Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Chadema chama la kutetea wauza madawa ya kulevya
Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa [emoji38]Ameandika wakili msomi Tundu lissu
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.
Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.
Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Haya bishana na sheriaPolice ina mipaka ya kulinda na kusimamia utii kwa wananchi kwa masaa?kituo cha police na kazi zao muda fulani kama office zingine hufungwa?
Licha ya kupimwa marinda ashitakiwe kwa kutumia na kufoji cheti
Soma post vizur, kuna sehemu lema kazungumziwa?UnamkAna tena
Wao si ndo walianzisha uhakiki mbona wanakuwa na double standard kwa baadhi ya watu why? Na vyeti vilivo rahisi kuchongeshaWaziri wa elimu ajipime kama anafaa kuwa waziri
[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umetisha sanaUkiona muvi imehamia mahakamani ujue unakaribia kuyaona maandishi madogomadogo yanayotokaga chini yanapanda juu, maana sterling amekaribia kuuawa halafu =END=
Na huu ndo mda mzuri wa law firms kujulikana!
!
hahahahaha huyu Tundu Lissu ni kiboko...na mmovie inaendelea aiseee hahahahaha mapambano yamehamia Mahakamani.
Inasikitisha sana kama mkulukulu anafuata sheria kwa kudai kuwaondoa wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa, wanandoa hewa, n.k. anasikia Daudi kuwa ni Mkuu hewa *mpaka sasa hivi yuko kimya*safari hii CDM wamekuja na style ya kuwapokea watuhumiwa wote
kwao ni ushindi
Ww hujaelewa nn hapo,kuwa muda wa searching kisheria unaashiria kuwa alibambkizwaKwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Fikiri nje ya chupa...jiongezeTundu kachemka ni wazi sheria inakataza kuzungumzia kesi iliyopo au inayoendelea mahakaman.sio kila jambo aongee tu.watu wenye weledi wao wanamshangaa tu
Nijiongeze nn kwa kuropoka huko kunamsaidia mtuhumiwa au aende kwa LemaFikiri nje ya chupa...jiongeze
Naomba uandike essay ya maneno ya 500 kulaani jinsi Mh. MAKONDA alivyowatangaza ktk vyombo vya habari watuhimiwa wa madawa ya kulevya. Andika kwa lugha ya kiingereza mimi nitaweka cheti changu cha form 4 & 6 na vyeti vya elimuvyangu ya juu hapahapa ktk thread hii. Naomba tuende pm nikuunganishe teleconference sasa hivi wakati unaandika. Nataka usijiandae na asikusaidie mtu. Naomba tafuta shahidi unaemuamini wewe ashuhudie hili tukio kwa ushahidi zaidi.Katafute cheti cha form four kilaza wewe..... Mi sio size yako.
Kilo moja =1000grmKwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Mimi sio size yako.... Kuandika majina tu unashindwa utaweza mengine.... Hicho cheti cha form four si ungewapa wanahabari kama unacho?Naomba uandike essay ya maneno ya 500 kulaani jinsi Mh. MAKONDA alivyowatangaza ktk vyombo vya habari watuhimiwa wa madawa ya kulevya. Andika kwa lugha ya kiingereza mimi nitaweka cheti changu cha form 4 & 6 na vyeti vya elimuvyangu ya juu hapahapa ktk thread hii. Naomba tuende pm nikuunganishe teleconference sasa hivi wakati unaandika. Nataka usijiandae na asikusaidie mtu. Naomba tafuta shahidi unaemuamini wewe ashuhudie hili tukio kwa ushahidi zaidi.
Sasa vi-wonder Si ataleta mkulu, shida iko wapi?Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Kumbe unajua kutoa point mkuu nakupa mkono [emoji113]Iki ulichoandika ndo kinasaidia wananch na kuwaletea maendeleo e