pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
Hahahaaa aiseee
kiba jeuri sana yule jamaaa
akili zake anazijua mwenyewe #teamkibaa #hana maringo wala papara
Hahahaaa aiseee
Hivi yule mjomba wa Kiba anaemwandikia nyimbo zake anaitwa nani?
Utakufa wewe na stress zako za maisha, maskin kaja kwako kuomba chumvi,.
Ndo kukosa kazi huko unaweza kukuta watu wachache wana I view kila sasa. Je yule mkorea aliye vunja record ya kuwa na viewers billion moja kwahyo ni bora kuliko wasanii wengine.
Tatizo wanafanya kila kitu kwa mashindano huyo domo kwa Davido atasubiri sana si kielimu wala mkwaja wala family level na background yake. Aiendelee kujidaganya. Davido made him famous.
Shalom TeamUshindi.
Ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa King of Afro pop in East Africa, Allikiba, itakuwa released jumatatu hii.
Video hii ya chekecha ipo directed na Director Mejilabi ambaye ni miongoni mwa directors wakubwa Africa na mwenye records nzuri kama video zake 2 kuingia katika category ya video bora ktk tuzo za Mtv Mama mwaka huu.
#Rockstar4000 presents
Should we drop this vp tufumue tulisema after 3 month tunafumua nyingine 😀😀😀 audio n video sio video mwakaaa
kirohombaaaaaaaya dadeki
Acha uongo ww embu taja video alizofanya mejilabi n zikabamba zaidi ya crazy ya shei shey ft wiz kid crazy taja video nyingine aliofanya IPO MTV awards we jamaa unawadanganya wenzako et video mbili aiseeee n moja tu iyo crazy
usiku mwemah ?? #teamkiba
Wameshaanza kujiongelesha kabla kichupa hakijadondoka rasmi. .mzigo ukitoka rasmi sijui itakuaje
Vp msanii chipukizii Ali k kufikia levo ya diamond itakuwa lini iyo :what:
Hivi yule mjomba wa Kiba anaemwandikia nyimbo zake anaitwa nani?
Hivi kwanini alikiba akitangaza kutoa wimbo mpya au video huyu jamaa lazima aje na mambo ya "should I drop this one " cjui "u gonna love it " Mimi mpka Leo nasubiria kale kawimbo alichokitangaza na psquare kwa mtindo Wa should I drop this
Mwambieni aache kuwa na mawazo ya wavaa chachandu
Hivi kwanini alikiba akitangaza kutoa wimbo mpya au video huyu jamaa lazima aje na mambo ya "should I drop this one " cjui "u gonna love it " Mimi mpka Leo nasubiria kale kawimbo alichokitangaza na psquare kwa mtindo Wa should I drop this
Mwambieni aache kuwa na mawazo ya wavaa chachandu
Mi namshangaa huku kudrop video kila siku kunamshusha sana, hivi haoni tanzania nzima sasa inazizima kwa kusubiri cheketua??? Ajifunze kwa the #king kiba
Wewe matumbo njoo kwa Legendary Sugu tuflash back huku usiwachefuwe wapendwa, leo tunaichambuwa Bongo Fleva ilikoanzia ili vijana wajifunze misingi ya huu muziki ulipotoka. Asiyejuwa Historia siku zote ni mtumwa.
Uwe unashirikisha akiliyako sio kila mda mahaba niuwe, diamond amerelease nyimbo 2 mwaka huu, huyo kiba ndio uwezo wake video 1 kwa mwaka, afu hata hivyo amekaa kibongobongo zaidi inakuwa haimcost sana...
Ndio maana unaona diamondz davido, na wizkid wanaongoza kwa nominations mtvmama unajuwa kila mmoja anaprokect ngapi kwa 2014???
Usifananishe mwanamuziki local na wakimataifa sisi tunaenda ki proffesional ndio maana mambo yanajipa...