Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

Kijana Mtihani wa kidato cha nne umekushinda unataka insha na mimi babako? Kama insha unaziweza na hicho kiingereza leo ungeteseka na cheti cha form fouf?
Kutumia avatar ya huyo mnyama mwenye ubongo mdogo kusikufanye uwe na tabia ya kufikiri kama una ubongo mdogo unalingana na huyo mnyama. Wewe umejiona msomi sasa tuhakikishe nani msomi tuandike insha hapa ya maneno yanayozidi 500 kwa kiiengereza unakwepa. Maneno mengi hamna kitu bora huyo Daudi Bashite anafanya vitu kwa vitendo sio brah brah kama wewe.
 
Lisu anamtetea Wema wakati Lema ana mwezi wa nne sasa bila mtetezi, Wema anachukua mamilion ya shiling huku Mwita anakufa kwa kukosa 3.5m baada ya kuumia kwenye majukumu ya chama. Hii ndiyo chadema
 
Duh!! Ni hatari!! mpaka hapo hakuna kesi, Makonda hawezi kukubali kuhojiwa na Lissu, anajua atakavyodhalilishwa, na sidhani kama yuko tayari kwa hilo.
Kwahiyo ataulizwa Ndugu mshitaki je Unafahamu Wajibu wa Kazi zako? Ndugu Mshitaki una elimu gani ? na Vyeti unavyo?
Uliamuru Polisi wampakue Mshitakiwa? na Hao Polisi wanafahamu wajibu wao? Mtu kusachiwa lazima awe ameshitakiwa na kibali cha mahakama lazima kiwepo au hapana. Upo tayari kujiuzulu wadhifa wako kwa hiali yako sababu umetumia madaraka yako ndivyo sivyo au Mahakama ikufunge?
 
Gram moja ni sawasawa na punje moja ya mtama.

Pili tutaamini vipi kama hawakuingia nako mfukoni? wakakadondosha maksudi??

Ahaaa ningeshangaa mtu alosoma uvuvi aje ajue "The magistrates court Act inasemaje

sitetei madawa ya kulevya atakae kamatika kwa ushahidi asweke ndani.

Tena ninachoamini lissu asingebeba mzigo wa kusimamia hii kesi kama hana uakika.

mwisho akija mahakamani natoka jiefu kwa uzuni maana ninavyoipenda!
 
Gram 1 ya bangi ni nothing hakuna kesi hapo wajipange upya.
 
Bora tumbo wazi,kuliko empty head yako mwanaume mzima unasifia ujinga tu hapa,eti nawe ukute ni kichwa cha familia.ebu kajielimishe kwanza fuatilia nilisema nini toka awali.
Bora nifuge nguruwe watakula makombo siyo kibwengo wewe unayekula vishikizo vya shati la CCM na huku umekaza mishipa kuandika kimipasho
 
Masikini watumishi stahiki zao.
Ona na makato yameongezeka
 
Vibwengo kama wewe ndo mnaidhalilisha CCM inaonekana ina mimtu mipoyoyo na viwete wa akili
We matako nini nani kakwambia mie na chama.we jamaa fala naona unanifatafata kuna bandiko kule umeniquote na upumbavu wako,m watching you ..kitumbua wewe
 
We matako nini nani kakwambia mie na chama.we jamaa fala naona unanifatafata kuna bandiko kule umeniquote na upumbavu wako,m watching you ..kitumbua wewe
Nikutafute wewe una faida gani au nawe ni kaka poa? Mana mimi sitaki tuhuma za kutoa marinda watu,endelea kuni watch
 
maana halisi ya upinzani bongo ni kupinga mpaka maendeleo
 
Tena sio lazima ukubaliane na Mimi nachosema.mind your own business..ama VIP nipotezee
"Mind your own business"? Kwenye hi Forum ya Melo? Ungeanza wewe kushughulika na mambo yako badala ya kumkebehi Lisu, narudia tena wewe ni mweupe mmetoka Facebook na sendo mnaleta utoto humu,usikue mguu wa katikati peke ake hata ubongo wako nao ukue
 
"Mind your own business"? Kwenye hi Forum ya Melo? Ungeanza wewe kushughulika na mambo yako badala ya kumkebehi Lisu, narudia tena wewe ni mweupe mmetoka Facebook na sendo mnaleta utoto humu,usikue mguu wa katikati peke ake hata ubongo wako nao ukue
Ha ha ha ungejua anyway,leta hoja sio upuuzi wako hapa facebook inahusika nini.nani kamkebehi kwako wewe huyo si ndio Mungu wako endelea kumsifu..kuongea kesi ambayo bado IPO mahakamani ni sawa?uliza mwansheria yeyote swali hili akujibu then uje hapa..tena usimtaje mod wa watu na kinywa chako kichafu hivyo..sijui umekula maharagwe ya wapi wewe!
 
Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
Crazy world....Kwa hiyo tunayosoma mtandaoni hufanyika mtandaoni siyo...[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom