Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

okey kuna mtu amenitag insta kwenye ac ya kiba, kwakweli kwa kuangalia tu ile clip video ni mbovu mnoo compared tu nusunusu au nobody but me.. Diku nyingine mnavyolalamika mjitahidi kutafuta nafasi kumchana ukweli, watu waliomzunguka inaonekana ni bogus plus anafanya vitu kimasikini show zenyewe kavu hapati za kutosha, bado analipwa pesa kidogo afu anapoteza pesa kufanya vituko vole???

Nimeongea haya sababu najuwa kiba anauwezo wa kutoa kitu bora kama wenzake joh, shetta, mavoko na si kwa utoto anaofanya bora video coz kuchezwa trace haitoshi, coz mwana ilichezwa mara moja kwa wiki ova mpaka unajiuliza walilazimishwa kupokea?? kumbe ni quality
 
Ingia instagram kwenye page ya officialalikiba utaona kipande cha video ya Cheketua daah kama ndio vile haki ya Mungu bila ushabiki wala nini ile video kwa vyovyote haina viwango kama tunavyo vitarajia ,believe me kaka.
 
Unazungumzia viwango gani ? Ingia hapa on instagram JMFilm
Ukavione ivyo viwango
 
Last edited by a moderator:
Video mbovu sana,yani alikiba kwa uwezo alionao hawezi kutoa video mbaya hata kufunikwa na vanesa au joh makin na hata na shikorobo ya sheta,ni bora angeenda hata ogopa wangemtengenezea video nzuri ila ki ukweli kaaribu vibaya
 
Kwahiyo hapa unapolalamika ndio utapata suruhisho la tatizo lako ?

Shikorobo kwa video gani pale mpaka ufananishe na hii chekecha ?
 
Kiba katuangusha,afanye kazi zake bila presha ya mashabiki au kwa nia ya kushindana,kama hii video haikutengenezwa bongo then kaenda nje kwa ajili ya hii video?
Kiba anatuangusha
 
Back
Top Bottom