Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Wimbo umepoa sauti, video kali. Kiujumla wimbo hautafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
nyimbo iko vyema ila video ndio kavuluga.....
No coment mashairi mazuri ila wimbo umepoa sana..wanaopenda watapenda na wasiopenda basi tusubiri nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee kanivutia ni kajitahidi sana kubadilika kwenye video zake sikuhizi zipo tofuti mno na zamani.!
Nyimbo kali sana
N.B kwa wanaoujua mziki pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo wa kawaida na ni mzuri kwa kusikiliza ukiwa ume tulia zako utaki stress..

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
kazi ipo mbna hao wachambuzi wa Jeiefuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu binafsi sijauelewa huu wimbo sema utakiki kwasababu kuna Mobetto, but huyu jamaa inatakiwa atulie apunguze panic. Mziki ni kupanda na kushuka akubali tu kwamba kashuka. Mimi namshauri kama yupo humu ndani aanze upya kuimba yaani awe underground akubali kwenda studio kujipima uwezo asitoe nyimbo kwanza.
.
.
Maendeleo hayana vyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi.
 
Ali Kiba hapendi kujionyesha tu,nicki Minaj kampigia sana simu King Kiba ili awe japo hata video vixen tu kwny huo wimbo jamaa akamchomolea nje akaona bora amchukue Mobeto.

Ametanguliza maslahi mapana ya nchi yetu,ni mzalendo na hapendi kujionyesha.
[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom