Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

Tundu kachemka ni wazi sheria inakataza kuzungumzia kesi iliyopo au inayoendelea mahakaman.sio kila jambo aongee tu.watu wenye weledi wao wanamshangaa tu
Hata Wewe Nakushangaa Unaposhindwa Kuijua Rangi Nyeupe na Nyeusi...Lisu ni Level Nyingine
 
Tundu kachemka ni wazi sheria inakataza kuzungumzia kesi iliyopo au inayoendelea mahakaman.sio kila jambo aongee tu.watu wenye weledi wao wanamshangaa tu
Vilivyozungumzwa haviingilii kesi iliyo mahakamani acha uoga .
 
Hata Wewe Nakushangaa Unaposhindwa Kuijua Rangi Nyeupe na Nyeusi...Lisu ni Level Nyingine
Kwako wewe ndio level nyinginr,mie kwangu he is just bluffing.. Continue praising him as you are dumb
 
Lissu, Lissu, hivi huoni kam wadogo zako, ndgu zako tunaumia ns hii sheria ya Loan bord y 15%?
Hayo yanaweza kuwa nje ya uwezo wake, maana kule wanasikiliza (na sio kuhesabu) NDIO ni ngapi kisha sheria inapita. Kosa au maumivu hayo unaweza kuwa umejisababishia mwenye kwa kupigia kura mbuge kama Lusinde, au akina Maji marefu.
Jifunze ulipokosea ili "kesho" husirudie Kosa.
 
Kashindwa 'kumchomoa' Lema...mahabusu..!! Kumbuka ni mwanasheria mkuu wa Chama anawajibika kuwashughulikia wanachama wanaopatwa na maswahibu ya kimahakama. Kakimbilia sehemu anayodhani ni laini...ya mvuta 'msuba'!

---Leta hoja nyingine.
Be realistic, hajashindwa. Kuna shinikizo la kutoka juu! Majaji wa UPE aliowasema Lisu. Jaji mwingine/hakimu angelikataa akafa na ujaji wake maana hakuna anayeweza kumtoa. Ndio uzuri wa ujaji!
 
Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.

Bimkuu;
Mbona kama unajiona kwenye hicho kioo?? Tupe weye lile uliloliona la kuletea watu maendeleo kwenye tangazo la wauza madawa hayo ya kulevya.
Usitaapike saana utatoa siri ya ulichokula juzi. Semeni mlikuwa na mpango mwingine kuwatangaza waleeee mliotangaza kwa mafanikio makubwa.
Hakuna kitu Mungu anachukia ka kumtumia aliyeumbwa naye ili kujipatia haja yako baadaye ukamtupa ka ganda la muwa wa Kilombero Sugar
 
Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
.... Ametumegea bashraf kidogoo kwamba jamani eeh hizi mnazosikia ni mbwembwe tuu kesi hakuna... Sasa kuna Ubaya jombaa??
 
Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Yanayosaidia wananchi na kuleta maendeleo ni kudhalilisha watu pasipo ushahidi, kudharau mihimili ya Nchi kama Bunge na Mahakama?
Wewe usiokuwa Chadema unaakili ya ajabu, haijapata kutokea..!!
 
Ameandika wakili msomi Tundu lissu

Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.

Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.

Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Police ina mipaka ya kulinda na kusimamia utii kwa wananchi kwa masaa?kituo cha police na kazi zao muda fulani kama office zingine hufungwa?
 
Lissu ndio nani? wewe binafsi unajua nini kuhusu sheria !!!au kila uongo anaousema unaamini? Criminal procedure act , Tanzania police and auxiliary service act, pamoja na police general order umesoma vifungu vyote vinavyohusu upekuzi au unamwamini tuu huyo jamaa na mauongo yake?
Sasa wewe unayesema Lisu Muongo si ushushe nondo zako hapa watu wapime siyo makelele mengi yasiyo na tija
 
Hivyo andeleeni kuvisoma ili mjibie mitihani, ila mnapokuja kwenye practice mnaonekana wa kudema dema mithili ya KUKU mwenye mdondo. Nikutahadhalishe tu bado mapema Kosomea UDEREVA WA GARI ni tofauti kabisa KUENDESHA GARI.
Unaonekana bila mashaka yoyote kuwa wewe kwenye fani ya sheria ni " layman" ndio maana unaamini kila utumbo anoasema jamaa huyu
 
336d2ef92a7fbceadfc70a641025cc3c.jpg
mbavu zangu mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tii kiu yako, patia yeye gegeda papuchi yako.
Teheehehe kwahiyo hata Rais alivyokuwa anasema anatamani angekuwa IGP, you mean alitamani bi mkubwa wake angechezea gegedo la Mzee Mangu? Aisee raia mnawaza kuliko hata shetani siku hizi.
 
Back
Top Bottom