Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Th Name nakubali sana mashabiki wa kiume wa king kiba na wa respect sana hamnaga umbea umbea na unafiki kama watoto wa kike.
Nyeusi nyeusi nyeupe nyeupe.... peterchoka salute kwako pia mkuu hulei ujinga ulinikuta maeneo flan ukaniambia niache. Yaaah ndo tunataka wanaume kama kibas fans

onelove cute b together as one, we shall overcome someday, isn't it?
 
Last edited by a moderator:
Yaani we hujawaelewa tu?? Hawajaja vzr wala nn ni unafiki tu, angalia tu walipoanzia then hapo u'll know whts going on, kabadilisha mawazo tu alipoona alichokitegemea hakikuwa vile they thout, walikuja kwa mbwembwe wakitegemea wangetuchota wapate ya kutukana as usual, ila response ikawa veryyyyy positive ikabidi wanate na beat, ila hawana lolote!!

Chezeiya unafiki wewe hauishi kamwe. Hachotwi akili mtu hapa na walitegemea mipasho na matusi watasubiri sana. Msanii wetu ni local we respect that.
Ka nawaona uso ulivo washuka walifikiri habari ya shingongo tu ta imindi sana that why I like #TeamKiba jamani mnajielewa sana no matusi wala ni ni wala paniki.
#ForeverAsOneMuchLove :thumbup::thumbup:
#KeepItUpTeamKibaFans .
 
Dia Leo umenifurahsha mno yani umeongea ma point sana wenye akili wamekuelewa sana.
Only truth will set us free and not hatred and hypocracy. Kutofautiana kupo tu usifikie mahali watu wanajitoa ufahamu na kushindwa Ku reason vizuri.
Mihemuko mibaya hili ni jukwaa la great thinkers lazma tujitofautishe na instagram.
Hilo la bifu na mikumbo ndo lao bora kudandia vtu kwa mbele kitu mtu akimhusu unaingilia.
Yani wanaume kuzalilisha ndo sifa. Mi mwanamke mwenzangu hata ka simkukubali siwezi Ku support huo uzalilishaji na kuwa support.
#LetUseOurCommonSenseInReasoning .
#RespectEachOtherNoMatterOurDifferences .

Yaani na wanafanana kama mayai, hv mpaka kutumana ili kuchafuana!!! Like serious!!! If zingifuri was right basi they hv a veryyyyyyy big problem, we angalia tu hata ktk thread hizi mbili wao ndio hawaishi kutia fujo humu na vitu visivyo na miguu wala kichwa wakati mthread wao umedoda kule, sie we r a family now hatutaki wanafiki humu, kama mtu hana cha maana cha kuongea(kinacho muhusu King) basi ajisomee tu atambae
 
Last edited by a moderator:
+safi kumbe aliuponda mfumo wa tuzo za kili za mwaka huu na akasema ndio sababu yeye kutokujipigia debe kwenye pagae yake lakini hakuna mahali amesema "sihitaji tuzo" angesema ivo hata mm nisingejisumbua kumvotia.

Yani mpaka aseme?
Actions speaks louder than words.
 
Yani hizi timu ni nzuri tukizitumia vizuri kushauri wasanii wetu.
Ila kutofautiana kihoja mtu anaanza kukushambulia hadi kuita sura sijui zikoje Malaya. Hivi si vtuko yani unakuta topic nzuri watu wanaanza kuingiza personal attacks.
Huyo aliishiwa tu hoja halo team kiba tuko vizuri kila idara kuanzia upstairs, good looking and everything. In short we are blessed.

Aiiii tena blessed alot
 
Ueah we truly love him ndio maana saport tunayompa inawauma mnooooo watu, walijichetua sijui sie madebe tupu, aiii tukapiga kura kura zikaja km mvua, hii inawaumiza haina kifani, they only want to see the downfall of Kiba as he is a threat to them(boss wao kadhihirisha kwa kiherehere cha kumchokonoa mtu alokaa kimya) moto umewaka sasa wanatafuta mchawi!!! Aiiii km kumpenda kiba ni uchawi basi niko radhi niroge hadi nafwa.

Na wao wampe mtu wao support sasa walitaka Kiba asipewe support kisa hawamkubali. Maneno yote wameongea eti karudi kufanya mziki kumshusha domo. Mbona Nigeria kuna wasanii wengi wa kimataifa na hawasemani kuwa wanashushana.
Kwahyo wengine wasifanye mziki na kupokea tuzo kwa vile mtu wao kafanya collabo na wa Naija.
 
Kiba hajawahi kusema hana haja ya tuzo so kama mkitaka kuvote fanyeni ivyo msipo penda acheni tuu maana kubali mkatae chanzo cha yote hayo bifu zote zimeanzia kwenu

Uwiii hivi domo kaanza kuitwa ndomo leo??? Hii si tokea anatoka jamani tena na hao hao team yake, mie rafiki yangu ni team yake lkn ndivyo anavyomuitaga hivyo so hata wasimind
 
Jana mamy mimi si nilishughudia yaani limwanaume linajiropokesha maneno ya hovyo hoyo alafu wadada wasivyo na haya wakiwa nyuso zao zimejaa chuki na wivu wanafanya tuu ku like hayo mautumbo yao na kujichekesha chekesha kama wauza baa. Mtu unashindwa kuelewa nani aliye timamu huko kwao. Im so proud na wanaume wa kiba fans kwa kweli hawana huo upuuzi wa namna hiyo salute kwenu wakuu.
#wanawakenamaendeleotuacheunafiki

Na mengine kujileta pm kujitongozesha sijui ndio strategy walioipanga!!! Tena wakomeeeee, hatutaki wanafiki hapa, unafiki wao hukohukoooo.
 
Jana mamy mimi si nilishughudia yaani limwanaume linajiropokesha maneno ya hovyo hoyo alafu wadada wasivyo na haya wakiwa nyuso zao zimejaa chuki na wivu wanafanya tuu ku like hayo mautumbo yao na kujichekesha chekesha kama wauza baa. Mtu unashindwa kuelewa nani aliye timamu huko kwao. Im so proud na wanaume wa kiba fans kwa kweli hawana huo upuuzi wa namna hiyo salute kwenu wakuu.
#wanawakenamaendeleotuacheunafiki

Mwanaume wa ukweli(mwenye akili timamu) ni yule anapoona mwanamke anajisahau anamrudisha kwenye mstari sio naye anavuta mkeka kushadadia upuuzi, is that a man kweli??? My dear ukute tunawaonea tu kumbe ni zile id za kiume zenye wanawake behind it.
 
Kama nyie mnavohisi tunamchukia dai
Tuliwahi kusema?

+ndo maana hapo mwanzo nilikua namuelezea cute b, team zote 2 zina makosa, zote zinasababisha mauzi kwa each other, sasa for the health of our music, embu haya mauzi yabaki utani tuu lakini kwa mambo ya msingi ya kuufikisha mziki wetu mbali tuweke pembeni au vipi.

+usiseme mbona nyie mlifanya ivi na vile hayo mambo hayaishi, wasanii wetu wote wazuri likitokea jambo jema tusapotiane
 
Tena mtu a vote akipenda sio akikataa uanze kumwita majina ya ajabu yote duniani. Kumpigia mtu kura ni uamuzi na utashi wake haina haja ya kumkashifu mtu.

Sasa intaneshino anavotiwa na local tangu lini?? Na wakati tuzo zimejaa!!! Hawaangalii chanzo cha tatizo wanaanza kulaumu watu tu bila mpangilio
 
Chezeiya unafiki wewe hauishi kamwe. Hachotwi akili mtu hapa na walitegemea mipasho na matusi watasubiri sana. Msanii wetu ni local we respect that.
Ka nawaona uso ulivo washuka walifikiri habari ya shingongo tu ta imindi sana that why I like [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamkiba]#teamkiba [/URL] jamani mnajielewa sana no matusi wala ni ni wala paniki.
#ForeverAsOneMuchLove :thumbup::thumbup:
#KeepItUpTeamKibaFans .

Boonge la suprise kwao yaani they never expected, wakajikuta wanablend, hahahaaaaa raha sn kuwa team ya watu wanaojitambua, wachawi wa mjini hahahaaaaa nicheke mie maana ninazo sababu,

Kudooooooooos to my lovely royal family #teamkiba
 
Yaani na wanafanana kama mayai, hv mpaka kutumana ili kuchafuana!!! Like serious!!! If zingifuri was right basi they hv a veryyyyyyy big problem, we angalia tu hata ktk thread hizi mbili wao ndio hawaishi kutia fujo humu na vitu visivyo na miguu wala kichwa wakati mthread wao umedoda kule, sie we r a family now hatutaki wanafiki humu, kama mtu hana cha maana cha kuongea(kinacho muhusu King) basi ajisomee tu atambae

Si ndo tabia yao hao wao zingifuri alivotupa makavu mwanzo wakaona Sawa kweli wakajua katupata vizuri daily kutuanzishia Uzi. Alaaa alipoanzisha Uzi kuhusu domo ndo wakashtuka na kumparamia kuwa mzushi.
Na Uzi wa Jana aisee licha ya ushabiki wanaenda beyond aisee.kumbe alikua anatumwa.
Unajua wangekua wana discus kuhusu Kiba haina shida sasa mambo ya ndomo kwenye Uzi usio muhusu.

Ndo mana wanaenda kutukana kwenye page ya Davido aibu tupu.
 
Last edited by a moderator:
Na wao wampe mtu wao support sasa walitaka Kiba asipewe support kisa hawamkubali. Maneno yote wameongea eti karudi kufanya mziki kumshusha domo. Mbona Nigeria kuna wasanii wengi wa kimataifa na hawasemani kuwa wanashushana.
Kwahyo wengine wasifanye mziki na kupokea tuzo kwa vile mtu wao kafanya collabo na wa Naija.

Na akisema karudi kukalia kiti chake ambacho kilikuwa hakijakaliwa tatizo liko wapi?? Ofcoz its true nani alikikalia? Hebu niambie ni nani anaweza kuvaa viatu vya Kiba??
Tena ni kuonyesha kwamba yeye ni mwanaume na anajiamini bwanaaaa, maana kamwee haitokaa itokee kuwe na Kiba mwingine.
 
Back
Top Bottom