Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Alikiba aachia Wimbo wake mpya Dodo

Kuna video ya Ali Kiba ambapo video queen ni Tanasha (mzazi mwenzake Diamond).

Hii video mpya nayo video queen ni mzazi mwenzake na Diamond.

Ali Kiba amewahi kutoka na Jokate (x wa Diamond).

Kwenye wimbo wa Aje, Ali Kiba aliwahi kumwimba Wema Sepetu (x wa Diamond).

Ali Kiba ajifunze kutafuta cycle nyingine nje ya ile inayomhusu Diamond.

Diamond sio mmiliki wa hao watu, yeye aliwapitia tu.
 
Ni wimbo mzuri kwa 70% ila utapata wakosoaji wengi kwa sababu:

● Sio wimbo wa kuamsha popo, wimbo ni utulivu kwa watu wa kiwango cha kati na juu na sio uswazi kwenye ushabiki wa kukata mauono (uswahilini)

● Video ni nzuri ila hakuna dancers kuchangamsha nyimbo. Muziki wa Leo uli wapate mashabiki hasa vijana "kucheza" ni lazima. Hii style yake ya kudengua na sio kuonesha ufundi wa kucheza si tu unaunyima wimbo huu hadhi yake Bali pia hata zile #dodochallenges zinazoamsha ushabiki mitandaoni na uswahili zitakufa kifo cha mende.

● Uvaaji wa King Kiba lazima usiwe ule uliozoeleka kwenye nyimbo zake zote. Haya makofia, miwani, na suti za kubana si lazima zionekeane lila video zake. Haya mavazi za kuonesha sijui usultan au ufalme auache. Mahadhi na uvaaji wa kiislam (povu hapana siruhusu) kuvaa kwa namna hiyo na jambia kiunoni unachosha. Ufike mahali avaae kama mwanamuziki katika video zake. Awaone kina Psquare, Tekno, Chriss brown , NeYo na wengine wanavyovaa katika nyimbo zake na si kila video zake ziakisi tamaduni za Mwarabu, yarabu au uislam. Lazima paige gear za "kikafiri' pia (sitaki povu pia hapa)

Nimalize kwa kusema, wimbo huu ni wimbo mzuri kwa mtu utulivu (ambao kimsingi si wanunuzi/watazamaji wa kazi zake YouTube) angeweka vikorombwezo za kiuno, na wanenguaji angepata maviwers zaidi na biashara ingepanda kea sababu hicho ndicho wanataka vijana wa Leo!
 
Binafsi video nimeipenda sana

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Mkuu, kuhusu Kiba kumtumia mobetto kama video vixen si kwaajili ya kutengeneza attention, ikumbukwe miaka kumi iliyopita kiba alimtumia mobetto kama video queen kwenye wimbo wa mdogo wake abdukiba "hatuna habari nao" kipindi icho mobetto hata hafahamiki. Je napo alitafuta attention?
Kuna video ya Ali Kiba ambapo video queen ni Tanasha (mzazi mwenzake Diamond).

Hii video mpya nayo video queen ni mzazi mwenzake na Diamond.

Ali Kiba amewahi kutoka na Jokate (x wa Diamond).

Kwenye wimbo wa Aje, Ali Kiba aliwahi kumwimba Wema Sepetu (x wa Diamond).

Ali Kiba ajifunze kutafuta cycle nyingine nje ya ile inayomhusu Diamond.
 
Mkuu, kuhusu Kiba kumtumia mobetto kama video vixen si kwaajili ya kutengeneza attention, ikumbukwe miaka kumi iliyopita kiba alimtumia mobetto kama video queen kwenye wimbo wa mdogo wake abdukiba "hatuna habari nao" kipindi icho mobetto hata hafahamiki. Je napo alitafuta attention?

Nafikiri point yangu haikueleweka, au nimeshindwa kuwasilisha kwa ufasaha ninachomaanisha.
 
Mbona bongo video queen wabo mabinti warembo sasa sita kabisa sasa anachukua hao ambao walishafika uri wa kustaafu utumishi wa umma?
 
Wimbo ni mbayaaaaa kiukweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni wimbo mzuri kwa 70% ila utapata wakosoaji wengi kwa sababu:

● Sio wimbo wa kuamsha popo, wimbo ni utulivu kwa watu wa kiwango cha kati na juu na sio uswazi kwenye ushabiki wa kukata mauono (uswahilini)

● Video ni nzuri ila hakuna dancers kuchangamsha nyimbo. Muziki wa Leo uli wapate mashabiki hasa vijana "kucheza" ni lazima. Hii style yake ya kudengua na sio kuonesha ufundi wa kucheza si tu unaunyima wimbo huu hadhi yake Bali pia hata zile #dodochallenges zinazoamsha ushabiki mitandaoni na uswahili zitakufa kifo cha mende.

● Uvaaji wa King Kiba lazima usiwe ule uliozoeleka kwenye nyimbo zake zote. Haya makofia, miwani, na suti za kubana si lazima zionekeane lila video zake. Haya mavazi za kuonesha sijui usultan au ufalme auache. Mahadhi na uvaaji wa kiislam (povu hapana siruhusu) kuvaa kwa namna hiyo na jambia kiunoni unachosha. Ufike mahali avaae kama mwanamuziki katika video zake. Awaone kina Psquare, Tekno, Chriss brown , NeYo na wengine wanavyovaa katika nyimbo zake na si kila video zake ziakisi tamaduni za Mwarabu, yarabu au uislam. Lazima paige gear za "kikafiri' pia (sitaki povu pia hapa)

Nimalize kwa kusema, wimbo huu ni wimbo mzuri kwa mtu utulivu (ambao kimsingi si wanunuzi/watazamaji wa kazi zake YouTube) angeweka vikorombwezo za kiuno, na wanenguaji angepata maviwers zaidi na biashara ingepanda kea sababu hicho ndicho wanataka vijana wa Leo!
Pumba
 
Naona wimbo unapigwa Wasafi TV, je ni nani alieupeleka huko ama wameiba mtandaoni? Je Alikiba ana haki ya kuwashtaki kwa kupiga wimbo wake bila ridhaa ama zile sababu za kukataa kualikwa tamashani hazihusiki kwenye TV yao.
Nimejikuta nawaza ile sheria ya media kumlipa msanii ambae wimbo wake utasikika iliishia wapi!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Auna kichwa kingine nyumbani..ukibadilishe na iki kilicho andika apa

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Kuliukweli sisi team WCB tulikua tunamchukukia poa huyu Alikiba, lakini kwa kibao hichi kipya tunasema kwamba alikiba anaujua mziki.

Tuombe radhi kwa kipindi chote tulichokua tunamdisi Alikiba.

imetolewa na MIKE POMOPEO.
Director of Central Intelligence Agency.
Screenshot_20200408-152655.jpeg
Screenshot_20200408-152606.jpeg
Screenshot_20200408-152636.jpeg
Screenshot_20200408-152613.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu binafsi sijauelewa huu wimbo sema utakiki kwasababu kuna Mobetto, but huyu jamaa inatakiwa atulie apunguze panic. Mziki ni kupanda na kushuka akubali tu kwamba kashuka. Mimi namshauri kama yupo humu ndani aanze upya kuimba yaani awe underground akubali kwenda studio kujipima uwezo asitoe nyimbo kwanza.
.
.
Maendeleo hayana vyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwisha Fanya hivyo pia Akhsantee!
 
Back
Top Bottom