Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Mwanaume wa ukweli(mwenye akili timamu) ni yule anapoona mwanamke anajisahau anamrudisha kwenye mstari sio naye anavuta mkeka kushadadia upuuzi, is that a man kweli??? My dear ukute tunawaonea tu kumbe ni zile id za kiume zenye wanawake behind it.
Very true huyo anaye mrudisha mtu kwenye mstari ni mtu bora. Kuna wanaume washadadiaji na wambea tena wakiona watu wanagombana wanaitana.
Na sie wanawake tujifunze mambo ya kutukana na kuzalilishana viungo vya uzazi sio deal.
Wanaume hutofautiana lakini hawazalilishana viungo vyao. Sie twaona sifa.