Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Vigazeti uchwara vya kufungia maandazi ni suitable kwa mazuzu kama wewe na mabeki tatu kitaa.

Na ni mazuzu pia kama wewe wanaojitafutia vidonda vya tumbo na magonjwa ya moyo kwa kupingana na ukweli ulio wazi kua mondi yuko juu sana ya huyo balozi wa wanyama...
 
Attachments

  • 1436882334703.jpg
    1436882334703.jpg
    60 KB · Views: 115
Daah m kwetu kjjn huku hata umeme bado hujafka... Hv cheketua bado inachezwa trace tv eeeh hv ishaingia ktk top ten mana daah naipenda sana heheh

mkuuu nana naskia wanaipiga hadi cnn huko nimeambiwa leo !
 
sawa na hii je ni kweli??

😀😀 jamaa na mdomo wake huo huo kashakua mtu maarufu ndani na nje ya nchi, na anawakilisha vyema taifa letu na east africa kwa ujumla. Ni wazi kua huo mdomo ulikua ni tatizo kabla hajakamata pesa na kupata mafanikio aliyopata, lakini kwa sasa mafanikio yake na pesa yanafunika kila kitu ukiwamo huo mdomo....
 
haaa na AY kwani sio mtz mbona amejuana na hao kina godfaza kabla ya huyo mr misifa sema jamaa ni misifa ila AY na kiba wameitambulisha tz kabla yake huko nyuma mpaka kiroboto katutangaza vizuri tu
 
Wadau wote wa Ally Kiba fan's natoa offer kwa mtu wenu niwe Director wake ambaye siitaji anilipe, nikiwa na maana hii hapa;
Sijapata kushangaa video 'cheketua' ina quality nzuri lkn haina viwango kwa anachoimba na kuonekana nadhani jamaa aliyemwambia afanye vile ni fan's wa mond that so y kamdanganya ili kuzidi kumshusha kwa viwango.
Poleni sana fan's kiba.
 
mkuu unafuatilia vizuri mziki au unafuata mkumbo kama bendera???
 
haaa na AY kwani sio mtz mbona amejuana na hao kina godfaza kabla ya huyo mr misifa sema jamaa ni misifa ila AY na kiba wameitambulisha tz kabla yake huko nyuma mpaka kiroboto katutangaza vizuri tu

Ay ni wazi kua kwa kiasi kikubwa aliandaa misingi na kufungua njia ya mziki wa bongo kuvuka mipaka, na ataendelea kuheshimika kwa hilo, hata diamond mwenyewe anatambua hilo(refer post ya mondi instagram siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa ay)...lakini kwa kiba hapana. Kiba alikua na nafasi nzuri sana ya kutusua kipindi kile, mpaka akapata project na kina r kelly, lakini akabweteka na hakua na njaa ya mafanikio, matokeo yake kila siku anabaki kua kama underground....
 
Attachments

  • 1436886198173.jpg
    1436886198173.jpg
    40.8 KB · Views: 86
Back
Top Bottom