Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Alikiba anajulikana t,z pekee sisi twatambua diamond kama best artist in e.africa nt in kitongoji cha t.z
 
Jamani labda tujikumbushe kidogo bifu kati ya KIBA na MONDI liliaanza muda kidogo,na hao mnaosema hawajawai sikia shits za mondi juu ya kiba ni waongo kabisa au hamjui tatizo lilivyoanza...kwa ufupi pindi KIBA yupo nje mziki MONDI alishaongea vitu vya dharau vingi juu ya king mfano huo hapo chini,na ikumbukwe apo ndo ilikuja sababisha kambi ya kiba(vijana wa k.koo) wakaendaga kumpiga mondi na mayai viza club maishani alikokuwa anapiga show kipindi cha nyuma ata bado haja hit nje ya TZ,naona watu wamesahau hili na wengi nimegundua wamelishtukia bifu limekua kubwa ila hawajui chanzo coz nimeona ata kule kwenye jukwaa la burudani kuna mdau aliuliza nini chanzo cha bifu hasa kati ya hao wawili,Ok!..that's how it was,lakini haikufahamika kwanini MONDI aliamua kuonyesha dharau kwa mtu ambaye alikua ametulia kwenye game kwa wakati ule?
Screenshot_2015-06-19-03-34-56.png Screenshot_2015-06-19-03-34-56.png
Je ni kweli ilo jibu la alikiba kule Twitter ndo limemfanya atoe shit kama iyo?,na kulikuwa na ulazima gani wa yeye kufikia huko? Maana kama mtu amesema hataki kuimba nae Si basi tu na haina ulazima.

Baada ya kauli hizo za platnmz kuenea msanii bonge la nyau alimpa makavu yake fasta.
Screenshot_2015-06-19-03-35-51.png
Sasa kama mtu amekopa ili ajenge nyumba yake yeye ilimuhusu nini labda kwani kukopa dhambi?
Na katika hali isiyo ya kawaida msanii OmmyDimpoz(kipindi icho alikuwa best wa MONDI) alivyhojiwa kuhusu MONDI na KIBA naye akamkandia kiba kwa kusema jamaa ameisha hana jipya wakati kiba ndo alimtoa kwenye ile collabo ya nainai.
 
True my dear, who is perfect??? Ndio maana tunarekebishana hapa, na tutambue kwamba pamoja na matazamio yetu makubwa kwake hata yeye ana matarajio yake sasa sie twampa chachu ya kusonga mbele zaidi asije zubaa, hata km atashindana ashindane with his own rules asije haribu, biashara ni ushindani ati, kujiamini muhimu ati,imani inaamisha milima dont they know that?? Hahahaaaaaa
#keepingthegoodmusicalive
#focusontheking
#webethechangeswewant

really. we need to tell the truth. sprinkled hypocrisy of false praise.
Lazma aende inavyotakiwa atiiii... he always act lik a fool na akati ana kipaji.
 
Alikiba anajulikana t,z pekee sisi twatambua diamond kama best artist in e.africa nt in kitongoji cha t.z

"sisi" na nani mwenzio? Mbona umemtambua sasa na kumtaja hapo? Au Alli Kiba gani ulokuwa unamuongelea?
 
Kumbe wimbo ulikuwa wa King Kibaka!! Sikujua hilo kabla. Hii inanikumbusha jamaa yangu Mphamvu alivyonidanganya eti kwenye huo wimbo Kiba alikuwa anamuimbisha R. Kelly, kwamba Kelly alikuwa anamsikiliza Kiba aimbe nini.

Ndio maana ya kuwa sauti ya kwanza mkuu, Kuna mtoto mmoja wa Mkubwa na Wanawe ana sura kama babu yake, hata aimbe mpaka haja imtoke hawezi kuwa sauti ya kwanza yule.

Kiba alipewa aanzishe mwendo pale, maana yake angezingua wimbo wote ungekuwa kituko... Waliofuata wote wakaimbia 'key' ya Kiba a.k.a Mwenyekiti!

Ikiuma sema!
 
Last edited by a moderator:
Jamani labda tujikumbushe kidogo bifu kati ya KIBA na MONDI liliaanza muda kidogo,na hao mnaosema hawajawai sikia shits za mondi juu ya kiba ni waongo kabisa au hamjui tatizo lilivyoanza...kwa ufupi pindi KIBA yupo nje mziki MONDI alishaongea vitu vya dharau vingi juu ya king mfano huo hapo chini,na ikumbukwe apo ndo ilikuja sababisha kambi ya kiba(vijana wa k.koo) wakaendaga kumpiga mondi na mayai viza club maishani alikokuwa anapiga show kipindi cha nyuma ata bado haja hit nje ya TZ,naona watu wamesahau hili na wengi nimegundua wamelishtukia bifu limekua kubwa ila hawajui chanzo coz nimeona ata kule kwenye jukwaa la burudani kuna mdau aliuliza nini bifu hasa kati ya hao wawili Ok!..that's how it was,lakini haikufahamika kwanini MONDI aliamua kuonyesha dharau kwa mtu ambaye alikua ametulia kwenye game kwa wakati ule?
View attachment 262480View attachment 262480
Je ni kweli ilo jibu la alikiba kule Twitter ndo limemfanya atoe shit kama iyo?,na kulikuwa na ulazima gani wa yeye kufikia huko? Maana kama mtu amesema hataki kuimba nae Si basi tu na haina ulazima.

Baada ya kauli hizo za platnmz kuenea msanii bonge la nyau alimpa makavu yake fasta.
View attachment 262495
Sasa kama mtu amekopa ili ajenge nyumba yake yeye ilimuhusu nini labda kwani kukopa dhambi?
Na katika hali isiyo ya kawaida msanii OmmyDimpoz(kipindi icho alikuwa best wa MONDI) alivyhojiwa kuhusu MONDI na KIBA naye akamkandia kiba kwa kusema jamaa ameisha hana jipya wakati kiba ndo alimtoa kwenye ile collabo ya nainai.

Mkuu, hata Diamond alipata fursa ya kurekodi Sharobaro records baada ya Rais Kiba kumkubalia na Bob Junior alikuwa hajamkubali.

Wana laana ya mwenyekiti wale ndio maana haweshi kuvaa nguo za kike laanatuilah wale!
 
Pionaire ndomo hakoseagi bwana, tangu lini mtakatifu akakosea, he is perfect hawezi ongea hayo, hahahaaaaaaa!! Waje tena wasema ni global, uwiiiiii Kiba hebu piga kazi unipe raha mie
 
Last edited by a moderator:
Miss atoto ujue mimi nashangaa, shigongo akiandika habari za chibu wanasema ni mnafiki, hana kazi zaidi ya kufuatilia maisha ya watu ndo apate pesa, sasa nashangaa leo wao ndo wa kwanza kuamini uzushi huu, hivi kuna asiyemjua shigongo kweli au ndo kujitoa fahamu
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana ya kuwa sauti ya kwanza mkuu, Kuna mtoto mmoja wa Mkubwa na Wanawe ana sura kama babu yake, hata aimbe mpaka haja imtoke hawezi kuwa sauti ya kwanza yule.

Kiba alipewa aanzishe mwendo pale, maana yake angezingua wimbo wote ungekuwa kituko... Waliofuata wote wakaimbia 'key' ya Kiba a.k.a Mwenyekiti!

Ikiuma sema!

Aiseee kweli Kiba ni fundi, umenifanya nikumbuke hicho kipande alichoimba, wallah acha tu watu waneng'eneke, ila sasa inatakiwa afanye kweli hadi watu wakimbie mji, watamuelewa tu aaah nilisahau washamuelewa ndio maana hawaishi midomoni.
 
Miss atoto ujue mimi nashangaa, shigongo akiandika habari za chibu wanasema ni mnafiki, hana kazi zaidi ya kufuatilia maisha ya watu ndo apate pesa, sasa nashangaa leo wao ndo wa kwanza kuamini uzushi huu, hivi kuna asiyemjua shigongo kweli au ndo kujitoa fahamu

Hahahaaaaa! Hawa watu we huwajui? Wana hamu haoo wasikie mabaya ya Kiba tuuuu wanafurahi hadi watoto wa kiume mikojo inagonga boxa, mie kati ya magazeti ambayo hata kwanza nishayasahau km yanaexist humu duniani ni hayo ya shigongo, wayasome tu hao wnye akili sawa na yeye.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee kweli Kiba ni fundi, umenifanya nikumbuke hicho kipande alichoimba, wallah acha tu watu waneng'eneke, ila sasa inatakiwa afanye kweli hadi watu wakimbie mji, watamuelewa tu aaah nilisahau washamuelewa ndio maana hawaishi midomoni.

am reaching out to the poor people, the sick and the alones!
 
really. we need to tell the truth. sprinkled hypocrisy of false praise.
Lazma aende inavyotakiwa atiiii... he always act lik a fool na akati ana kipaji.

Na kwa hili inatakiwa ajivunie, maana rafiki wa kweli ni yule anayekueleza mazuri na mabaya yako, sio kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kukusifia tuuu hata madhaifu yako(hypocracy at its best)
 
Aiseee kweli Kiba ni fundi, umenifanya nikumbuke hicho kipande alichoimba, wallah acha tu watu waneng'eneke, ila sasa inatakiwa afanye kweli hadi watu wakimbie mji, watamuelewa tu aaah nilisahau washamuelewa ndio maana hawaishi midomoni.

Kiba alipohojiwa na Bdozen kipindi anatambulisha Chekecha Audio, alisema kuwa no# ya R.Kelly anayo huwa anawasiliana naye, mara nyingine kiba humtafuta Kelly na mara nyingine Kelly ndo humtafuta Kiba, pia akaulizwa swali, je mara ya mwisho ya wewe kuongea na R.Kelly ni lini? Kiba akajibu kuwa 2 weeks ago.

Sasa hapo mi nikabaki na maswali kichwani, mbona kiba hatumii hizo fursa?
 
Huwezi jua labla r.Kelly hataki ujue sio kila kitu kiba atakiweka public mkuu
 
VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba.

TUJIUNGE ENEO LA TUKIO

Ali Kiba alitema cheche Alhamisi ya wiki iliyopita ndani ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar, kulikokuwa na uzinduzi wa kampeni ya kupinga vita ujangili, iliyoratibiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, huku akiwa ni mmoja wa mabalozi sanjari na mlimbwende wa zamani, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ‘K-Lyin’.

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.

USO KWA USO NA PAPARAZI

Baada ya shamrashamra za ‘event’ hiyo, haraka sana kama mshale wa Mmakonde, mwandishi wetu alimfuata Ali Kiba, lengo kuu likiwa ni kusikia chochote juu ya ushindi wa Tuzo za Kili ambapo alizoa tano binafsi na moja ya kushirikishwa.
Kiba alisema anaamini alistahili kushinda tuzo zote kwani vigezo na sifa anazo na amejiandaa kikamilifu kupambana na yeyote anayedhani kuwa ni mfalme wa muziki huo.

JINA LA DIAMOND LAMCHEFUA!

Katika mahojiano hayo, mwandishi wetu alimkumbusha Ali Kiba uwepo wa Diamond ambapo kwa haraka sana alimkata kauli mwandishi kwa kusonya na kuweka wazi kuwa miongoni mwa mambo ambayo humpa kichefuchefu, ni pamoja na kusikia jina la Diamond likitajwa mahali popote penye uwepo wake!

“Kaka, sitaki kabisa kulisikia jina hilo, linanipa kichefuchefu, unajua kwa kipindi ambacho nilikaa kimya, nilikuwa nausoma mchezo lakini hakuna aliyeweza kuchukua kiti changu na kuamua kurejea ulingoni kwa kishindo na kuanzia sasa hivi ni mapambano mwendo mdundo,” alisema Kiba na kuongeza:

“Simaanishi kuwa hakuna msanii mzuri kama mimi, naomba nisieleweke vibaya, wapo lakini siyo huyo dogo (Diamond), muziki ni zaidi ya mbwembwe, niko kikazi na sasa nimedhamiria kweli, kama anaamini yuko fiti, kazi zitaweka wazi ukweli na si drama za kitoto.”

VIPI KUHUSU YEYE NA WEMA?
Mwandishi wetu alitaka kujua kulikoni msanii huyo alimuweka Wema Sepetu kwenye ukurasa wake wa Instagram akimmwagia shukrani lukuki na si mtu mwingine?

“Wema amekuwa ni shabiki wangu wa siku nyingi mno, alianza kunipenda kupitia wimbo wangu wa Hands Across the World (kwenye Project ya One-Eight) na kuanzia hapo amekuwa akinipa sapoti kubwa sana, siwezi kukaa naye mbali eti kisa huyo jamaa (Diamond).

“Naamini kwa asilimia nyingi sana hata huu ushindi wangu wa tuzo, umechangiwa na sapoti yake pamoja na wadau wangu wengine,” alisema Kiba.

AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YA MWANA!
Pia, mwandishi wetu alimtaka staa huyo kufafanua madai ya kutoitendea haki video ya Wimbo wa Mwana, ambapo alisema, watu wengi walitarajia aifanye kulingana na mawazo yao ndiyo maana akaamua afanye vile anavyoaamini ingekuwa bora.

“Kila mtu alikuwa ameshatengeneza picha ya jinsi video ya wimbo itakavyokuwa, halafu sifanyi kazi kwa kushindana na mtu, ndiyo maana ilionekana tofauti na mawazo ya wengi, namalizia kwa kusema salamu zimfikie jamaa (Diamond) kuwa mapambano ndiyo kwanza yameanza,” alisema Kiba.

DIAMOND ANASEMAJE?

Hadi tunakwenda mitamboni, jitihada za kumpata Diamond aweze kuzungumzia vita hiyo iliyofufuka upya hazikuzaa matunda kufuatia simu ya staa huyo aliyekuwa nchini Afrika Kusini kikazi, kuita bila majibu.
TUJIKUMBUSHE
Kwa muda mrefu sasa, Kiba na Diamond wamekuwa wakiripotiwa kuwa na bifu la chini kwa chini linalotokana kugombania ufalme wa muziki Bongo.

Kwa hisani Ya Global Publishers

hahahahahajahaha
 
Hahahaaaaa! Hawa watu we huwajui? Wana hamu haoo wasikie mabaya ya Kiba tuuuu wanafurahi hadi watoto wa kiume mikojo inagonga boxa, mie kati ya magazeti ambayo hata kwanza nishayasahau km yanaexist humu duniani ni hayo ya shigongo, wayasome tu hao wnye akili sawa na yeye.

kweli mkuu...hata mimihua nayapuuza ...mfano ile habari yao ya kipuuzi kuwa mimba ya zari ni ya katunzi
 
Hapo sasa atoto,kwa iyo wajue wazi kuwa kiba hawezi pambana na mtu ambaye haja request battle,kijana MONDI alilianzisha mwenyewe jamani,alafu embu tutafakari hapo je kiba angetoa naye collabo...ni nani angepata kiki kati ya hao wawili ni yeye ambaye angejisifu kuwa amemuinua msanii wa muda kwenye B.fleva au kiba ambaye angekandiwa kuwa emerudi kupitia MONDI?...kutokana na tabia ya MONDI ya kujisifu KIBA alikuwa na kila sababu yakukataa kuimba naye kisha akaja toka na single yake menyewe ya MWANA iliyokubalika vizuri tu,alafu kuna sehemu humu nimeona diva Beyonce akielezea unafki Kwenye hii industry ya muziki wa B.fleva...yani alichokisema hakukosea kabisa embu ona OmmyDimpoz juzi tu Kwenye tuzo za KTMA alipiga picha na tuzo za KINGKIBA wakati alimpondaga huko nyuma kisa alikuwa rafiki wa MONDI haya sasa now haiivi na ata uyo MONDI mwenyewe...wewe umelionaje hili?..kama vipi mfungulieni Uzi wa kumchamba jamani ama neneee?..wote kwa pamoja(TEAM MONDI na TEAM KIBA) mumpe vidonge vyake...maana alimdharau king wakati ndo alimtambulisha Kwenye B.flavour kupitia track yake ya NAINAI,alafu akabugi kutokana na wema wakati alikuwa shemeji yake kwa MONDI... Huyu jamaa Mimi simuelewi kabisa asee.
 
Mkuu, hata Diamond alipata fursa ya kurekodi Sharobaro records baada ya Rais Kiba kumkubalia na Bob Junior alikuwa hajamkubali.

Wana laana ya mwenyekiti wale ndio maana haweshi kuvaa nguo za kike laanatuilah wale!

Mimi sishangai mkuu kwa iyo unavyozungumzia dharau za MONDI ni asili yake Yule ndomaana ata nilivyosoma lile alosema jockate ni makombo wala sikushtuka kabisa.
 
Back
Top Bottom