Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,727
Hujui lolote. Acha kukurupuka.Crazy world....Kwa hiyo tunayosoma mtandaoni hufanyika mtandaoni siyo...[emoji15] [emoji15]
Hujui lolote. Acha kukurupuka.Crazy world....Kwa hiyo tunayosoma mtandaoni hufanyika mtandaoni siyo...[emoji15] [emoji15]
Hahaha lusungu Mungu anakuonaSizonje tulikwambia.... Huwezi kumnywesha Mungu uji......
You sound like a loser...pole.Lissu ndio nani? wewe binafsi unajua nini kuhusu sheria !!!au kila uongo anaousema unaamini? Criminal procedure act , Tanzania police and auxiliary service act, pamoja na police general order umesoma vifungu vyote vinavyohusu upekuzi au unamwamini tuu huyo jamaa na mauongo yake?
Unajidhihirisha kuwa wewe ni mweupe kichwani unasema humkebehi halafu unasema "wewe huyo si mungu wako" usiende shule kukariri na ukamaliza ukatoka kifua mbele kuwa upo vizuri ona unavyojiabisha hapa.Ha ha ha ungejua anyway,leta hoja sio upuuzi wako hapa facebook inahusika nini.nani kamkebehi kwako wewe huyo si ndio Mungu wako endelea kumsifu..kuongea kesi ambayo bado IPO mahakamani ni sawa?uliza mwansheria yeyote swali hili akujibu then uje hapa..tena usimtaje mod wa watu na kinywa chako kichafu hivyo..sijui umekula maharagwe ya wapi wewe!
trueBig brain at work
Huna jipya kajiridhishe na nilichokwambia ukaulize sawa kijana.I rest my case for now...by the way ni siku mpya imeanza.mi sio bundi wala popo.Unajidhihirisha kuwa wewe ni mweupe kichwani unasema humkebehi halafu unasema "wewe huyo si mungu wako" usiende shule kukariri na ukamaliza ukatoka kifua mbele kuwa upo vizuri ona unavyojiabisha hapa.
Halafu sijasema "Mod" ni "Melo" mmiliki wa hii forum mana unasema "mind your own business" ilihali upo kwenye forum isiyo yako afu unataka uitwe nawe una akili timamu?
Siku zote mpumbavu na msema uongo anapoumbuka lazima akimbie.Huna jipya kajiridhishe na nilichokwambia ukaulize sawa kijana.I rest my case for now...by the way ni siku mpya imeanza.mi sio bundi wala popo.
kwani gramu moja ya bhangi sio bhangi?Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
Jibu unalo.kwani gramu moja ya bhangi sio bhangi?
Hapana ni kubwa mno hata ukimbebesha punda anavunjika miguuKwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Ila wana ccm busy na kuwaletea maraia division sixNaona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Jamani jamani jamani mbn mnamaneno magumu hiv lkn nyie dahSizonje tulikwambia.... Huwezi kumnywesha Mungu uji......
Lisu kaza mwendo baba najua unapambani na pepo wa kijaniAmeandika wakili msomi Tundu lissu
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.
Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.
Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Sikia makato ya bodi yasikuumize kama ni mwalimu fundisha kichina darasani unatoa notes fake,mazoezi feki.Mm nimechoka na no increment, daraja makato ya bodi nakuwa crazy tu