Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Nimeamini mchawi sio lazima apae na ungo, unasemaje Kiba amepanic wakati miezi 6 imepita tangu atoe wimbo wake wa mwisho kabla ya huu?

Punguza njaa.

Go Kiba Gooooo.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Kukaa kote kimya alafu bado anatoa ngoma mbaya
 
Mwanzo nilikua naamini Ali kiba hapendi kabisa kujihusisha na maswala ya diamond lakini naanza kuamini sio kweli.

tukiachilia mbali swala la hamisa mobeto kuwa mwanamitindo wa video wanawaita “video vixen” , they way Ali kiba alikuwa anaji-portray kutokutaka kuhusishwa na chochote kuhusu diamond aliwaaminisha wengi kuwa yeye huwa hana time na attentions zisizozuwa na msingi kwake.

lakini huenda upepo unavyoenda inaonekana ameshindwa na inabidi ili abaki kwenye game walau kwa miaka kadhaa ijayo ni lazima asake attentions.

Wapo wataosema hamisa ni video vixen Kama wengine lakini kwa Ali kiba alivyotuaminisha alikuwa sio wa kumtumia hamisa kwenye hii video , anahitaji Ipate promotion ya kutosha, Je ali kiba ameamua kufanya janja janja (opportunist) sawa na diamond anavyofanyaga?
Video kubwa zote na zilizo hit Sana Africa za mond hazina video queen maarufu wa Tz ila wadau wameshangaa kwa Kiba kumtumia hamisa mobetto inaweza ikawa kweli anataka attention ya ngoma yake.
 
Kazi kwenu. Team domo
Screenshot_20200408-180136.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video ya Ali Kiba ambapo video queen ni Tanasha (mzazi mwenzake Diamond).

Hii video mpya nayo video queen ni mzazi mwenzake na Diamond.

Ali Kiba amewahi kutoka na Jokate (x wa Diamond).

Kwenye wimbo wa Aje, Ali Kiba aliwahi kumwimba Wema Sepetu (x wa Diamond).

Ali Kiba ajifunze kutafuta cycle nyingine nje ya ile inayomhusu Diamond.

Umekuja lini mjini?

Hao wote kiba anaanza nao kikazi na diamond anabeba, mobeto na kiba washakutana na kufanya kazi miaka kumi imepita, kabla wewe haujamjua mobeto, Tanasha kaibuliwa na Kiba ndio akaja kaka yako.Kiba na Jokate wamekutana projects za wanyama

Kosa la diamond basi........

Mkuu hapa umechemka
 
Mwanzo nilikua naamini Ali kiba hapendi kabisa kujihusisha na maswala ya diamond lakini naanza kuamini sio kweli.

tukiachilia mbali swala la hamisa mobeto kuwa mwanamitindo wa video wanawaita “video vixen” , they way Ali kiba alikuwa anaji-portray kutokutaka kuhusishwa na chochote kuhusu diamond aliwaaminisha wengi kuwa yeye huwa hana time na attentions zisizozuwa na msingi kwake.

lakini huenda upepo unavyoenda inaonekana ameshindwa na inabidi ili abaki kwenye game walau kwa miaka kadhaa ijayo ni lazima asake attentions.

Wapo wataosema hamisa ni video vixen Kama wengine lakini kwa Ali kiba alivyotuaminisha alikuwa sio wa kumtumia hamisa kwenye hii video , anahitaji Ipate promotion ya kutosha, Je ali kiba ameamua kufanya janja janja (opportunist) sawa na diamond anavyofanyaga?
Punguza chuki na nyege ndipo uandike vzr THEY WAY ndo nini
 
Back
Top Bottom