Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Wekeni lyrics hapa.. Wengine tunapenda Zaidi mashairi kuliko ktu kingine..
 
Naona wimbo unapigwa Wasafi TV, je ni nani alieupeleka huko ama wameiba mtandaoni? Je Alikiba ana haki ya kuwashtaki kwa kupiga wimbo wake bila ridhaa ama zile sababu za kukataa kualikwa tamashani hazihusiki kwenye TV yao.
Nimejikuta nawaza ile sheria ya media kumlipa msanii ambae wimbo wake utasikika iliishia wapi!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wimbo si mzuri kivile, labda kadri nitakavyoendelea kuusikiliza mara kwa mara unaweza ukanibamba
 
Washabiki wa Kiba wako tayari kufa kwa ajili yake...

Yani they dont give a fkuc...

Anyway.

Ila amezingua sana kumfanya huyo kima kAMa video queen... Kutafuta kiki za kipuuzi.

Kwa level zake wimbo ni wa kawaida sana. Wala hauvuki boda.
 
Ali Kiba hapendi kujionyesha tu,nicki Minaj kampigia sana simu King Kiba ili awe japo hata video vixen tu kwny huo wimbo jamaa akamchomolea nje akaona bora amchukue Mobeto.

Ametanguliza maslahi mapana ya nchi yetu,ni mzalendo na hapendi kujionyesha.
😀😀😀😀 Robidinyo
Na kwa style hii nyimbo ijayo amtafute Tanasha au Zari wawe mavideo vixen wakeinaweza kumsaidia.
 
Naona wimbo unapigwa Wasafi TV, je ni nani alieupeleka huko ama wameiba mtandaoni? Je Alikiba ana haki ya kuwashtaki kwa kupiga wimbo wake bila ridhaa ama zile sababu za kukataa kualikwa tamashani hazihusiki kwenye TV yao.
Nimejikuta nawaza ile sheria ya media kumlipa msanii ambae wimbo wake utasikika iliishia wapi!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mambo hayo hukohuko mkuu. Kibongobongo msanii ndio anatoa rushwa kwa Media ili kazi zake zisikike. Au unaota tu?
 
Naona anataka azungumzwe ndo maana kamweka Hamisa

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Naona wimbo unapigwa Wasafi TV, je ni nani alieupeleka huko ama wameiba mtandaoni?
Umewahi kujiuliza lini Chris Brown ameleta nyimbo Tanzania kama hajawahi mbona unazisikia na kuzitazama?

Je Alikiba ana haki ya kuwashtaki kwa kupiga wimbo wake bila ridhaa ama zile sababu za kukataa kualikwa tamashani hazihusiki kwenye TV yao.
Hana haki ya kuwashitaki ila ana haki ya kuwaambia wasipige kwa kuwaandikia barua na wataacha mara moja ila hajawahi.

Nimejikuta nawaza ile sheria ya media kumlipa msanii ambae wimbo wake utasikika iliishia wapi!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sheria ya mirabaha Tanzania ipo ila ni mfu haifanyi kazi.
Na siku ikisimamiwa kikamilifu ndio siku Bongo fleva itaanza kufa.

Maana media haiwezi kumlipa underground eti ili icheze nyimbo yake watalipwa waliopo kwenye main stream tu. Muziki wa Kenya ulikufa kwa sababu hii ya haya mamirabaha
 
Hii miziki yake inachosha habadiliki na alivyo hajui kucheza,alikiba ni vizuri aimbe kwaya tu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Back
Top Bottom