Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Siku diamond akifa ndo utakuwa mwisho wa ALI KIBA kufahamika, nimeview huu wimbo kwasababu tu kuna watu huwa wanamfananisha na diamond.

Yatatokea yalotokea kwenye bongo movie
Mashabiki wasioijua Sanaa walimpambanisha KANUMBA na Rey, Leo KANUMBA hayapo, hata hizo movie za Rey hawaangalii[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga ni yule anayehifadhi chuki..maana kwa ujinga wake anaumia kwa vitu ambavyo hata havimuhusu..mbaya zaidi unaponda kitu huku moyo unakuuma,hakuna binadamu anaye weza mpandisha wala kumshusha mwenzie.kwa hili goma nampa salute ali G.O.A.T🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐
 
Niaje wakuu



Hivi huyu King Kiba anakwama wapi aisee? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya Femi one na Mejja.

Yaani King Kiba mpaka Wakenya siku hizi wanakupita? Hebu badilika basi

Yess bishoo hasWaaaa
Trending namba 1000 endelea kupiga domo
Screenshot_2020-04-08-16-20-43.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu pekee kanivutia ni kajitahidi sana kubadilika kwenye video zake sikuhizi zipo tofuti mno na zamani.!
Siyo kama alikuwa hataki kubadilika Bali yeye yupo kwenye transition ambayo wenzake walipitia miaka mitatu minne ilopita. Yaani yeye Akili yake iko kinyume na wengine, kama ni dent basi ni very slow Lerner!
 
Mkuu binafsi sijauelewa huu wimbo sema utakiki kwasababu kuna Mobetto, but huyu jamaa inatakiwa atulie apunguze panic. Mziki ni kupanda na kushuka akubali tu kwamba kashuka. Mimi namshauri kama yupo humu ndani aanze upya kuimba yaani awe underground akubali kwenda studio kujipima uwezo asitoe nyimbo kwanza.
.
.
Maendeleo hayana vyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamini mchawi sio lazima apae na ungo, unasemaje Kiba amepanic wakati miezi 6 imepita tangu atoe wimbo wake wa mwisho kabla ya huu?

Punguza njaa.

Go Kiba Gooooo.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Niaje wakuu



Hivi huyu King Kiba anakwama wapi aisee? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya Femi one na Mejja.

Yaani King Kiba mpaka Wakenya siku hizi wanakupita? Hebu badilika basi

Yess bishoo hasWaaaa

Mwanzo nilikua naamini Ali kiba hapendi kabisa kujihusisha na maswala ya diamond lakini naanza kuamini sio kweli.

tukiachilia mbali swala la hamisa mobeto kuwa mwanamitindo wa video wanawaita “video vixen” , they way Ali kiba alikuwa anaji-portray kutokutaka kuhusishwa na chochote kuhusu diamond aliwaaminisha wengi kuwa yeye huwa hana time na attentions zisizozuwa na msingi kwake.

lakini huenda upepo unavyoenda inaonekana ameshindwa na inabidi ili abaki kwenye game walau kwa miaka kadhaa ijayo ni lazima asake attentions.

Wapo wataosema hamisa ni video vixen Kama wengine lakini kwa Ali kiba alivyotuaminisha alikuwa sio wa kumtumia hamisa kwenye hii video , anahitaji Ipate promotion ya kutosha, Je ali kiba ameamua kufanya janja janja (opportunist) sawa na diamond anavyofanyaga?
 
Back
Top Bottom