Kweli nimeamini we Ni punguwani! Lema ana Mawakili wanne wote Ni Mawakili WA Chama, Lema haijashindikana kupata dhamana Kisheria, kaa na Majaji na Mahakimu watakueleza! Kwa akili kama yako nami nikuulize kwa nini sii kila Kesi Wakili Mkuu wa Serikali anaenda? Na zote hizo Serikali inaangukia pua?Kashindwa 'kumchomoa' Lema...mahabusu..!! Kumbuka ni mwanasheria mkuu wa Chama anawajibika kuwashughulikia wanachama wanaopatwa na maswahibu ya kimahakama. Kakimbilia sehemu anayodhani ni laini...ya mvuta 'msuba'!
---Leta hoja nyingine.