Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

wapi diamond amesema jamaa anatia kichefuchefu? by the way...Muziki wetu hauwezi kuendelea kwa upuuzi kama huu

At least Mondi anaitangaza nchi yetu

Manake kila sekta tumefeli

Hivi wewe unaelewa hata unachokiongelea kweli?? Hizo shots hujaziona?? Basi bwana ni hiviiii mondi ni mtakatifu mnooo, hajawahi na hatokaa akoseee, am done.
 
haya hongera....but "kama" ni acc ya Diamond hapo kaongea fact

Je "Kutia kichefuchefu " ni sawa?

Acha kusupport upumbavu wa MONDI wewe?... sasa unavyosema ameongea fact kabisa kivipi? iyo ni fact au umbea? Tena kwa mnavyosema icon kama yeye?,maana ata kama ni kweli kiba hakumuomba amsemee hilo,hivyo take it or not MONDI ndo chanzo cha bifu hili hakuna cha kusema kiba anachuki na mafanikio ya MONDI maana ukweli unajulikana kinachomfanya kiba asimpende MONDI ni hicho mkuu nothing else.
 
nimekusoma mkuu...Argument yangu ni kwamba kama tumeona global ni wazushi kwa habari hii ya kiba...Je tutawaaminije kwa habari zingine mfano ile ya Diamond kusema kIBA Anakula makombo kwa jokate?

Hapana mkuu sio lazima kuwaamini lakini tunaona jokate alimjibu domo hiyo inamaNisha kuwa jokate alisikia sio kupitia global...
Binafsi habari za global siziamini ni ma attention seeker ndo maana juzi walikuja na uzi kuw zari kamnunulia gari mond na akati issue ishajadiliwa na ikaisha kitambo sasa hao ndo wanakuja kukurupuka wanaandika.
Global kule wanawaandikaga kila mtu na nyuzi zinaletwa wa kucheka tunacheka wa kununa tunanuna.
NA SIO KWAMBA HATUELEWI IZO STORY NI ZA UONGO KILA MTU ANAELEWA ILA KWA KUA TUPO KUONA TIMU FULANI WANAUMIA WAKIANDIKWA WAO NDO TUNACHOCHEA SIKU YAKIANDIKWA YETU TUNA MUTE. So mimi sioni sababu ya global kuwa sababu ya kujenga chuki kwa kiba au mond coz kila mtu anaelewa but we are there 4 having fun.
 
Acha kusupport upumbavu wa MONDI wewe?... sasa unavyosema ameongea fact kabisa kivipi? iyo ni fact au umbea? Tena kwa mnavyosema icon kama yeye?,maana ata kama ni kweli kiba hakumuomba amsemee hilo,hivyo take it or not MONDI ndo chanzo cha bifu hili hakuna cha kusema kiba anachuki na mafanikio ya MONDI maana ukweli unajulikana kinachomfanya kiba asimpende MONDI ni hicho mkuu nothing else.

Sawa mkuu nimeacha kuanzia leo
 
KWA KUA TUPO KUONA TIMU FULANI WANAUMIA WAKIANDIKWA WAO NDO TUNACHOCHEA SIKU YAKIANDIKWA YETU TUNA MUTE. So mimi sioni sababu ya global kuwa sababu ya kujenga chuki kwa kiba au mond coz kila mtu anaelewa but we are there 4 having fun.

Nimependa uelewa wako

Lakini hicho kitu kinachofanyika unadhani kina manufaa chanya kwa maendeleo ya Muziki wetu?

Unadhani kipi ni bora kufanyika?
 
Mimi naamini Freeland anaelewa sema anaendekeza bado ushabiki.

Hahahahah...Ni kweli mimi ni mshabiki...kama na wewe ulivyo mshabiki...Lakini kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama haya mazingira tunayojenga kwa wasanii wetu yana manufaa mapana kwa muziki wetu....Naona kama tunaacha issues na kuhangaika na non-issues
 
+mkuu kama hizo habari mbili nilizozisema hapo juu huziamini its okey.

+kuhusu hizo screenshot ulizozitoa hakuna mahali nimezipinga kwa sababu sina ushahidi wa kuzipinga. So kama ni kweli alisema ivo si sawa. Maana naona umekuja kiligiligi!

Basi sawa mkuu ila msiwe mnasema eti KIBA anapambana na mtu ambaye hajamfanya chochote, hiyo hapo ndo sababu maana alikiba alivyhojiwa kwenye SPORAH SHOW alisema hizo shits za MONDI zote amezipata na anashangaa ametokana wapi nayeye,maana anaposema "alikiba ameisha so ili atoke afanye nae collabo ili ampe kiki ajulikane tena" hiyo ni dharau tayari ndo maana mwenzie(KIBA) anapambana naye ili amprove alikuwa wrong hapo,ni hayo tu mkuu!!!
 
Nimependa uelewa wako

Lakini hicho kitu kinachofanyika unadhani kina manufaa chanya kwa maendeleo ya Muziki wetu?

Unadhani kipi ni bora kufanyika?

Yaan mkuu kabla ya yote ni kwamba ili mziki wetu uendelee lazma tuache unafiki wa kufananisha vitu kwa mfano.
Domo kafanya shoo za nje kibao na kajaza watu sikatai ila nyie mnataka kiba akifanya shoo za nje ajaze kama domo asipojaza mnaanza mara oooh kafanyia sebuleni apo ni wazi mnaendeshwa na uteam na sio nia ya kuinua mziki.
sio lazima anachofanya domo kifanane na anachofanya kiba tuwaache wao ndo wanajua wanafanya nini ila ukisikia kumsaport au kumshauri unamshauri lakini sio kwa kumfananisha na dai.
Unajua hiyo tabia yenu ya kumdharau kiba inawaumiza sana mashabiki wake na ndo maana watu wapo radhi ku vote for Davido not mond. Kwa sababu kiba alivyopata tuzo badala ya kumpongeza mlimdis kuwa nyie level yenu ni intanetional sijui mna tuzo adi mnaumwa ndo kilichofanya fans wa kiba waka move to vote for davido ili domo ajue mziki sio pesa tuu mziki ni pamoja na kuwaheshimu wapenzi wa muziki.
Kwa kweli we have to change mkuu mistake ndogo inaweza sababisha mabalaa mengi sana
 
Inahitajika kuwa nao karibu katika kipindi hiki. Kuwatia moyo ni ndugu zetu hawa wasije wakachukua maamuzi magumu.

Naona unawapooza wajane na stress zao.

Unajua wakuu nyie mnakosea sana. Maneno yenu yamejaa kejeli sana mtanisamehe lakini.
Mi muda wa kuacha kufanya jambo ili umuumize fulani tunaenda na fact na kama huna cha kuchangia unaweza mkanyamaza. Maana hatujawafata kwenye uzi wenu hapa tupo kumshauri kiba na nazani mnaelewa sasa mnavyoleta maneno yenu ya kashfa ni wazi mnataka ligi za kijinga tuu. Acheni izo wakuu nyie ni wanaume maneno hayo waachieni akina dada. Mbona Freeland yeye anaandika anaeleweka na ndo kazi ya mwanaume iyo au nyie sio wanaume?
 
Last edited by a moderator:
Yaan mkuu kabla ya yote ni kwamba ili mziki wetu uendelee lazma tuache unafiki wa kufananisha vitu kwa mfano.
Domo kafanya shoo za nje kibao na kajaza watu sikatai ila nyie mnataka kiba akifanya shoo za nje ajaze kama domo asipojaza mnaanza mara oooh kafanyia sebuleni apo ni wazi mnaendeshwa na uteam na sio nia ya kuinua mziki.
sio lazima anachofanya domo kifanane na anachofanya kiba tuwaache wao ndo wanajua wanafanya nini ila ukisikia kumsaport au kumshauri unamshauri lakini sio kwa kumfananisha na dai.
Unajua hiyo tabia yenu ya kumdharau kiba inawaumiza sana mashabiki wake na ndo maana watu wapo radhi ku vote for Davido not mond. Kwa sababu kiba alivyopata tuzo badala ya kumpongeza mlimdis kuwa nyie level yenu ni intanetional sijui mna tuzo adi mnaumwa ndo kilichofanya fans wa kiba waka move to vote for davido ili domo ajue mziki sio pesa tuu mziki ni pamoja na kuwaheshimu wapenzi wa muziki.
Kwa kweli we have to change mkuu mistake ndogo inaweza sababisha mabalaa mengi sana

Nimeipenda comment yako

Na ninakubaliana nayo kwa kiasi kikubwa

Lakini naamini pia kuna vitu ambavyo timu ya Alikiba inakosea.Right?

By the way,Tunazihitaji hizi teams?
 
Hahahahah...Ni kweli mimi ni mshabiki...kama na wewe ulivyo mshabiki...Lakini kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama haya mazingira tunayojenga kwa wasanii wetu yana manufaa mapana kwa muziki wetu....Naona kama tunaacha issues na kuhangaika na non-issues

Ni sawa mkuu nimekuelewa.
Nilitoka for lunch now nimerudi oficine tukutane saa 10. Nyc tym
 
Hahahahah...Ni kweli mimi ni mshabiki...kama na wewe ulivyo mshabiki...Lakini kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama haya mazingira tunayojenga kwa wasanii wetu yana manufaa mapana kwa muziki wetu....Naona kama tunaacha issues na kuhangaika na non-issues

Mkuu hapo umenena vyema sana na kiukweli hakuna asiyejua MONDI ana hit Africa ila kikubwa ni kutengeneza watu kama yeye watano ivi ili tujivunie kuwa muziki wetu umekuwa ndo maana kuna habari niliiona ya MWANDISHI FULANI ivi anaongea kwa uchungu akisema anaomba sana "kipaji cha kiba kisipotee ivyo akina Babu tale na salimu wamshike mkono mdogo wao KIBA ili nae ang'aee nje ya TZ ata kama aliwakosea wamsamee tu maana mtoto akinyia kiganjani mkono haukatwi ila unasafishwa tuu" na kiukweli ata Mimi ilinitouch sana ile habari mkuu na kuona kumbe kuna watu wanatakia mema muziki wetu na ivyo inabidi tuwe na superstars wengi huko nje ya tz sio MONDI pekee,"TRUTH NOTED".
 
Mkuu hapo umenena vyema sana na kiukweli hakuna asiyejua MONDI ana hit Africa ila kikubwa ni kutengeneza watu kama yeye watano ivi ili tujivunie kuwa muziki wetu umekuwa ndo maana kuna habari niliiona ya MWANDISHI FULANI ivi wanaongea kwa uchungu akisema anaomba sana "kipaji cha kiba kisipotee ivyo akina Babu tale na salimu wamshike mkono mdogo wao KIBA ili nae ang'aee nje ya TZ ata kama aliwakosea wamsamee tu maana mtoto akinyia kiganjani mkono haukatwi ila unasafishwa tuu" na kiukweli ata Mimi ilinitouch sana ile habari mkuu na kuona kumbe kuna watu wanatakia mema muziki wetu na ivyo inabidi tuwe na superstars wengi huko nje ya tz sio MONDI pekee,"TRUTH NOTED".

Na ukiangalia kwa undani hizi team ndizo zitawaharibia wasanii wetu...Ali ni kijana wetu...Diamond ni kijana wetu...Tunajisikiaje kwa mfano wote wangekuwa kwenye Tuzo za MTV Mama kwa kipindi hiki?

Tunatakiwa kujirekebisha.

Kwa mtindo tunaoenda nao.....Hata Ali akifanya kazi nzuri bado chuki zitakuwepo na kama akitajwa kwenye tuzo yoyote ya nje....watanzania wa upande wa Diamond watalipiza kisasi...kama inavyofanyika sasahivi kwa diamond

Kwa ujumla wake haya mambo sio healthy kwa muziki wetu....Tumefeli kila sehemu....hata kwenye mziki jamani?/?
 
Back
Top Bottom