Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,410
- 176,317
Si ndo tabia yao hao wao zingifuri alivotupa makavu mwanzo wakaona Sawa kweli wakajua katupata vizuri daily kutuanzishia Uzi. Alaaa alipoanzisha Uzi kuhusu domo ndo wakashtuka na kumparamia kuwa mzushi.
Na Uzi wa Jana aisee licha ya ushabiki wanaenda beyond aisee.kumbe alikua anatumwa.
Unajua wangekua wana discus kuhusu Kiba haina shida sasa mambo ya ndomo kwenye Uzi usio muhusu.
Ndo mana wanaenda kutukana kwenye page ya Davido aibu tupu.
Hawa fujo ziko damuni, kuvamia kila mahali hata pasipowahusu, kukurupuka tuuu, wazee wa lambojini, teh teh teh teh, acha wakatukane mama thats wht they know beta.
Last edited by a moderator: