Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mashabiki wa domo na domo yeye mwenyew mna dharau.. kwa nini? Kwa mfano jana nilisema nakubali baadhi ya nyimbo za domo mkafoka mkizani najipendekeza umeona tabia zenu sasa zilivyo? Watu kama ninyi mnawezaje kunishawishi ni vote for D. Mimi nilichokiona kwenye team yenu mnaongozwa na bifu na mikumbo. Na wanaume matusi mnatutukaja na wanawake wanajichekesha chekesha tuu...mnazani mziki utafikia wapi??
Lazma mkubali kuwa kiba tuzo alistahili lakini sio kujivuna wa ki intaneshno

+Mkuu mimi point yangu ni kua hakuna upande ambao hauna matatizo, dharau na matusi, kubali ukatae, labda nikupe mifano michache pengine utanielewa;

+kuna shabiki wa Diamond anapenda msanii wake kuitwa "Domo"?

+kuna shabiki shabiki wa Diamond anapenda hii kauli "unaweza kuondoka tandale lakini huwezi kuuacha utandale"

+kuna shabiki wa Diamond anapenda kusikia mtu anaponda mafanikio ya Chibu, mfano katika nominesheni za MTV Diamond hastahili hata 1, mara sijui Mondi ananunua mashabiki na bla bla mingi.

+na suala la matusi team zote zinatukana me nimeshuhudia matusi mengi tu humu.

+swali langu linabaki palepale je siku Kiba akipata nominesheni kimataifa mashabiki wa Chibu wasishawishike kumpigia mondi kwa sababu ya mauzi hayo niliyoyataja? Embu assume wewe huna team halafu ndo ujibu hilo swali.

+tathmini mziki wetu tutakua tunaujenga au tunabomoa?
 
Attachments

  • 1434986654416.jpg
    1434986654416.jpg
    31 KB · Views: 43
Last edited by a moderator:
Matusi yote wametutukana,kashfa zote wametoa, mpaka kutuambia we hv outlook mbovu as if wanatujua, leo wanajileta hapa na unafiki wao, kwani walipokuwa wakitutukana na kutukashifu tulikuwa celebrities??
Wapite vile, hapa hatutaki unafiki bwana.

Yani hizi timu ni nzuri tukizitumia vizuri kushauri wasanii wetu.
Ila kutofautiana kihoja mtu anaanza kukushambulia hadi kuita sura sijui zikoje Malaya. Hivi si vtuko yani unakuta topic nzuri watu wanaanza kuingiza personal attacks.
Huyo aliishiwa tu hoja halo team kiba tuko vizuri kila idara kuanzia upstairs, good looking and everything. In short we are blessed.
 
Akipewa ndomo tuzo kastahili ila akipewa kiba(tena mwenye kipaji kuliko ndomo) inaonekana kapendelewa!!! Like serious??? Kisa mtu anajulikana nigeria basi kila kitu chake ni kizuri? Camoooon kubali kataa ushabiki unawaendesha mnooo, mpaka wanafikia kulinganisha utunzi wa kiba na barnaba kisa kakosa tuzo? Wimbo upi wa b unaingia hata robo kwa mwana???
Au wakati ndomo anachukua b alikuwa hatungi???

Na chuki zimewajaa sana. Ujue sisi mwanzo tulikuwa hatuna shida ila hao wakaanza mwana imetungiwa chooni kwa hiyo kwa kukashifu kule walitegemea tuisifie sankoro?
Unajua hawa watu hawajielewi. Wakasema tena tuzo zimejaa but today thy compln y we vote for Davido.
Ivi walitaka tujipendekeze ku vote for daimond ikiwa sehemu ya kuhifadhi tuzo imejaa? Dharau nyingine bhana
 
Yani hizi timu ni nzuri tukizitumia vizuri kushauri wasanii wetu.
Ila kutofautiana kihoja mtu anaanza kukushambulia hadi kuita sura sijui zikoje Malaya. Hivi si vtuko yani unakuta topic nzuri watu wanaanza kuingiza personal attacks.
Huyo aliishiwa tu hoja halo team kiba tuko vizuri kila idara kuanzia upstairs, good looking and everything. In short we are blessed.

Yaaah mamy umeingea kweli tupu
 
+Mkuu mimi point yangu ni kua hakuna upande ambao hauna matatizo, dharau na matusi, kubali ukatae, labda nikupe mifano michache pengine utanielewa;

+kuna shabiki wa Diamond anapenda msanii wake kuitwa "Domo"?

+kuna shabiki shabiki wa Diamond anapenda hii kauli "unaweza kuondoka tandale lakini huwezi kuuacha utandale"

+kuna shabiki wa Diamond anapenda kusikia mtu anaponda mafanikio ya Chibu, mfano katika nominesheni za MTV Diamond hastahili hata 1, mara sijui Mondi ananunua mashabiki na bla bla mingi.

+na suala la matusi team zote zinatukana me nimeshuhudia matusi mengi tu humu.

+swali langu linabaki palepale je siku Kiba akipata nominesheni kimataifa mashabiki wa Chibu wasishawishike kumpigia mondi kwa sababu ya mauzi hayo niliyoyataja? Embu assume wewe huna team halafu ndo ujibu hilo swali.

+tathmini mziki wetu tutakua tunaujenga au tunabomoa?

Kiba hajawahi kusema hana haja ya tuzo so kama mkitaka kuvote fanyeni ivyo msipo penda acheni tuu maana kubali mkatae chanzo cha yote hayo bifu zote zimeanzia kwenu
 
Dia Leo umenifurahsha mno yani umeongea ma point sana wenye akili wamekuelewa sana.
Only truth will set us free and not hatred and hypocracy. Kutofautiana kupo tu usifikie mahali watu wanajitoa ufahamu na kushindwa Ku reason vizuri.
Mihemuko mibaya hili ni jukwaa la great thinkers lazma tujitofautishe na instagram.
Hilo la bifu na mikumbo ndo lao bora kudandia vtu kwa mbele kitu mtu akimhusu unaingilia.
Yani wanaume kuzalilisha ndo sifa. Mi mwanamke mwenzangu hata ka simkukubali siwezi Ku support huo uzalilishaji na kuwa support.
#LetUseOurCommonSenseInReasoning .
#RespectEachOtherNoMatterOurDifferences .

Jana mamy mimi si nilishughudia yaani limwanaume linajiropokesha maneno ya hovyo hoyo alafu wadada wasivyo na haya wakiwa nyuso zao zimejaa chuki na wivu wanafanya tuu ku like hayo mautumbo yao na kujichekesha chekesha kama wauza baa. Mtu unashindwa kuelewa nani aliye timamu huko kwao. Im so proud na wanaume wa kiba fans kwa kweli hawana huo upuuzi wa namna hiyo salute kwenu wakuu.
#wanawakenamaendeleotuacheunafiki
 
Last edited by a moderator:
hahahaha cute b. ndo maana nakukubali sana
Th Name nakubali sana mashabiki wa kiume wa king kiba na wa respect sana hamnaga umbea umbea na unafiki kama watoto wa kike.
Nyeusi nyeusi nyeupe nyeupe.... peterchoka salute kwako pia mkuu hulei ujinga ulinikuta maeneo flan ukaniambia niache. Yaaah ndo tunataka wanaume kama kibas fans
 
Last edited by a moderator:
Kiba hajawahi kusema hana haja ya tuzo so kama mkitaka kuvote fanyeni ivyo msipo penda acheni tuu maana kubali mkatae chanzo cha yote hayo bifu zote zimeanzia kwenu

+asante kwa kunielewa kua haya mauzi tunayouziana kati ya team hizi mbili sio sababu ya msingi ya kukacha kumpigia kura msanii mmojawapo akipata nominesheni za kimataifa!

+sasa turudi kwenye hili la sasa hivi, labda ni wapi Mondi alisema hataki tuzo? Na hizo tuzo ni zipi? Na mm nijue pengine alisema hataki hizi tuzo me nikawa najipendekeza kumpigia.
 
Kiba hajawahi kusema hana haja ya tuzo so kama mkitaka kuvote fanyeni ivyo msipo penda acheni tuu maana kubali mkatae chanzo cha yote hayo bifu zote zimeanzia kwenu

Tena mtu a vote akipenda sio akikataa uanze kumwita majina ya ajabu yote duniani. Kumpigia mtu kura ni uamuzi na utashi wake haina haja ya kumkashifu mtu.
 
+asante kwa kunielewa kua haya mauzi tunayouziana kati ya team hizi mbili sio sababu ya msingi ya kukacha kumpigia kura msanii mmojawapo akipata nominesheni za kimataifa!

+sasa turudi kwenye hili la sasa hivi, labda ni wapi Mondi alisema hataki tuzo? Na hizo tuzo ni zipi? Na mm nijue pengine alisema hataki hizi tuzo me nikawa najipendekeza kumpigia.

Kwanza kabisa alianza kukandia tuzo za kill musc award akisema zina ubaguzi na zinadhoofisha mziki. Maana yake alikuwa hazihitaji that y hajawahi kupost kweny ukurasa wake kua anaomba kura maanake alikuwa hazihitaji ila sa hivi kapost izo za nje maana yake ndo anazihitaji ila kwa nini akatae za ndani?
 
Th Name nakubali sana mashabiki wa kiume wa king kiba na wa respect sana hamnaga umbea umbea na unafiki kama watoto wa kike.
Nyeusi nyeusi nyeupe nyeupe.... peterchoka salute kwako pia mkuu hulei ujinga ulinikuta maeneo flan ukaniambia niache. Yaaah ndo tunataka wanaume kama kibas fans

asante sana cute b. kiroho safi kiba namkubali sana. wale vichwa maji wasikuumize kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa alafu kweli kama huyu data kama mbumbumbu fulani ivi

Yaani we hujawaelewa tu?? Hawajaja vzr wala nn ni unafiki tu, angalia tu walipoanzia then hapo u'll know whts going on, kabadilisha mawazo tu alipoona alichokitegemea hakikuwa vile they thout, walikuja kwa mbwembwe wakitegemea wangetuchota wapate ya kutukana as usual, ila response ikawa veryyyyy positive ikabidi wanate na beat, ila hawana lolote!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa alianza kukandia tuzo za kill musc award akisema zina ubaguzi na zinadhoofisha mziki. Maana yake alikuwa hazihitaji that y hajawahi kupost kweny ukurasa wake kua anaomba kura maanake alikuwa hazihitaji ila sa hivi kapost izo za nje maana yake ndo anazihitaji ila kwa nini akatae za ndani?

+safi kumbe aliuponda mfumo wa tuzo za kili za mwaka huu na akasema ndio sababu yeye kutokujipigia debe kwenye pagae yake lakini hakuna mahali amesema "sihitaji tuzo" angesema ivo hata mm nisingejisumbua kumvotia.
 
Yani mi kiba namkubali sana tangia enzi hzo no matter what kwangu ni best.
Tena nashangaa sana watu wanavyo tu attack simply coz we are appreciating Kiba, kamwe tutamu support na atakapoenda wrong tutamwambia.
#K4Really
#TogetherAsOneYesWeCan
#TeamKibaForeverOneLove

Ueah we truly love him ndio maana saport tunayompa inawauma mnooooo watu, walijichetua sijui sie madebe tupu, aiii tukapiga kura kura zikaja km mvua, hii inawaumiza haina kifani, they only want to see the downfall of Kiba as he is a threat to them(boss wao kadhihirisha kwa kiherehere cha kumchokonoa mtu alokaa kimya) moto umewaka sasa wanatafuta mchawi!!! Aiiii km kumpenda kiba ni uchawi basi niko radhi niroge hadi nafwa.
 
+asante kwa kunielewa kua haya mauzi tunayouziana kati ya team hizi mbili sio sababu ya msingi ya kukacha kumpigia kura msanii mmojawapo akipata nominesheni za kimataifa!

+sasa turudi kwenye hili la sasa hivi, labda ni wapi Mondi alisema hataki tuzo? Na hizo tuzo ni zipi? Na mm nijue pengine alisema hataki hizi tuzo me nikawa najipendekeza kumpigia.
Labda nikusaidie kitu.
Kuna siku niliwahi kusema huwa nasikiliza nyimbo za dai, wee walikuja mashankupe hao!
Wakaanza kunitolea mbovu na kunikashifu kuwa nimesanda!.
Nyie team domo huwa mna ukorofi na kero fulani ambazo hazistahimiliki.
Humu jf huwa mnajitapa marq nyingi sana kuwa mondi ana tuzo nyingi na hamuhitaji kura zetu, kuwa mpo ki inyaneshino nakadhalika.
Kwa sababu hiyo tu, nianze nayo, kwa dharau na nyodo zenu siwezi kumpigia kura ng'oo hata nikijitoa ufahamu saa hizi nimpigie kuna mashankupe yatakuja kuniattack na kunicheka kama vile nimehishiwa kabisa maisha.
 
Back
Top Bottom