Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,329
- 176,110
Avemaria hapo hata kasatifiketi huna je ukipata kadegree si tutakukimbia, hii akili kubwa mno ujue.Hahah some people bhana.
Eti anawaambia wenzie wana elimu ndogo....elimu ndogo compared to who??? Smh
Wewe mwenye elimu kubwa ndo ikoje? Ina ukubwa gani?! Mbona waonekana lafa tu!! Heheh ebu nitie kicheko cha sunna mie!
Alafu nawe Matola naona ka unazingua tu daily kujipendekeza mtaa wa pili.
Kwani ukimkosoa Kiba ni lazima ukajisifu kwa jirani? Huko ni kujikosha tu ndo ukae ukijua hata kama we unaona sifa FYI wanakuchora tu.
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwani sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!
Last edited by a moderator: