Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Umeuonaje wimbo mpya wa Alikiba?

A: Amepatia
B: Sio mzuriView attachment 1414053

Sent using Jamii Forums mobile app
. Kama kuna kitu Ali kiba alichokuwa anakosea ni Maudhui ya video kuendana na anacho kiimba.Ila kwa huu wimbo kiukweli kanisuprise kabisaa, naweza sema Characters Wa video hii na mazingira pia shooters walijipanga kwan ni video unaweza itazama icikuchoshe.Tukija katk audio nadhan ni muendelezo Wa Kiba yule yule mwenye mashair yasiyo kupa mashashaka yakusikiliza na rika tofaut na yapo wazi.Kikubwa Ali Kiba anapaswa kubadili aina ya Bits amazotumia kwa sasa kwan zimepoa sana hivyo kibiashara kwake inaweza isimsaidie,Tukitazama hata nyimbo zilizokimbiza karibuni ambazo ni AJE, na SEDUCE ME nilikuwa na mapigo ambayo yalimfanya msikilizaj ainjoy na kuucheza pia.Alikiba ni msanii mkubwa mwenye kipaj kikubwa anayekosa washaur sahih Wa kaz zake.Naamin kama angekuwa serious kuwekeza katk mziki wake angefanya makubwa sana.
 
We ndo unaujua mziki sasa

Umeongea point kubwa Sana jamaa anashindwa kufanya mziki utaopendwa na wengi mfano mzuri ngoma yake hii atachukua hata wiki moja itapotea
 
. Kama kuna kitu Ali kiba alichokuwa anakosea ni Maudhui ya video kuendana na anacho kiimba.Ila kwa huu wimbo kiukweli kanisuprise kabisaa, naweza sema Characters Wa video hii na mazingira pia shooters walijipanga kwan ni video unaweza itazama icikuchoshe.Tukija katk audio nadhan ni muendelezo Wa Kiba yule yule mwenye mashair yasiyo kupa mashashaka yakusikiliza na rika tofaut na yapo wazi.Kikubwa Ali Kiba anapaswa kubadili aina ya Bits amazotumia kwa sasa kwan zimepoa sana hivyo kibiashara kwake inaweza isimsaidie,Tukitazama hata nyimbo zilizokimbiza karibuni ambazo ni AJE, na SEDUCE ME nilikuwa na mapigo ambayo yalimfanya msikilizaj ainjoy na kuucheza pia.Alikiba ni msanii mkubwa mwenye kipaj kikubwa anayekosa washaur sahih Wa kaz zake.Naamin kama angekuwa serious kuwekeza katk mziki wake angefanya makubwa sana.
Aje mpaka kesho naielewa sana sana remix...

Ila watu wa kiba mnabase sana kwenye rika tofauti tofauti jaman nyimbo nyingine za club na getto kuangalia kama mtoto kweli alipewa na mamaake kiuno au na babaake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

By the way wote wanatafuta kwa nafasi yao,tuappreciate juhudi za mtu katika utafutaji wake..Nakubali kwa hatua wanazopiga
 
Kwamba wimbo ukipoa unakuwa sio mzuri..

Au neno ' kupoa ' kwako linatafsiri ipi mkuu..

Tuanzie hapa kwanza..
Issue ipo ukitaka kuwini mziki wa bongo na watanzania wengi tengeneza vitu hiv viwili kwa ufasaha beat nzuri, Melody nzuri mashairi hata ukinzingua sio mbaya haijalishi unafanya mziki wa slow au wakuchangamka ngoma ya Raha ya Mario ni ya slow lakini imehit cos beat yake ni nzuri na Melody ni Kali ingawa pia Ina mashairi mazuri, ngoma ya diamond baila ni slow lakini ilihit kwenye kipindi hiki hiki cos alitengeneza Melody Kali na ngoma Ina beat nzuri ingawa pia Ina mashairi mazuri.Tukija kwa kiba alichofeli kwenye ngoma yake hii ni beat ya wimbo sio nzuri ukiangalia pia Melody ya wimbo sio mzuri ingawa mashairi ni mazuri ukishafeli kwenye beat na Melody ni ngumu kwa ngoma yako kupendwa na wengi especially vijana na hapa ndio alipokwama.
 
Taja nyimbo5 za alikiba unazozikubali..

Taja nyimbo5 za diamond usizozikubali..

Nataka ninote kitu hapa..
 
Taja nyimbo5 za alikiba unazozikubali..

Taja nyimbo5 za diamond usizozikubali..

Nataka ninote kitu hapa..
1.Mwana
2.My everything
3.Aje
4.Far away
5.Dushelele
ila sijapanga kimpangilio hapo kwa Kiba

Diamond sizipendi ngoma mbili tu za kwake
1.baba lao
2.kidogo
 
Huwezi linganisha Jeje na Dodo.
King Kiba kabugi hapa.
 
1.Mwana
2.My everything
3.Aje
4.Far away
5.Dushelele
ila sijapanga kimpangilio hapo kwa Kiba

Diamond sizipendi ngoma mbili tu za kwake
1.baba lao
2.kidogo

Unaweza nipa fact kwann huipend Baba lao ( iliyochangamka ) na ukaipenda Dushelele
 
Back
Top Bottom