Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
Kiukweli elimu ya uraia, inahitajika sana, Baba kuwa CCM, Mama au mtoto kuwa chama kingine chochote ni hakuna usaliti wowote, na kwa msiojua, Uchaguzi huo wa 1995, Mwalimu Nyerere alimpigia debe mgombea wa NCCR Mageuzi ubunge wa Musoma vijijini Butiama ilipo na akashinda. Utasema Mwalimu aliisaliti CCM?.HV makongoro kwann alimsaliti baba yake
P