Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
- Thread starter
- #121
Police walipata habari kutoka kwa makonda lini....?? Na walifanya sachi baada ya muda gani???Haka kajamaa ni kaongo kupitiliza na kanawadanganta wajinga na wanamwamini kuwa anajua yaani hata polisi wakipata taarifa saa sita za usiku kuwa nyumba fulani kuna silaha watasubiri asubuhi eti!!!!? shame upon him