Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Diva uliona jana wakenya wanavyomuongelea ng? Yaani daaah walinipa rahaaaaaa, wanamkubali mnooo king, i love this.

Sikuiona my atoto nimepitwaje sasa Kiba anajua sana Wakenya hawajakosea kumkubali kabisa. Wanajua nini maana ya mwanamziki.
 
Last edited by a moderator:
yani atoto wakubali wakatae KINGKIBA ndo anarejea tena kwa speed kama ya rocket asee.

Na hiyo inawapa taabu kweli, huoni sanavgotapatapa, isingekuwa hivyo wangetulia tuliiiii, ila aaaah kila siku kuhaha na kudolishia vitu vya kitoto km watoto wa uswahilini na chupi mpya.
 
yaah!...yani yule meji Alabi ni hataree,maana kaniwekea na effects za muvi za kutosha kwenye kile kideo,i wish kiba afanye nae kazi nyingine yule jamaa.

Kwakweli it ll be very very wonderfull
 
Jamani Kiba namukubali balaa yani nyimbo zake hujizujilia kuzitunga sana. Yani kwa mashairi tu ka ule wimbo wa mwana pale aliposema, mwenda tezi na homo marejeo ngamani alinifurahishaje sasa inabidi BAKITA wamu recognize kwa kukuza kiswahili kwa misemo yake loh.
#ChekechaCheketua

King ni noma, hakurupuki hataaaa, mie bado nashangaa alivyouacha "wife wa dunia" upotee hivi hivi wakati ni ngoma kali sana ile aisee
 
nawatakia usiku mwema get ready for big things from silent killer kingkiba
 
Mie kwenye prof langu ni mwendo wa hidden na deleted mpaka kero basi tu.
Ila wanabore sana

Ndio njia pekee inayowafariji, wameshindwa kumzuia king sasa wanajipooza kwa kufanya hivyo, tuwahurumie tu

Haya chekecha cheketuaaaa
 

Attachments

  • 1436039826924.jpg
    1436039826924.jpg
    93.4 KB · Views: 105
Kwenye maisha kuna kubadili stragegy, Kiba ni mwanamuziki bora kabisa lakini nahisi watu alionao karibu hawamsaidii.

Unajuwa pale Ulaya kuna Christian Ronaldo na Messi kwa anayejuwa mpira anawajuwa hawa watu vilivyo na uwezo wao.

But/lakini kwenye tuzo za mchezaji bora kila mwaka anabeba Messi, Ronaldo anaishia kuwa msindikizaji tu.

Ila sasa ukirudi kuwauliza watu wa mpira wanaofatilia kweli mpira kati ya Messi na Ronaldo nani ni mchezaji bora watakwambia ni Ronaldo.

Peleka Ujinga huko
 
Unanitaka.. Njo PM.

we gasho nn msengerema we kama dume badilika kama ni ke sawa ila ww dume zima unaandika mipasho gasho mmoja ww halafu usiniquote kiboya mbona mi sijakukot boya mmoja we ni ---- dume unakuwa na genye kiasi hicho khanisi ww dont kot me chukua tyme yako
 
Back
Top Bottom