Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wakileta upuuzi wao lazma waambiwe tu mana wakileta huku ya domo ni hawajiamini. Chochote wakileta cha kiba cha domo ni kuwa ignore tu basi.
Usipo jibu upuuzi inaonekana kweli na hao wanaokuja huku wanataka Ku prove kitu na wametumwa eeeh.

haya endeleeni
 
Yeyote akija huku na negative attitude anapigwa tu ( in pinda's voice) yani wamdhihaki kiba halafu tunyamaze, no way. Wakamdhihaki kwenye uzi wao, humu wanapigwa tu
 
Sisi ni wamoja tu jamani mnatufukuza??

Anyways tuna exercise role ya kaka hatuwezi kuwaacha wadogozetu nyuma lazima tuwape challanges na kuwabeba ndio maana akawa named ICON OF THE NATION kwa kutambua pia role ya mashabiki wake kwa kuwaboost waliolala, chipukizi, na wanaofanya poa wafike level kama zakwake hata kama baada ya miaka 5 hivohivo taratibu ndio mwendo, maana nakumbuka na chibu ameanza mbali saana safari hii tangia kuwa nominated kama upcoming artist 2010 MTVMAMA kupitia kamwambie, mpaka leo alipofika ndio maana tunathubutu kutoa challange kama chibu kaweza kwanini k 4 real, king zamunda asiweze?? pamoja mpaka kieleweke.... team kiba damdam
 
Ukiingia kwenye uzi wa king kiba uwe unasalimia kwanza haya msalimie sana, hivi karudi au anasaka kolabo

Unapo ingia kwenye thread yoyote uwe una angalia na jina la mtu alie uanzisha huo uzi,Fans wenzako wote wa kiba wana mpa respect Matola u know why?
 
Last edited by a moderator:
Angalia aliyeanzisha uzi mkuu mbona unajivua nguo. Upumbavu sio kilema saka exposure itakusaidia.

Siangalii historia mimi naangalia umesema nini kwa wakati huu, kama ni ----- basi nakurudishia ukuwashe mwenyewe, siwezi jivua nguo kwa kuongea hali halisi. Byeee msalimie msaka makolabo
 
Unapo ingia kwenye thread yoyote uwe una angalia na jina la mtu alie uanzisha huo uzi,Fans wenzako wote wa kiba wana mpa respect Matola u know why?

Kupingana na mtu si kutomheshimu upo hapo, kuanzisha thread sio kuwa sahihi kwa kila kitu, tupingane kwa hoja sio kuogopana byeee.
 
Last edited by a moderator:
Siangalii historia mimi naangalia umesema nini kwa wakati huu, kama ni ----- basi nakurudishia ukuwashe mwenyewe, siwezi jivua nguo kwa kuongea hali halisi. Byeee msalimie msaka makolabo

Na kiukweli kusaka collable tunafanikiwa kinoma cheki hapo manager wa wizkid "sunday" na manager wa chibu "salaam" kama ronaldo, ila hii tutaiachia mwakani 🔥🔥..

Afu nilisikia King anaproject na wizkid?
 
Attachments

  • 1435478406439.jpg
    1435478406439.jpg
    16.8 KB · Views: 80
Kidingi hamna anaye taka challenge za kipuuzi namna hyo zilizojaa selfish kwa kujidai Ku boost wengine kumbe ni kujificha nyuma ya hidden agenda za kibinafsi.
Icon ya taifa kwa kubebwa na sio Ku deserve kiujanja ujanja.
Ka ni bora msingekua mnapoteza a lot of energy Ku prove kwa watu kuwa ni best.
Kuanza mbali sio jambo la ajabu duniani na usitake kuaminisha watu kuwa yeye ni unique its a normal thing kabisa.
Kwanza hamu challenge kiba anawanyima usingizi mno whether you admit it or not that's the naked truth you don't need to use a lot of energy to show that. #KibawillAlwaysShineInOurHeartsNoMatterWhat .
Mumuache kumsakama afanye yake he is not competing with anyone. Kutuleletea mambo ya domo huku ni #KutokujiaminiNaMsaniiWenu .
 
Last edited by a moderator:
Yeyote akija huku na negative attitude anapigwa tu ( in pinda's voice) yani wamdhihaki kiba halafu tunyamaze, no way. Wakamdhihaki kwenye uzi wao, humu wanapigwa tu

I absolutely agree with you hatuta entertaing any stupid kwenye uu Uzi.
 
Kidingi hamna anaye taka challenge za kipuuzi namna hyo zilizojaa selfish kwa kujidai Ku boost wengine kumbe ni kujificha nyuma ya hidden agenda za kibinafsi.
Icon ya taifa kwa kubebwa na sio Ku deserve kiujanja ujanja.
Ka ni bora msingekua mnapoteza a lot of energy Ku prove kwa watu kuwa ni best.
Kuanza mbali sio jambo la ajabu duniani na usitake kuaminisha watu kuwa yeye ni unique its a normal thing kabisa.
Kwanza hamu challenge kiba anawanyima usingizi mno whether you admit it or not that's the naked truth you don't need to use a lot of energy to show that. #KibawillAlwaysShineInOurHeartsNoMatterWhat .
Mumuache kumsakama afanye yake he is not competing with anyone. Kutuleletea mambo ya domo huku ni #KutokujiaminiNaMsaniiWenu .

Hahahaha umemaliza
 
Last edited by a moderator:
Siku njema wakuu.. Samahanini for all inconvenience si ndugu tu, mi mwenyewe jumatatu saa tatu asubuhi na dakk 32 ntakuwa nacheki chekecha cheketua by King himself Trace tv, & still view yangu youtube, like, and comment vinanihusu... Team kiba si ni ndugu tu kama alivyosema unanitaka kupinga kwa hoja fulani haimaanishi kumkosea mtu heshima, wala si kumchukia ni facts tu, GREAT THINKERS #teamkiba
 
Last edited by a moderator:
Mmmmnh... Watu tupooo kimyaaa tu tunamsubiri ALLY KIBA atoe ilooo jivideo lake ili tujue tunamuweka lever gani.
Mana kwa sasa bao yupo kwenye lever za shilole-MALELE ile video ni kali kuliko mwana.
Mimi ni #teamChibu lakini pia napenda mafanikio ya wasanii wengine ALLY KIBA kapewa promo ya kutosha chamsingi afanye vitu vya kijanja ilooo kideo likiwa safiii ntarudi hapa kumpa hongera zake.
My take asije akatoa tena video itakayomuweka lever moja na SHILOLE atleast asogee kidooooogo mbele.
Ramadhan kareem
 
Mtasema yote mwaka huu, unajua kiba ni zaidi ya boss wako mondi ( ukitoa makolabo ya wanigeria ambayo wanampa msanii chipukizi mondi). Hii comment yako inaonyesha jinsi unavyosubir kwa hamu mfalme atakuja na kitu gani hhahhahaahha mbona huwa huzisubirii video za kina shilole na mziwanda. Chungu kumeza ila umejitutumua mzee, angalia trace kesho kisha ufungue thread.
 
Lakini Ukae ukijua Yeye ni msanii chipukizi. ....
 
Back
Top Bottom