Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mtasema yote mwaka huu, unajua kiba ni zaidi ya boss wako mondi ( ukitoa makolabo ya wanigeria ambayo wanampa msanii chipukizi mondi). Hii comment yako inaonyesha jinsi unavyosubir kwa hamu mfalme atakuja na kitu gani hhahhahaahha mbona huwa huzisubirii video za kina shilole na mziwanda. Chungu kumeza ila umejitutumua mzee, angalia trace kesho kisha ufungue thread.

Hahahaaaa! Wenye elimu zao za phd umeona wanavyoandika!! Nimecheka mpaka basi, yaani mie nawashangaa hawa watu wanavyohangaika jamani, sasa km mtu wao "lever"(in phd's voice) ya mataifa local anawasumbua nn mbona kutwa kwa uzi wake?? Wht r they trying to prove km sio kutokujiamini??

#kibawauebaba
 
Kiba akaze tu jaman m naamin kwa video hyo ya cheketua huenda na yy akapata nominee ya upcoming artst wa afrca
 
Last edited by a moderator:
Lakini Ukae ukijua Yeye ni msanii chipukizi. ....

Angekuwa chipukizi mngehangaika naye humu??? Hahaha mngehangaika na kina rubi pia basi. King level nyingine muulize mondi akwambie anavyomkosesha usingizi
 
Kiba akaze tu jaman m naamin kwa video hyo ya cheketua huenda na yy akapata nominee ya upcoming artst wa afrca

Kiba anajulikana afrika ndio maana alichaguliwa kuimba mwimbo wa one africa. Labda useme kujulikana nigeria ambapo kuna watu wanaamini kuwa ili uchomoke kimataifa lazima ukaombe kolabo nigeria
 
Diva Beyonce shikamoo, ila sasa hawa phd holders wagumu kweli kuelewa cjui hizo phd walizipataje, taratibu tu wataelewa

Hahaaa hizo phd zao no za uchochoroni tena za Zoom wangekua na PhD wangewezà kung'amua mambo kwa ufasaha.
 
Last edited by a moderator:
Heheh le princess.....kwa raha zako.

Yaani we acha tu, hiki kipaji walah ni dhambi kubwa kutokukirecognize ndio maana majirani hawataki dhambi kutwa tuko nao humu wanamrecognize japo in a bad way ila wenyewe wanaujua ukweli mioyoni mwao, wanamkubali King vibaya mno na anawaendesha hatari, basi tu wanajitoa ufahamu.

Wanashindana na asoshindana si uendawazimu huo, acha awakimbize na inabidi wamshukuru sn King maana bila yeye wangelala, kawaamsha hatari.
Hebu na wote tuwe na adabu na tuseme "Hasante King"
 
Lakini Ukae ukijua Yeye ni msanii chipukizi. ....

Teh teh teh, ndivyo mnavyojifariji eti?!!! Km chipukizi mbona anawakimbiza hamlali?? Aisee if thats the case basi ndomo anahitaji deliverence, how comes chipukizi anamhenyesha hivyo!!

Ukweli mioyo yenu inaujua,hapa mnajifariji tu
#chekechavideovibes
 
Yaani we acha tu, hiki kipaji walah ni dhambi kubwa kutokukirecognize ndio maana majirani hawataki dhambi kutwa tuko nao humu wanamrecognize japo in a bad way ila wenyewe wanaujua ukweli mioyoni mwao, wanamkubali King vibaya mno na anawaendesha hatari, basi tu wanajitoa ufahamu.

Wanashindana na asoshindana si uendawazimu huo, acha awakimbize na inabidi wamshukuru sn King maana bila yeye wangelala, kawaamsha hatari.
Hebu na wote tuwe na adabu na tuseme "Hasante King"

Asante king kiba
 
Kiba anajulikana afrika ndio maana alichaguliwa kuimba mwimbo wa one africa. Labda useme kujulikana nigeria ambapo kuna watu wanaamini kuwa ili uchomoke kimataifa lazima ukaombe kolabo nigeria

Mwaka gani vile nikumbushe plz
 
Hivi wema jana kasemaje vile kuhu tuzo za KTMA juu ya kumpigia kura kiba... daaa wema bwana napenda kweli kipond chako
 
Hicho kipindi chake kinaonyeshwa hapa?? Au bado una homa ya tuzo?? Mlishazikosa (mcheza kwao hutunzwa) so we km bado unaugua basi ugua pole.
 
Kumbe watu wanapiga magoti ili wapewe kick hahaha hiki ni kichwa cha mwenda wazimu hata ufanyaje
 
Hahah some people bhana.
Eti anawaambia wenzie wana elimu ndogo....elimu ndogo compared to who??? Smh
Wewe mwenye elimu kubwa ndo ikoje? Ina ukubwa gani?! Mbona waonekana lafa tu!! Heheh ebu nitie kicheko cha sunna mie!

Alafu nawe Matola naona ka unazingua tu daily kujipendekeza mtaa wa pili.
Kwani ukimkosoa Kiba ni lazima ukajisifu kwa jirani? Huko ni kujikosha tu ndo ukae ukijua hata kama we unaona sifa FYI wanakuchora tu.
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwani sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!
 
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwa sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!

Kula gwala halafu simwonagi akiwapa nakoz hawa wajingawajinga au kuanzisha thread ndio umemaliza hahaha yani ukiona mpinzani wako anakusifia ujue kuna walakin. Hata kwenye ktma sikumwona akimnadi kiba kisana au labda ni silent killer 😡😡😡😡:what:
 
Last edited by a moderator:
Kumbe watu wanapiga magoti ili wapewe kick hahaha hiki ni kichwa cha mwenda wazimu hata ufanyaje

Kama mnavyowapigia wanaija basi mnadhani kila mtu anapiga eti eeh, acha kuwa mgumu kuelewa wewe msomi wa kimataifa, nahisi hukumuelewa wema ila unalazimisha ulivyoelewa ndivyo kila mtu aelewe, kwani kibaya hapo nn mtu kumuomba saport rafiki yake?? Utaugua sn na bado, alafu hii habari ishaexpire maana mliifungulia mpaka uzi au ulikuwa bad hujajiunga jf??

#chekevhavideovibes
 
Hahah some people bhana.
Eti anawaambia wenzie wana elimu ndogo....elimu ndogo compared to who??? Smh
Wewe mwenye elimu kubwa ndo ikoje? Ina ukubwa gani?! Mbona waonekana lafa tu!! Heheh ebu nitie kicheko cha sunna mie!

Alafu nawe Matola naona ka unazingua tu daily kujipendekeza mtaa wa pili.
Kwani ukimkosoa Kiba ni lazima ukajisifu kwa jirani? Huko ni kujikosha tu ndo ukae ukijua hata kama we unaona sifa FYI wanakuchora tu.
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwani sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!

Naheshimu maoni yako, ila Kiba anazinguwa huo ndio ukweli, njoo kwenye uzi wa Sugu kwenye jukwaa hilihili utaelewa kitu.

Mimi ni mdau muhimu sana kwenye muziki huu sina sababu ya kujiexpose hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom