Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,938
Kazi kweli kweli
Gram moja ni sawa na ukisema 1/1000Kwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Makonda kamwaga unga siku mingiAmeandika wakili msomi Tundu lissu
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.
Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.
Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
Ameandika wakili msomi Tundu lissu
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.
Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.
Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Ndogo sana. Ni rahisi sana kupandikizwa kwa udogo wakeKwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Oops! Tundu Lissu anatoa darasa la sheria mchana kweupe huku kesi ikiendelea. Hii ni dalili tosha ya kiuweledi kuwa hata nikiwapa "hints" mapema hawa wa upande wa mashitaka bado hawana uwezo wa kitaaluma kuwa na counter attack. Kudos mheshimiwa wakili msomi na aliyeelimika Mheshimiwa Lissu.
Kama huna fikra pana huwezi kujua kama hili nalo linahusu maendeleo!Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Sasa kama sheria inasema search isifanyike usiku ili ushahidi usiwe planted wewe unafanya kitakachofuatia for any reasonable man ni nini zaidi ya kujitetea kuwa ushahidi ulipandikizwa?. Nashindwa kuelewa hawa askari wanafahamu sema naona wanapelekeshwa na politicians na wao wanafanya bora iende....hapa ushahidi wa bangi iliyokamatwa usiku hautakua admissible kwakweli...kuna technicalities lakini hizi ni procedures aisee za muhimu sana kufata maana zinaathiri haki ya mtuhumiwa ....Huwezi kujivunia kushinda kesi kwa kutumia 'teknikalitizi' za kimahakama. Jivunie kesi kwa kumtetea mdai ama mdaiwa kulingana na hali halisi ya tukio zima. Usitumie mbinu ovu kuvuruga haki ya mdai. Stivu, kadhibitisha anavuta...wameenda usiku wamekuta 'msuba' wewe unasema ameonewa....!!! ndiyo maana mukulu kulu anataka nanyi mfungwe nao hao wahalifu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Steling amekufa kwa kula mihogo yenye sumu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji112]Duh,kama ndivyo hivyo kwanini walikwenda kufanya upekuzi usiku,imekula kwa rpc Siro!
Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.