Hahaaaaaa loh hyo ya vote for stone kiboko.
Alafu mamy kumbe na wew umeblock pm lol nilikuwa nimekuandikia bonge la gazetu kutuma duu mbona nimechokaaa....unaboa bhanaaa mm nimetumia pm ya mume na wew tumia pm ya mume nikutumie bhana maana nitaugua
Hahaaaaaa loh hyo ya vote for stone kiboko.
Rudi pm mamy....hahahaaaa apo chachaaaa
#iwillvoteforstone
Mie kila siku nasemaga wanaume wachache sn cku hizi aisee, mimbeambea,mishakunakuuu,minafikiiiii, tabia za kikekikeeee, maofisini ndio kabisaaa, hizi tabia zao za humu na huko nje ndivyo hivyo hivyo walivyo!!
Na viherehere km wake za balozi, wachache sn wanajitambua utakuta anacomment mpaka unasema "yes thats a man's comment"
Alafu mamy kumbe na wew umeblock pm lol nilikuwa nimekuandikia bonge la gazetu kutuma duu mbona nimechokaaa....unaboa bhanaaa mm nimetumia pm ya mume na wew tumia pm ya mume nikutumie bhana maana nitaugua
Na kweli utaumwa maana umbea huwa unawasha huo!! Teh teh teh
Lol ngoja nikaukupe ata wew naona diva kabana
Hahahaaa👌👌 unaona iyo alama? Yaani ndo wanayoitumia siku hizi wananikera yaani ni wanaume suruali tuu
Alafu mamy kumbe na wew umeblock pm lol nilikuwa nimekuandikia bonge la gazetu kutuma duu mbona nimechokaaa....unaboa bhanaaa mm nimetumia pm ya mume na wew tumia pm ya mume nikutumie bhana maana nitaugua
Labda nikusaidie kitu.
Kuna siku niliwahi kusema huwa nasikiliza nyimbo za dai, wee walikuja mashankupe hao!
Wakaanza kunitolea mbovu na kunikashifu kuwa nimesanda!.
Nyie team domo huwa mna ukorofi na kero fulani ambazo hazistahimiliki.
Humu jf huwa mnajitapa marq nyingi sana kuwa mondi ana tuzo nyingi na hamuhitaji kura zetu, kuwa mpo ki inyaneshino nakadhalika.
Kwa sababu hiyo tu, nianze nayo, kwa dharau na nyodo zenu siwezi kumpigia kura ng'oo hata nikijitoa ufahamu saa hizi nimpigie kuna mashankupe yatakuja kuniattack na kunicheka kama vile nimehishiwa kabisa maisha.
Jamani uwiiiii umenitamanishaje na hilo gazeti mwenzio ngoja nifanye kitu niipate aisee umbeya nayo fani eti.
Yani mkuu huyo asijifanye kusema eti aliuponda mfumo wa kili ila sio kwamba hataki tuzo za kili hiyo sio kweli,yani hapo tafsiri yake ndo ile aliyosema cute b kuwa "haitaji tuzo" maana kama mapungufu ya mfumo yalikuwa tokea zamani pindi yeye alikua anachukua tuzo 7 za Kili tena sio 6 kama za kiba au hakuyaona?,alafu akumbuke uyo Mondi alirusha picha ya kabati la tuzo zake kwa account yake ya Instagram akisema tuzo zimejaa yeye anafikiri tafsiri yake ni nini?..kama sio haitaji nyingine? maana mwenye njaa hatangazi shibe..sasa kuna haja ya kuvote hapo?..na kuna team Mondi alikuwa anasema Mondi hanashida na kura za wanafki kama sisi(TEAMKIBA) tukampe davido tu alafu akawa anasema Mondi akishinda sura zetu tutazweka wapi sie TEAMKIBA,pia yule Kendrick alikuwa analinganisha kabisa eti MONDI=tuzo 25 na KIBA=3(kipindi Kile kabla ya KTMA) alafu anamalizia kusema wao international hawana haja na tuzo local kama zile...sasa kuna haja ya kuvote hapo?
Hodi hodi misukule iliyokimbia shule. Mpigieni kura Diamond mwanamuziki halisi.
Hodi hodi misukule iliyokimbia shule. Mpigieni kura Diamond mwanamuziki halisi.
pwilo she isnt worth it my dear, thats wht they know beta, just ignore it, thats tha beta way to deal with fools, hebu tucheketue kwa raha zetu.we jamaa hivi unaakili timamu wewe huku kwa kingkiba unafuata nn huku huyu ndo msekule sasa co cc halafu hta kule nimeona umetutukana teamkiba sasa ngoja nikucheketue #AbuuDady
Tutusa mkuu, kama nyoka wewe ni koboko. Kiumbe mwenye roho mbaya hapa duniani, ni hasara kwa taifa letu kuwa na mtu kama wewe. Bora ungezaliwa Bangladesh uzame baharini.
we jamaa hivi unaakili timamu wewe huku kwa kingkiba unafuata nn huku huyu ndo msekule sasa co cc halafu hta kule nimeona umetutukana teamkiba sasa ngoja nikucheketue #AbuuDady
Shika adabu yako wew kwamba wew unafaida sana? Mimi ni mbaya kuliko ata shetani kama ulikuwa hujui.... una kingine kama unacho sema! Mimi ndo mimi bhana maneno yako hayo ni kama ushuzi yanapita tuuu.
Team kiba tunaenda kutokana na nyie mnavyotuchukulia. Kwa mfano jana mimi nilisema namkubali mziki wa domo wa UKIMWONA n MAPENZI BASI. Lakini watu walikuja juu kama vifuu vya nazi wakijua kwa kiba kimenuka natafuta pa kukimbilia. Lakini mnashindwa kuelewa b4 kiba hajarudi kweny gem tulikuwa na domo so nitakuwa mnafiki nikisema kati ya nyimbo zote za domo hamna ninaoupenda ryt? Why mlireact vile? Team kiba sisi hatuna shida ila nyie ndo mpo na shida na sisi haswa baada ya domo kukosa tuzo za watu