kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Kiba akifanya yake😀😀😀😀
Coco akipost dai picha mna muita lembukeni
Kiba akifanya yake😀😀😀😀
Kiba akifanya yake😀😀😀😀
Coco akipost dai picha mna muita lembukeni
Sasa na yeye anafuata nyao ambazo miezi miwili iliyopita mlikuwa mnapinga. Acheni double standards vilaza.
Kiba hana majigambo bana, hawez waambia mashabik wake kuwa sasa naogea sink la silver, anajua fans wake ni kina nani, domo kanyooka siku hizi ile uswahili wake wa kuponda mashabiki kaachaacha na kupost mashelf ya kichina jikon kaacha. Hahhahaa kiba anapost kazi tu sio kuonyesha sufuria analopikia n.k.
Halafu KILAZA WE MWENYEWE NDOOOOOROOOBO WEWE
Dai mswahili akiweka picha mpaka atupiemo kadongo sijui tumwone ngariba bla bla bla
hana akili yule kuna siku alimuandikia zari mipasho ya kiswahili hawezi kujizuia na anablock watu ila kiba hafanyi hiyo kitu na wanamtukana sanaa kiba ila hablock mtu
Diva Beyonce njoo huku kilimbamule anakuitaa
Nimeskia video ya joh makin ya nusunusu imeshika namba moja mtv. Jamaa katoboa mwenyewe kimataifa bila kutegemea nigeria kama kina mwanafulani hapo tandale.
Huyu kilimbamula ni mara ya kwanza kukutana naye, nilijua kakosea njia so inabidi aelekezwe