Hii ndiyo hoja ya kumpinga mleta mada?!?Hata mimi aise...NCCR mageuzi na alama ya CHADEMA wapi na wapi?
By then CHADEMA ya akina Kasanga Tumbo na ofisi yao pale Magomeni, haikuwa hata mashuhuri...
Hii ndiyo hoja ya kumpinga mleta mada?!?Hata mimi aise...NCCR mageuzi na alama ya CHADEMA wapi na wapi?
By then CHADEMA ya akina Kasanga Tumbo na ofisi yao pale Magomeni, haikuwa hata mashuhuri...
Aisee....sababu ni ngumu kuthibitisha sio?I'm very sorry, I seriously doubt the authenticity of this story.
P
Katika hili nakubaliana nawe kwa 100%.Lakini niseme ukweli wangu. Kati ya Mrema na Marehemu Benjamin Mkapa, nitakuwa siitendei haki Tanzania kumchagua Mrema na kumwacha Mkapa. Kwa hiyo Mwalimu alikuwa sahihi.