Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Hiki tu ndoulichokiona tu? Binadamu hata ufanye jema gani kuna watakaokupinga tu!
Sasa wew unateseka na nini? The world is full of choices, hulazimishwi kuchagua kimoja wala hatuwezi kuwa sawa....

Usipende kukosoa wenzio wakati wew hakuna ulilofanya juu ya kitu kilekile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Muziki anafanya ili aendeshe maisha yake au anafanya tu ili kujifurahisha?

Nyie watu sijui mkoje mtu hadi alipambania tuzo aliyopewa Wizkidayo kimakosa uje utuandikie hapa eti anafanya muziki kwa ajili ya watu wachache are you on cracks?
 
Ttz lenu mnataka kiba sijui aimbe vipi yeye anajitambulisha kwa mziki wa aina yake tofauti mondi. Mara nimpakie mgando, cjui niipake wese, niipate mate yaan jamaa kawa mtabibu wa nguvu za kiume.
 
Moja ya nyimbo za Ally ninazoweza weka repeat DODO bi mmoja wapo nimeupenda

sana wimbo huu,mimi huwa audio ikiwa nzuri video nayo naionaga nzuri tu ila huu

wimbo wa zuchu wana sijauelewa yani kama ni marks naupa F,wimbo pekee wa Zuchu ninao

weza upa 100% kwa jinsi ulivyo mtamu ni KWARU,huu wimbo na dodo wa Ally na kayumba Mama

ndio playlist yangu pendwa siku hizi,mpk nikizikinai ndio ntabadilisha Playlist niongeze nyingine.
 
Back
Top Bottom