mada Mjadala huu Umefungwa
Haya Maoni Ya Mkuu Huyu Yamewakilisha wengine[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye alianza kutoa mada bila hata mada yake kutoa mtazamo ila baada ya wadau kumchokoza ndo akamwaga mambo.ulisoma hii post 👇 umeelewa nn hapa kwenye haya maelezo mzee 😎
Ndio maana nikasema huyu Chibudee ni mnafki jina tu ni nickname ya diamond sasa hapa kuna chakujadili mzee.Yeye alianza kutoa mada bila hata mada yake kutoa mtazamo ila baada ya wadau kumchokoza ndo akamwaga mambo.
Sema alikiba kama anafungua biashara ya kuuza juice pale kariakoo au karume or machinga complex,zitatoka kishenzi yan kwa nnavomuonaAlishachuja zamani sn kiba.....aachane na kuimba
Hahaaa......Sema alikiba kama anafungua biashara ya kuuza juice pale kariakoo au karume or machinga complex,zitatoka kishenzi yan kwa nnavomuona
Kwani nae diamond amewahi kupata Hilo tatizo la kupungua kwa viewers?Naona kule Youtube viewers wameporomoka kutoka 947K had kufikia 798K, sa cjui na yeye huwa ananunua viewers kama alivyomnanga Chibuu..???