Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Kweli binafsi huwa nawashanga watu kusema Wazungu walileta Ukristo wakati ukisoma biblia kitabu cha matendo ya mitume unaona kuna mkush alikuwa anatoka kwa Ethiopia hadi Jerusalem kuhiji na biblia inasema kusiku mtume Philipo alimkuta anasoma kitabu cha Isaya, kwahiyo afrika ilikuwa mbele kiimani kuliko hao wazungu. Wazungu baada ndiyo walikuja kuona Ukristo ni dili wa kaudandia kwa faida zao.
Kizazi hiki wengi hakuna wajuacho. Ukristo ulikuwepo kabla ya Ukoloni kuja Afrika. Mathayo aliyekuwa Mtoza Ushuru na mmojawapo wa mitume wa Kristo alikuja na kuanzisha kanisa Ethiopia na hadi kifo chake kilitokea Ethiopia na ndio Askofu wa kwanza wa Kanisa pale Ethiopia.

Marko aliyekuwa Mtume wa Yesu na Mwandishi wa Injili ya Marko, yeye alikuwa pale Alexandria Misri na alianzisha kanisa pale na hata Mauti yake ilimkuta akiwa Askofu pale Misri.

Kimsingi, mitume walifika kila sehemu including Tanzania japo hapajaandikwa sehemu yoyote. Wale walikuwa wanapelekwa na Malaika kila Mahali Duniani na pia Roho wa Mungu alikuwa anawanyakua na kuwapeleka maeneo mengine.

Katika Historia ya Kanisa, Rumi kuungana na kanisa ni siku za Karibuni tu wakati Mfalme mmoja wa Kirumi ambaye mama yake alikuwa Mkristo alipoota ndoto Msalaba ukimsaidia kushinda vita na akahaidi akishinda kweli atakuwa mkristo na baada ya kushinda vita ndio akaufungamanisha Ukristo na Uroma kutengeneza Roman catholic na ndio huo Uzungu unaosemea.
 
Hasa hawa wanaopigania hadithi za waarabu ndio wapumbavu wa kutupa, dini zote tulilishwa uongo ila hao wenzetu uongo wao sijui uliwekwa nini hadi wamekuwa wajinga kiasi hicho, siku zote wao hutumia mihemko tu hawajui kujadili kwa hoja
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Na nakuombea kwa Allah akuongoze katika Uislam. Hiyo ndio asili yako Jadda. Nje ya hapo ni kuchanganyikiwa na kupotea.

Kuwa mtumwa wa Allah ndio uhuru wa kweli. Rudi kwa Allah. Hakuna uhuru katika ukafiri, ushirikina, sijui feminism, nk. Uhuru wa kweli ni kujisalimisha kwa Allah. Na ndio maana unashangaa kwanini tunaing'ang'ania neema hii na tunamuomba Allah atuepushe na ukafiri na ushirikina na atufishe katika dini hii. Hauko peke yako katika wanaoshangaa, kuna wenzio wengi mpaka wanaanza kuufuatilia Uislam na kuusoma ili wajue kwanini, na kuna wengine mpaka wanaongozwa na Allah kuingia katika Dini hii wakianza kuifuatilia, namuomba Allah uwe miongoni mwao, Aameen.

Mfano mdogo tu

1703604164235.png

Kuna wenzio wengi tu kama wewe nao wanajiuliza inakuwaje mtu anavunjiwa nyumba yake na anapoteza kila kitu ila bado anasema "Sifa zote njema zinastahiki Allah" na kumshukuru Allah kwa tabasamu akiwa na matumaini makubwa na akishikamana na dini hii. Mtu anaona hili na anashangaa kama wewe anaona ajabu. Mpaka nae anaonjeshwa ladha ya Imani baada ya kuanza kuufuatilia Uislam kujua sababu ni nini

Wala hatujalishwa ujinga bali ndio haki na ukweli na ndio asili yetu, tuko katika asili yetu. Namuomba Allah uwe ni miongoni mwa watu wengi wanaoingia katika Dini hii makundi kwa makundi, wanaorudi katika asili yao. Allah akifungue kifua chako uione Haqq na uukubali Uislam, Aameen. Uislam ni NEEMA KUBWA MNO kwetu Jadda.

Kazakh destroyer
 
Kizazi hiki wengi hakuna wajuacho. Ukristo ulikuwepo kabla ya Ukoloni kuja Afrika. Mathayo aliyekuwa Mtoza Ushuru na mmojawapo wa mitume wa Kristo alikuja na kuanzisha kanisa Ethiopia na hadi kifo chake kilitokea Ethiopia na ndio Askofu wa kwanza wa Kanisa pale Ethiopia.

Marko aliyekuwa Mtume wa Yesu na Mwandishi wa Injili ya Marko, yeye alikuwa pale Alexandria Misri na alianzisha kanisa pale na hata Mauti yake ilimkuta akiwa Askofu pale Misri.

Kimsingi, mitume walifika kila sehemu including Tanzania japo hapajaandikwa sehemu yoyote. Wale walikuwa wanapelekwa na Malaika kila Mahali Duniani na pia Roho wa Mungu alikuwa anawanyakua na kuwapeleka maeneo mengine.

Katika Historia ya Kanisa, Rumi kuungana na kanisa ni siku za Karibuni tu wakati Mfalme mmoja wa Kirumi ambaye mama yake alikuwa Mkristo alipoota ndoto Msalaba ukimsaidia kushinda vita na akahaidi akishinda kweli atakuwa mkristo na baada ya kushinda vita ndio akaufungamanisha Ukristo na Uroma kutengeneza Roman catholic na ndio huo Uzungu unaosemea.
Niambie Hilo kanisa la Ethiopia likowapi niende nikasali...niambie likowapi hapa dar...
 
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Na nakuombea kwa Allah akuongoze katika Uislam. Hiyo ndio asili yako Jadda. Nje ya hapo ni kuchanganyikiwa na kupotea.

Kuwa mtumwa wa Allah ndio uhuru wa kweli. Rudi kwa Allah. Hakuna uhuru katika ukafiri, ushirikina, sijui feminism, nk. Uhuru wa kweli ni kujisalimisha kwa Allah.

Wala hatujalishwa ujinga bali ndio haki na ukweli na ndio asili yetu. Namuomba Allah uwe ni miongoni mwa watu wengi wanaoingia katika Dini hii makundi kwa makundi, wanaorudi katika asili yao. Aameen.

Kazakh destroyer
😂😂😂Mshukuru mama ako coz ungezaliwa ukristoni ungekuwa unaenda kwa mwamposa kununua chumvi
 
Wewe ni m
Inawezekana hata hujui point ni nini kwa sababu tupo dunia tofauti sana.

Kama hujui "The Problem of Evil" ni nini hata baada ya kutafsiriwa, naona hatuna cha kujadiliana.
Wewe ni mjuaji tu huna point hapo, eti the problem of evil, kupinga uwepo wa Mungu for your cose inabaki kuwa mtazamo tu hauna uthibitisho kwenye point ulizo orodhesha.

Tuishie hapa
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwapo?

Hujajibu swali hili la msingi.
 
Papa inaonesha wazi kabisa nae kuna mahali anachukua maelezo ya kipi afanye na kipi azungumzie.
Maneno yako yanakaukweli Fulani hivi. Ni Kama mama yangu mzazi nae anavyo endesha Mali zetu za urithi. Kama Kuna anampa maelekezo
 
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Na nakuombea kwa Allah akuongoze katika Uislam. Hiyo ndio asili yako Jadda. Nje ya hapo ni kuchanganyikiwa na kupotea.

Kuwa mtumwa wa Allah ndio uhuru wa kweli. Rudi kwa Allah. Hakuna uhuru katika ukafiri, ushirikina, sijui feminism, nk. Uhuru wa kweli ni kujisalimisha kwa Allah. Na ndio maana unashangaa kwanini tunaing'ang'ania neema hii na tunamuomba Allah atuepushe na ukafiri na ushirikina na atufishe katika dini hii. Hauko peke yako katika wanaoshangaa, kuna wenzio wengi mpaka wanaanza kuufuatilia Uislam na kuusoma ili wajue kwanini, na kuna wengine mpaka wanaongozwa na Allah kuingia katika Dini hii wakianza kuifuatilia, namuomba Allah uwe miongoni mwao, Aameen.

Mfano mdogo tu

View attachment 2853822

Kuna wenzio wengi tu kama wewe nao wanajiuliza inakuwaje mtu anavunjiwa nyumba yake na anapoteza kila kitu ila bado anasema "Sifa zote njema zinastahiki Allah" na kumshukuru Allah kwa tabasamu akiwa na matumaini makubwa na akishikamana na dini hii. Mtu anaona hili na anashangaa kama wewe anaona ajabu. Mpaka nae anaonjeshwa ladha ya Imani baada ya kuanza kuufuatilia Uislam kujua sababu ni nini

Wala hatujalishwa ujinga bali ndio haki na ukweli na ndio asili yetu, tuko katika asili yetu. Namuomba Allah uwe ni miongoni mwa watu wengi wanaoingia katika Dini hii makundi kwa makundi, wanaorudi katika asili yao. Allah akifungue kifua chako uione Haqq na uukubali Uislam, Aameen. Uislam ni NEEMA KUBWA MNO kwetu Jadda.

Kazakh destroyer
Umesema kweli tupu, maumbile ya mwanadamu yanampelekea kutafuta muumba ni nani, namuomba Allah amuongoze mkuu Jadda ili aone ni kitu gani huwafanya waislamu wakakataa kabisa kupata chochote mbadala wa dini yao tukufu ya uislamu, mpaka kuwa tayari kufa wakati wowote kwaajili yake.

Allah akulipe kheri na akuzidishie elimu na maarifa ndugu yangu Baljurashi
 
Aamiin. Na kwako pia Allah akulipe kheri na akuzidishie elimu na maarifa ndugu yangu
 
Huyu hawezi kiuzulu sababu kakubqli kusaini na kutoa tamko,yule aliyepita alijiuzulu sababu hakutaka kusaini wala kutoa tamko alijisingizia uginjwa lakini mpaka leo ana afya tele
Pope Benedict XVI mbona amefariki karibu mwaka sasa. Tangu December 31 2022.

Hakiki taarifa zako mkuu isitulishe matango pori hapa.
 
Back
Top Bottom