Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,577
mkuu umesahau collable na mafikizolo... Afu suala la kutoa ni maamuzi yani vichupa vingi saaaaaana tunafanya doli doli tu hakuna longolongo na kuna uwezekano hiyo ikatoka mwakani hivyo yanii kibabe zaidi...
No gademu longoloñgo 😎 No kauka nikuvae tunachagua tu...
Hapa umepotoka, video ni muhimu sana kwa music industry ya sasa, tusitetee ujinga. KIBA ni mjinga katika hili.
Kweli we wa tandale, hivi kuongoza nominations inatokana na wingi wa video??? Hebu rudi tena ucheki video anakuwa nominated kwa kipengele kipi na nyingine ni live na best male. Unaweza ukarelease video moja na ukaingia katika vipengele zaidi ya vitano kama ilivyo kwa bwanako domo upo hapo. Kudai kiba ni local mbona akipata hizi tuzo za local mnachachawa sana na kugwayagwaya. Umesema domo katoa nyimbo mbili tu hahahaaha!!! Ina maana taarab hamuihesabiii hahahahahahahah:sly::sly::sly:
Hapa umepotoka, video ni muhimu sana kwa music industry ya sasa, tusitetee ujinga. KIBA ni mjinga katika hili.
Nani kasema sio muhimu, lakin lazima utoe kwa mipango kwamba itakuwa video nzuri, unique na italipa sio unarelease kama peremende wakati umetumia hela kuitengeneza, ile ni biashara lazima irudi muulize boss wako domo kama hajutii video ya taarab, nampongeza kiba kwa kuwa slow but sure.
Mwaka huu katoa Nasema nawe na Nana hizo mbili...
Mwana vipi si alishoot kwa god father??? amepata hata msanii chipkizi??
Dangote nitampata wapi imempa mtumbuizaji bora, bumbum imempa best collable, na consistency yake kumaintain mwaka mzima ameonwa kama mwanamuziki wa kiume bora zaidi...
Wizkid- crazy aliyoshirikishwa na sayshay imempa best collable, show you the money imempa best song, na consistency imempa best male
Davido mwaka jana katoa nae nyimbo nying tu shoki alishirikishwa imempa best song, collable na video the sound pamoja na best male... Still alitoa nyimbo nyingi aye, tchelete, naughty, owo ni koko, sasa diamond mdogomdogo, bumbum na ntampata wapi kwa mwaka unaona nyingi hahahahahahaha
masikini aliye na buku mfukoni, hata ukitumia 20000 tu anaona umefanya kufuru hahahaha ni uwezo tu
Mkiingia JF muwe mnapiga hodi, haya bwana mkubwa nitamuuliza boss wangu.
Ukiingia kwenye uzi wa king kiba uwe unasalimia kwanza haya msalimie sana, hivi karudi au anasaka kolabo
Narudia tena kuuliza ile taarab mbona huiweki kwenye mahesabu?? halafu unatambia video ambazo wanaigeria wamewabeba?? Haahahaha asimame yeye peke yake kama kwenye taarab na atoboe kimataifa hapo tutamsifu.mbona umepagawa mzee, au ni huu ujio wa cheketua. kiba angekuwa chipukizi msingekuwa mnaamkia humu na kulalia humu wewe na wenzio, mkiona jina kubwa kiba lazima mkimbilie huku hahahaha. Nasubir video yenu na psquare mana mlisema mngedrop miezi miwili iliyopita.
mkuu umesahau collable na mafikizolo... Afu suala la kutoa ni maamuzi yani vichupa vingi saaaaaana tunafanya doli doli tu hakuna longolongo na kuna uwezekano hiyo ikatoka mwakani hivyo yanii kibabe zaidi...
No gademu longoloñgo 😎 No kauka nikuvae tunachagua tu...
Umeelewa mahaba niuwe tu.. labda niongezee huu uzi ni jina tu kiba, but almost half of the comments unamuongelea Chibu danhote, King of Afropop EA, Sioni sababu ya mimi kutokuingia hapa ni nyumbani kwangu...
#bestmale #bestcollable #bestlive Chibu dangote
Uwe unashirikisha akiliyako sio kila mda mahaba niuwe, diamond amerelease nyimbo 2 mwaka huu, huyo kiba ndio uwezo wake video 1 kwa mwaka, afu hata hivyo amekaa kibongobongo zaidi inakuwa haimcost sana...
Ndio maana unaona diamondz davido, na wizkid wanaongoza kwa nominations mtvmama unajuwa kila mmoja anaproject ngapi kwa 2014???
Usifananishe mwanamuziki local na wakimataifa sisi tunaenda ki proffesional ndio maana mambo yanajipa...
Nani kasema sio muhimu, lakin lazima utoe kwa mipango kwamba itakuwa video nzuri, unique na italipa sio unarelease kama peremende wakati umetumia hela kuitengeneza, ile ni biashara lazima irudi muulize boss wako domo kama hajutii video ya taarab, nampongeza kiba kwa kuwa slow but sure.
Narudia tena kuuliza ile taarab mbona huiweki kwenye mahesabu?? halafu unatambia video ambazo wanaigeria wamewabeba?? Haahahaha asimame yeye peke yake kama kwenye taarab na atoboe kimataifa hapo tutamsifu.mbona umepagawa mzee, au ni huu ujio wa cheketua. kiba angekuwa chipukizi msingekuwa mnaamkia humu na kulalia humu wewe na wenzio, mkiona jina kubwa kiba lazima mkimbilie huku hahahaha. Nasubir video yenu na psquare mana mlisema mngedrop miezi miwili iliyopita.
Hivi kwanini alikiba akitangaza kutoa wimbo mpya au video huyu jamaa lazima aje na mambo ya "should I drop this one " cjui "u gonna love it " Mimi mpka Leo nasubiria kale kawimbo alichokitangaza na psquare kwa mtindo Wa should I drop this
Mwambieni aache kuwa na mawazo ya wavaa chachandu
yaani unanitaka huelewi kiswahili kabisa, huwezi kuwapuuzia maana mnasogeza page utadhani kuna la maana linajadiliwa