Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Kwani unawezaji kujadili Tabia za Mungu bila kwanza kujadili uwepo wake?Unajaribu kutangula Mkokotone mbele ya Farasi.Kwanza Tujadili Uwepo wa Mungu Kisha Tukisha Afiki kwamb yupo ndipo tujadili kwamba tabia zake zikoje.Sio kujadili Tabia zake kisha ndo tujadili iwapo yupo au hayupo.

Kwa mfano wewe bwana Kiranga,najua na kuamini upo huko ulipo na sio robot wala AI wala mtu mwingine anajiita wewe bali ni wewe kisha baada ya hapo ndio nitajadili tabia fikra na mitazamo yako ila siwez anza zijadili hizo ilhali hata uwepo wako wenyewe ninaukataa
Hutakiwi kujadili uwepo wa Mungu bila ya kum define kwanza.

Kwa sababu, bila definition, hata tunapotaja "Mungu" hatujui tunamaanisha nini kwa hilo neno.

Yani wewe unapotaja "Mungu" bila definition, mimi sijui unamaanisha nini. Mimi nainapotaja "Mungu" bila definition, wewe hujui ninamaanisha nini. Mungu ni label tu ambayo inahitaji definition ili tuelewane zaidi.

Kwa sababu, neno "Mungu" lina maana nyingi tofauti.

Tunakubaliana mpaka hapo?
 
Ethiopia na mbagala kwa zakiem ni sehemu ishirini tofauti
Inawezeka kwasababu kwa nyakati hizo huko mbagala hata Tanganyika ilikuwa ni mapori tu , baadae watu wakahama kutoka huko mashariki ya mbali na kile walicho jifunza.
 
Hutakiwi kujadili uwepo wa Mungu bila ya kum define kwanza.

Kwa sababu, bila definition, hata tunapotaja "Mungu" hatujui tunamaanisha nini kwa hilo neno.

Kwa sababu, neno "Mungu" lina maana nyingi tofauti.

Tunakubaliana mpaka hapo?
Naona umeweka kum"define" Huko si ndio kutambua uwepo wake?Kwa maana kwamba Ukishatambua uwepo wake definition inakuwa ni rahisi zaidi.Ila ukianza kumdefine bila kumtambua na kumkiri itakuwa vigumu sana kukubali uwepo wake hata kama akija mbele yako.
 
Kwani wewe kuna ushahidi utakaokutosha kukuthibitishia kwamba Mungu Yupo?
Ndiyo.

Uthibitisho na ushahidi ulio logically consistent, usioweza kuwa contradicted.

Bado hujanijibu swali langu.

Ushahidi gani utakutosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo?

Nisije kuwa nataka kukupa ushahidi, wakati ushajiwekea kuwa hakuna ushahidi utakaotosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo.
 
Nitajie bac dhehebu la kanisa la Ethiopia likowapi niende
Madhehebu kwa leo utajichosha tu kikubwa ni kumjua Mungu, na kuelewa mambo namna yalivyo.
Biblia Matendo ya mitume

27 Naye akaondoka, akaenda; mara akamwona mtu wa Kushi, towashi, mwenye mamlaka chini ya Kandake malkia wa Kushi, aliyewekwa juu ya hazina yake yote; naye alikuwa amekwenda Yerusalemu kuabudu,
28 akawa akirejea, ameketi garini mwake akisoma chuo cha nabii Isaya.
29 Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukashikamane nalo.
30 Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?
31 Akasema, Nitawezaje kuelewa, mtu asiponiongoza? Akamsihi Filipo apande na kuketi pamoja naye.
32 Na fungu la Maandiko alilokuwa akilisoma ni hili, Aliongozwa kwenda machinjoni kama kondoo, Na kama vile mwana-kondoo alivyo kimya mbele yake amkataye manyoya, Vivyo hivyo yeye naye hafunui kinywa chake.
33 Katika kujidhili kwake hukumu yake iliondolewa. Ni nani atakayeeleza kizazi chake? Kwa maana uzima wake umeondolewa katika nchi.
34 Yule towashi akamjibu Filipo, akasema, Nakuomba, nabii huyu; asema maneno haya kwa habari ya nani; ni habari zake mwenyewe au za mtu mwingine?
35 Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiri habari njema za Yesu.
 
Naona umeweka kum"define" Huko si ndio kutambua uwepo wake?Kwa maana kwamba Ukishatambua uwepo wake definition inakuwa ni rahisi zaidi.Ila ukianza kumdefine bila kumtambua na kumkiri itakuwa vigumu sana kukubali uwepo wake hata kama akija mbele yako.
Hapana.

Kum define si kumtambua uwepo wake.

Naweza kutunga hadithi ya jasusi Willy Gamba, nikamdefine anakaa Upanga Sea View karibu na Palm Beach Hotel, yuko physically fit, anajua kutumia silaha za aina nyingi, anaingilia mitandao ya makaburu wa Afrika Kusini.

Nikaandika kitabu nikakiita "Njama".

Lakini, kum define hivyo jasusi Willy Gamba hakufanyi awepo, huyu ni muhusika wa hadithi ya kutungwa na mtu tu.

Marehemu Aristablus Elvis Musiba alitunga hiyo hadithi.

Hujajibu swali langu.

Neno "Mungu" linakosa maana maalum kama hatuja define linamaanisha nini ili tuelewane tunapotaja "Mungu" tunamaanisha nini?

Unakubali au unakataa?
 
Ndiyo.

Uthibitisho na ushahidi ulio logically consistent, usioweza kuwa contradicted.

Bado hujanijibu swali langu.

Ushahidi gani utakutosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo?

Nisije kuwa nataka kukupa ushahidi, wakati ushajiwekea kuwa hakuna ushahidi utakaotosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo.
Ukiweza kuthibitisho chanza na uwepo wa Kiranga as a virtual persona and real person
 
I am rather disappointed. I thought we were on a serious philosophical exchange.
Do not be,It is a genuine question.If you can Prove your existence and origin without questions the that will be proof to me that God Exist and If you Prove that you do not exist then It will be proof to the opposite
 
Mkuu,

Ujinga ni kutokujua kitu tu.

Kwa nini unaona big deal mtu kuita kitu fulani ujinga?

Kama hukubaliani naye, pinga hoja yake uoneshe anachokiita ujinga si ujinga.
Mkuu vyovyote utakavyopamba lakini sio neno la kistaarabu kwenye kujenga hoja
 
Do not be,It is a genuine question.If you can Prove your existence and origin without questions the that will be proof to me that God Exist and If you Prove that you do not exist then It will be proof to the opposite
This is a logical non sequitur.

Kwa sababu naweza kukuthibitishia mimi nimezaliwa na wazazi wangu.

Halafu hilo lisithibitishe Mungu yupo au hayupo.

Naweza kushindwa kuthibitisha lolote kwenye swali hilo.

Halafu hilo lisithibitishe Mungu yupo au hayupo.

Kifupi swali lako kimantiki ni irrelevant and arbitrary.
 
Back
Top Bottom