Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Serikali inahangaika kuwafungulia kesi wapinzani je hayo ndiyo maendekeo waliyoahidi?Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Serikali inahangaika kuwafungulia kesi wapinzani je hayo ndiyo maendekeo waliyoahidi?Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
So far umewasaidiaje hao Wananchi wewe na CCM yako? CHADEMA inawapa wananchi Elimu ya SHERIA bure, nyie kaeni na ukilaza wenu na ubabe maandazi!Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Utakuwa unapumuliwa kisogoni. Hao uliowataja wote wana Mawakili wao, na Lema hayuko Prison, yuko Mahabusu! CCM Ni mjumuiko WA VI.laza!Lijualikali in prison, big brain at work. Seleman Mathew in prison, big brain at work. Godbless Lema in prison, big brain at work!
Hayo yanawezekana tuu kwenye Mahakama za Chato na Monkey Republic! Sio kwenye hii Tz ya Watz! Hii sii Mali ya mtu binafsi!Huwezi kujivunia kushinda kesi kwa kutumia 'teknikalitizi' za kimahakama. Jivunie kesi kwa kumtetea mdai ama mdaiwa kulingana na hali halisi ya tukio zima. Usitumie mbinu ovu kuvuruga haki ya mdai. Stivu, kadhibitisha anavuta...wameenda usiku wamekuta 'msuba' wewe unasema ameonewa....!!! ndiyo maana mukulu kulu anataka nanyi mfungwe nao hao wahalifu!
kiukweli hii semozi inapooza, ina maana kumsaidia wema iwe haki kwake sio mambo ya kuwasaidia wananchi ama unafikiri singida kuna watz na wakimbizi !!!... kwa taarifa yako Arusha alikamtwa Askari mbambikiziaji ili tangazwa ulisikia na Tundu kuonesha hali kama hii mimi kwangu namwona ni shujaa na mtetezi wa kweli ktk haki.. Simpendi wema lkn haina haja baya lisilo la haki limpate.Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Ngoja tukusifie wewe! You are the Best than all! Congratulations!mtahangaika sana. kwa miaka mingi mmeaminishwa kwamba lissu ndio mwanasheria bora kuliko wote, kwamba hashindwi kesi, kwamba anajua sanaaaaaa kuliko wanasheria wengine. You are very wrong.
Ccm ndo wameacha ahadi zao wanahangaika na wapinzan tu na bado miaka miwili tu amalize miaka 5 afu hajafanya chochote alichoahidi maana wameahidi viwanda wanaleta viwonderNaona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Eti tuwaombeeee..mfyuuSizonje tulikwambia.... Huwezi kumnywesha Mungu uji......
huyu nae kavurugwa, hapo kamdhihaki vp Mungu wetu? Hivi mbona usemi huyo anaewezasema anaposimama ni Mungu kasimama, utukufu huo Mungu kuwa miguu yake kapewa saa ngapi?Usilitaje jina la Mungu kwa mambo yasiyo ya maana na wala usimshirikishe ktk mambo ya kijinga. Mnatafuta laana na mambo yenu ya mihemko ya kisiasa. Mungu akusamehe.
ccm je wako busy nann?Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
NILIONGEA JUU YA LISU KUKAMATA HUU MPINI, Lazima amweke mtu wake kati. Harafu nimekumbuka wale watemi wa WWE wanavyotwangana mangumi ya kulipizana, twanga! anasikilizia na yeye anajibu, mtwango! piga nikupige inaitwa hivyoAmeandika wakili msomi Tundu lissu
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.
Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.
Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Atakuja kweli?
anarusha ngumi kwa swaiba yake ajibu, si alianzisha ngumi za mtandaoni, wacha kila mtu atunishe misuli muvi inogile %^&*%#@$^*Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?