Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba is super talented....anaimba amerelax, anaflow poa, sauti taamu na melody ya hatari.... ni vile sio lazima binadamu wote tuelewe with the same intense....ila Najivunia kumuona Ali anaimba tangu enzi zile mpaka sasa na bado haniangushi!....Keep going Alikiba, keep going bro! Hata usipofanya muziki kwaajili ya wengi, fanya kwaajili yetu wachache tunaopenda good music...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo nilikua naamini Ali kiba hapendi kabisa kujihusisha na maswala ya diamond lakini naanza kuamini sio kweli.

tukiachilia mbali swala la hamisa mobeto kuwa mwanamitindo wa video wanawaita “video vixen” , they way Ali kiba alikuwa anaji-portray kutokutaka kuhusishwa na chochote kuhusu diamond aliwaaminisha wengi kuwa yeye huwa hana time na attentions zisizozuwa na msingi kwake.

lakini huenda upepo unavyoenda inaonekana ameshindwa na inabidi ili abaki kwenye game walau kwa miaka kadhaa ijayo ni lazima asake attentions.

Wapo wataosema hamisa ni video vixen Kama wengine lakini kwa Ali kiba alivyotuaminisha alikuwa sio wa kumtumia hamisa kwenye hii video , anahitaji Ipate promotion ya kutosha, Je ali kiba ameamua kufanya janja janja (opportunist) sawa na diamond anavyofanyaga?
Walimwengu mnataka nini?..akifanya anavyofanya mnasema kazubaa akitwist kama hivi opportunist duuuh walimwengu nimewavulia kofia tena kofia nlovua ya MKEKA...ALIFANYA NA TANASHA DONA KWENYE NAGHARAMIA BAADAE DIAMOND AKAJA KUZAA NAE enhe na hapo unasemaje Mwl kashasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuja lini mjini?

Hao wote kiba anaanza nao kikazo na diamond anabeba, mobeto na kiba washakutana na kufanya kazi miaka kumi imepita, kabla wewe haujamjua mobeto, Tanasha kaibuliwa na Kiba ndio akaja kaka yako.Kiba na Jokate wamekutana projects za wanyama

Kosa la diamond basi........

Mkuu hapa umechemka
Tena umempa za uso haswaa huyu kiswaswadu, kajfany mjuaj kumbe mgen wa jiji, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba is super talented....anaimba amerelax, anaflow poa, sauti taamu na melody ya hatari.... ni vile sio lazima binadamu wote tuelewe with the same intense....ila Najivunia kumuona Ali anaimba tangu enzi zile mpaka sasa na bado haniangushi!....Keep going Alikiba, keep going bro! Hata usipofanya muziki kwaajili ya wengi, fanya kwaajili yetu wachache tunaopenda good music...

Sent using Jamii Forums mobile app
Woyoooooooooh, Kiba 4 real

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndiyo muziki sasa siyo ule upuuzi wa dabreyusibe
Niaje wakuu

Hivi huyu King Kiba anakwama wapi aisee? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya Femi one na Mejja.

Yaani King Kiba mpaka Wakenya siku hizi wanakupita? Hebu badilika basi

Yess bishoo hasWaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washikaji wengi ni wanafiki kweli...huwezi muacha rafiki yako akatoa nyimbo kama hii katika kipindi kama hiki cha stay at home!!!
Sema ndo vile jamaa hapendi show off ana nyimbo kali zaidi ya hii ila kaamua tu kuzisikiliza mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba is super talented....anaimba amerelax, anaflow poa, sauti taamu na melody ya hatari.... ni vile sio lazima binadamu wote tuelewe with the same intense....ila Najivunia kumuona Ali anaimba tangu enzi zile mpaka sasa na bado haniangushi!....Keep going Alikiba, keep going bro! Hata usipofanya muziki kwaajili ya wengi, fanya kwaajili yetu wachache tunaopenda good music...

Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii gani mkubwa duniani anafanya muziki kwa ajili ya watu wachache?
Si akaimbe karaoke huko
 
Nyimbo kali mashairi hayana matusi video unaweza angalia hata na watoto sebuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watoto wataenda kwenye shows?
Hao watoto wata-stream muziki wake YouTube?

Uzee zee wenu pelekeni kushoto hapa ni kulainisha na kuzamisha ngi ngi plus miuno ya sotojo.
Asili ya ujinga ni chuki Bright aliimba
 
Walimwengu mnataka nini?..akifanya anavyofanya mnasema kazubaa akitwist kama hivi opportunist duuuh walimwengu nimewavulia kofia tena kofia nlovua ya MKEKA...ALIFANYA NA TANASHA DONA KWENYE NAGHARAMIA BAADAE DIAMOND AKAJA KUZAA NAE enhe na hapo unasemaje Mwl kashasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjanja ni yule aliyeona mia mbili au aliyeokota mia mbili?

BTW Diamond kampata Nasha NRG sio kwenye nyimbo ya kucheza golf
 
Msanii gani mkubwa duniani anafanya muziki kwa ajili ya watu wachache?
Si akaimbe karaoke huko
Hiki tu ndoulichokiona tu? Binadamu hata ufanye jema gani kuna watakaokupinga tu!
Sasa wew unateseka na nini? The world is full of choices, hulazimishwi kuchagua kimoja wala hatuwezi kuwa sawa....

Usipende kukosoa wenzio wakati wew hakuna ulilofanya juu ya kitu kilekile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hivi kakorofishana na Man Water na Abydad basi tutegemee maboko tu
 
playboy babu mbona una hasira sana hupendi mumeo kiba aambiwe ukweli?? kwakua ashawahi kua international artist now hataki tena??

any way baki humo humo na endelea kumtetea mumeo ili uupate mgegedo wa kila siku AMIIIN.
 
Back
Top Bottom