kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
The successfully plan of diamond fans
Aisee ndo Leo Una n quote npo Dodoma bado byeeeee
The successfully plan of diamond fans
Sasa na yeye anafuata nyao ambazo miezi miwili iliyopita mlikuwa mnapinga. Acheni double standards vilaza.
Video ya chekecha imedoda kwi kwi kwi kwi
5days views 282,494.
kwih kwih kwih kwih
chekeeeechaaaaa cheeeeekeeeechaaaaa
cheeeeekeeeeeetuuuuuaaaaaaaaa !
Peleka Ujinga huko
Aisee ndo Leo Una n quote npo Dodoma bado byeeeee
kumbe ni mbunge hongera sana%%
Cjawahi ckia mh kikwete akimtaja Ali kiba
Cjawahi ckia mh kikwete akimtaja Ali kiba
kwa hiyo itakua kikwete hamjui king kiba au ?
kwa hiyo itakua kikwete hamjui king kiba au ?
Yani bora kutopost kabisa kuliko kubishana na huyo batamzinga.
Mmh hamjui halafu ushambiwa n vilaza wenzako hamna kupost uku Ina kuawaje we unanza kuni quote
Mtani pwilo vp? ?swalamavp upo?? ah kedrick nshamzoea huyo hanisumbui!
Mtani pwilo vp? ?swalama
nipo naona lengo lenu limefanikiwa ???
Kwanini tena? ? Nyie watani..mods kwani wapo upande upi? ?
Kwanini tena? ? Nyie watani..mods kwani wapo upande upi? ?
Wapo makatoni...
Mambo jirani,
Poleni....watani wa jadi..
Nipe habari mpya za king..
ahaaa sina raha aisee wametuulia thread yetu ! king yupo mbugani analinda tembo huko