Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Shostito mbona unakuja na kukimbia?
Nikutake mtoto wa kike mwenzangu ili iwaje?

Huyo tom boy naye!!! Biashara imedoda kaamua aitangaze kabisaaa, kumbe hadi ukameroon anahusika nao!! Aiseee hili bao bora lingekuwa withdrawn
 
Video ya chekecha imedoda kwi kwi kwi kwi

5days views 282,494.

kwih kwih kwih kwih

chekeeeechaaaaa cheeeeekeeeechaaaaa

cheeeeekeeeeeetuuuuuaaaaaaaaa !
 
You promised never to quote ur rivals. I wonder whats getting down,.!!
Huh!

Nilikuwa sijajua kama wew ni wa kike.
Mimi sitaki ku quote wanaume ila wasichana kama wew na quote tuu
 
Huyo tom boy naye!!! Biashara imedoda kaamua aitangaze kabisaaa, kumbe hadi ukameroon anahusika nao!! Aiseee hili bao bora lingekuwa withdrawn

Hahahaaaaaahaaa sasa anazani wakina pwilo wananunuaga uchafu?? Hii ni the royal familiiu
 
Last edited by a moderator:
So what do you want:what::what::what:
Get a life hater and get the hell out of Kibas life.

Teh teh teh, tushaidownload tunaicheki tu, anadhani na sie hatuna kazi eti tunakesha utube kushindania views!! Yaani hawa watu ni bogaz zaidi ya bogaz
 
Mimi sina timu kuna aina ya nyimbo napenda! Nazo ni kama hii chekecha cheketua....I love the song,huwa naongeza sauti ikipigwa redioni!

Safi sana shemeji japo hapa wewe sio shemeji maana mkeo kila uzi ana mume.

Keep on listening the good music.
 
Teh teh teh, tushaidownload tunaicheki tu, anadhani na sie hatuna kazi eti tunakesha utube kushindania views!! Yaani hawa watu ni bogaz zaidi ya bogaz

Mwenyewe ninayo ya nini kuhangaika u tube sasa. Views nyingi sio kipimo cha ubora wa nyimbo. Kuna mkorea alivunja record YouTube kwa kuwa na views nyingi zaidi ya billion moja ina maana ni bora kuliko wasanii wote. Tatizo wabongo tunaishi kwa Ku cremisha vitu.
#chekechaCheketua .
 
Wale wanakesha utube kushindana idadi ya views ndio maana yule boya alisemaga mwana ikifikisha views laki moja anajinyonga, sijui alifiaga wapi!! Na hizo views zao ndio wanatumia kushindanisha kila kitu, kama walijishindanisha na davido kwa views wht do you expect??? Hivi mtu wa hivyo unamuona ana akili timamu kweli au mvivu wa kufikiri?
 
Wew atoto ndo nini kunichochea kwa mume wangu adi sijaachiwa hela ya matumizi? Hujui naishi nae?

Sasa unaishi na wangapi mdogo wangu, ila huyu sasa ndio anakufaa kwakweli, hebu utulie sasa, nimempenda bureeee bwana shemeji yaani sijui kama anajua?

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kiba akifanya yake😀😀😀😀
 
Attachments

  • 1436103060666.jpg
    1436103060666.jpg
    65.4 KB · Views: 96
  • 1436103088022.jpg
    1436103088022.jpg
    62.5 KB · Views: 87
  • 1436103106332.jpg
    1436103106332.jpg
    53.1 KB · Views: 86
  • 1436103118732.jpg
    1436103118732.jpg
    65.6 KB · Views: 92
  • 1436103132152.jpg
    1436103132152.jpg
    54.3 KB · Views: 81
  • 1436103150132.jpg
    1436103150132.jpg
    63.8 KB · Views: 82
  • 1436103166623.jpg
    1436103166623.jpg
    44.5 KB · Views: 87
Back
Top Bottom