Kama n hivyo basi kazi ipo mi mwenywe nilipgwa ban ya masaa Leo
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Mimi ni KIBA DIE HARD FAN.
Mods uzi wenu huu nawaachia.
Usiku mwemeni wadau na kwaherini
Takumic wallah
Uwe unaingia pm.
Celebrity pamegeka Somalia ghafla.
Nitakumisi pia mkuu
Teh Teh..mtani nimekureport upigwe ban hata la siku mbili nikumiss...!
Usiku mwema wapendwa
Mbona ujaweka n maneno ya chini ivi Leo review ya album ilimalizika kweli 😀😀😀😀
Haikumalizika !! Ccm waliingilia ,
Maneno gani?
Mimi ni KIBA DIE HARD FAN.
Mods uzi wenu huu nawaachia.
Usiku mwemeni wadau na kwaherini
my dear a bit busy with mauchaguziiii....umeenda wapi tena myne? nifah i hope u r back.Jamani kwaherini wapenzi, nawakubali kinoma noma yaani, mida ya.....hii.
Nisalimieni geniveros unanitaka Shardcole Ms.Lincoln Mrembo by Nature warumi n.k
Ngoja niingie YouTube tena maana nimeshaimiss tayari.
Tutaonana tena panapo majaaliwa inshaallah...
Tchao