Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Kama hakuna Mungu, bibi yako aliemzaa baba yako na mama yako wako wapi hivi sasa? Si washaliwa na mchwa? Au unao nyumbani wanakula mihogo?
😂😂😂Sasa inahusiana Nini na Mungu kuwepo ..unajua umeuliza swali ambalo halina hata uhusiano hivi dogo umeishia darasa la nne au
 
😂Dogo umesoma sampling, so Ethiopia ambayo ndo nchi moja, historical facts state that Christianity imekuwa officialized by Romans na ni Paul au saul ukimwita...wewe wa bonyokwa umeletewa na mwingireza na mjerumani aliyetawaliwa na mrumi ndo akaipata dini hii na ye kaitumia kukutawala.. biblia unayotumiwa imeundwa na warumi Tena baada ya mikutano ya kupiga kura Nini kiwekwe Nini kisiwekwe..Leo hii upo mbagala kwa Aziz Ali unasema we unajua Mungu kasema Nini ..
Hahaaaaa, sijasoma ushuzi wako ila.nimefurahi kuwa umekiri Ukristo ulikuwepo Afrika kabla ya wakoloni. Hilo ndilo nilikuwa nataka kukisikia kwako. Haya twende kwa Issue ya Paulo japo sijasoma ulichoandika. Nini hoja yako kuhusu Paulo?
 
Umeeleza mifano bila kuweka Howard harisi ya contradiction husika, let go direct to that you named contradiction.

Na kwanini hayupo?

The Problem of Evil.

1. Mungu anayesemwa yupo ana tabia za kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

2. Mungu mwenye tabia hizo, kimantiki, yuko mutually exclusive na ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwepo.

3. Ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo. Ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo. Viwili hivi, Mungu huyo na ulimwengu unaoruhusu mabaya, haviwezi kuwa vyote vipo.

4. Tunaona kwamba ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, ndio huu tunaoishi.

5. Hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Uwepo wa Mungu huyo na ulimwengu huu unaoruhusu mabaya ni contradiction. Contradiction hii haitatuliki na inatuonesha Mungu huyo hayupo.

Huyo Mungu yupo kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hizo hadithi za kiimani hayupo.
 
Bibi yake yupo wapi? Kama hakuna mungu bibi yake angalikua nae. Wewe uliomaliza degree ndio bwege kabisa
So akikuambia yupo ndo Mungu hayupo au...😂so Mungu kuwepo kunategemea bibi wa Kiranga.. kwa kweli wazungu walitutawala kiurahisi Sana
 
Hahaaaaa sidhani kama Kiranga ana upeo wowote ila huwa anaandikaga vitu visivyoeleweka kwa lengo al kushindana but ni empty kabisa kichwani.
Acha nikukubalie, for the sake of argument.

Hata ikiwa kweli Kiranga hana upeo, anaandika vitu visivyoeleweka kwa lengo la kushindana tu.

Huo nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingekuwa mkatili kuumba ulimwengu ambao una watu wasio na upeo kwa jinsi hiyo.

Unaweza kuona kashfa yako ya ad hominem logical fallacy inamshusha Kiranga.

Kwa fikra ndogo unaweza kuona hivyo.

Lakini, kwa fikra za kina, unaizidishia hoja ya Kiranga nguvu tu.

Unazidi kuweka ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
 
Usiseme nitakuthibitishia.

Thibitisha tu.

Hata Yesu wanasema alisema atarudi, mpaka leo hajarudi.
Sayansi imeruhusu watu kujifunza tu na kuzalisha kupitia created things such as the Earth and those contained in the earth, water, plants and the atmosphere in general, Where and when does science teach you creation if not in research?
 
The Problem of Evil.

1. Mungu anayesemwa yupo ana tabia za kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

2. Mungu mwenye tabia hizo, kimantiki, yuko mutually exclusive na ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwepo.
Mabaya na mazuri kayaumba mwenyewe Mungu na yeye ndie aliyeyaita mabaya na mazuri, kaumba hayo yoote kama mitihani ya sisi kufudhu kwenda kwenye Marshall ya kesho.
3. Ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo. Ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo. Viwili hivi, Mungu huyo na ulimwengu unaoruhusu mabaya, haviwezi kuwa vyote vipo.
Mungu yup na ulimwengu upo na year ndie aliyeweka hayo mabaya na mazuri
4. Tunaona kwamba ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, ndio huu tunaoishi.

5. Hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kuwepo ulimwengu wenye mabaya ni hiitimisho kuwa hana upendo, how??
Uwepo wa Mungu huyo na ulimwengu huu unaoruhusu mabaya ni contradiction. Contradiction hii haitatuliki na inatuonesha Mungu huyo hayupo.

Huyo Mungu yupo kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hizo hadithi za kiimani hayupo.
Mabaya yaliyo ulimwenguni ni unyoya tu kwaajiri ya kututahini
 
Wakati huohuo unaamini uchawi
Wapi nimesema naamini uchawi?

Inaelekea hujawahi kufuatilia mada nilizopinga uwepo wa uchawi.

Una assume tu, hata kuuliza umeshindwa?

Sababu zilezile zinazonifanya nikatae uwepo wa Mungu ndizo hizo hizo zinanifanya nikatae uwepo wa uchawi.
 
Back
Top Bottom