Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,572
- 6,209
Acha kuongopa, mshumaa ni kali 7x70Nyimbo Kali sana imefunika Mshumaa Mara 90%
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongopa, mshumaa ni kali 7x70Nyimbo Kali sana imefunika Mshumaa Mara 90%
Wala sio chuki ni ukweli unaoonekana wazi, kuhusu suala la spelling mistake binadamu yoyote anafanya. Chill sikiliza nyimbo ya msanii wako pendwa, unaonekana ni shabiki wa damu ambae hata kwenye show za ali kiba huwa huendi😂Punguza chuki na nyege ndipo uandike vzr THEY WAY ndo nini
Point notedWaliozoea kuona mavideo vixen wako uchi huu wimbo watasema mbaya[emoji28][emoji28][emoji1321]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ali Kiba aje nimtungie nyimbo mbili bure akishindwa kufanya vizuri anikate kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] Wabongo mna vituko sana.. Ww umtungie nyimbo kiba
Hivi ni LERNER kweli???... Kwikwikwiiiiiiii kuandika shughuli kumuelewa Kiba utaweza wapi??Siyo kama alikuwa hataki kubadilika Bali yeye yupo kwenye transition ambayo wenzake walipitia miaka mitatu minne ilopita. Yaani yeye Akili yake iko kinyume na wengine, kama ni dent basi ni very slow Lerner!
Kuna mtu anaimba kaswida kama lavalava kajambe ulale..qaswida melody zinamponza kiba, kwa mtindo huu atasalia kua local artist intaneshino atapasikia kwa media
Alishakuwa international kabla huchagui pa kunya hadi Leo ukibanwa unatafuta faragha hayo maneno mwambieni Mbosso, marioo siyo KING kunguni pori.qaswida melody zinamponza kiba, kwa mtindo huu atasalia kua local artist intaneshino atapasikia kwa media
Hao hadi wasikie INAMA NIKUPACHIKE RUNGU,NILITEMEE MATE ndo wanaonaga nyimbo tofaut na hapo hawaelew wasikuumize kichwa goma linatrend namba moja hakuna cha MISS BUZA wala MISS TANDALE huko u tubuni.Mbona melody ya nyimbo ni nzuri tu au ulitaka sampuli ya UNO????
Te Amo ndo nn?...rayvan ana wimbo unaitwa te Amo??..kaendelea kubana pua au hii kajikaza kidogo kama zamani nsije download nikajuta maana siku hizi dogo kaamua kuimbia pua.Usifananishe Teamo na Huu upuuzi alioutoa Kiba
Makonda alikuwa anapiga kelele tu watu wasizurure DAWA YA KUTOZURURA NI DODO tunaiskiza Mara 10/10 tukiwa tumetuliaaaaaNimeamini mchawi sio lazima apae na ungo, unasemaje Kiba amepanic wakati miezi 6 imepita tangu atoe wimbo wake wa mwisho kabla ya huu?
Punguza njaa.
Go Kiba Gooooo.
The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Bongo bhana sasa ile nyimbo ina ubaya gan wakati for the first time nineona sherria za uandishi zimefatwa mule na uhakika hajaandika yeye ile nyimboMkuu binafsi sijauelewa huu wimbo sema utakiki kwasababu kuna Mobetto, but huyu jamaa inatakiwa atulie apunguze panic. Mziki ni kupanda na kushuka akubali tu kwamba kashuka. Mimi namshauri kama yupo humu ndani aanze upya kuimba yaani awe underground akubali kwenda studio kujipima uwezo asitoe nyimbo kwanza.
.
.
Maendeleo hayana vyama
Sent using Jamii Forums mobile app