Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Sasa apa unamuuliza nani? Nenda ka google
Akiuliza tena atakua ana moyo Wa mfungwa
Sasa apa unamuuliza nani? Nenda ka google
Majirani zetu sijui wako wapi?Karibuni tushare uzuri wa king
Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu..
NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!!
Vipi demu wako na prego...... Anaendeleaje ameacha usumbufu.
Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united?
He heee mmeona mwezii....
Sisi tumeshazoeaaa...
Yan kuonyeshwa kwenye vichanel viwil tu mnaanza fujo
Nilikuwa nawaza video itoke inikute nje ya nchi itakuwaje...
Au tuzo zitoke zinikute nipo nje ya nchi ingekuwaje...daah niliwaza sana.
Ha haa sasa cha ajabu nini??
Yani mngekuwa kama za dai zinavyooneshwa msinge lala...
Kwanza video ilishachuja kitamboo
Sankoro::sankoro
nifah wa kwanza ku comment, Hongereni (kidogo lakini)Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu..
NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!!
Majirani zetu sijui wako wapi?Karibuni tushare uzuri wa king
pumbavu mkubwa, mashabiki man u ni wastaarabu kabisa
Sielew ata alafu hanaga ata hasira ata matusi yeye jibu lake ni K 4real tuu
Tupe link tukavote yaani mie kura silazii damu.
Am a die hard fan wa Kiba......wewe mwaflani uliekuwa unahorojoka jana eti tunaact die hard fans....lako hili pita tena uliangalie kwa umakini upate cha kwenda kucomment si unapitaga kimya kimya unatuangaliiiiiiia kwa jicho lako la husda....kaogeeee bibi weee kisha kahemee vyupi vya wanao!!! Mxiiiuuuuu
Utadhani aliahidiwa ndoa, ye atulie tu maana ashapata chata la mfalme, genye zake kwa king zipo juu kweli
Oyoooooo, asante muandishi wetu wa habari wa Kiba Fans Ho. cute b....leo nimekupa heshima yako bibie, uko vizuri.
Leta link tuvote sie, wale wa mb 8, hata vocha za kupiga kura hawana ndio maana hawawezi kuvote.
Mwisho wa siku King Kiba akishinda wanakopa vocha halafu wanaingia humu na kumwaga povu utadhani walinyimwa wasipige kura.
Gudmorning #TeamMuzikiMzuri #Teamkiba haya sasa @officialalikiba ameingia kwenye tuzo za Archivers awards zinazotolewa na chuo kikuu cha Dar es salaam kama most inspiration music icon.(msanii aliewashawishi watu wengi kupitia muziki wake, maisha yake na heshima yake kwa jamii inayomzunguka.) Nadhani wote tunajua #KingKiba
alivyo wa inspire vijana wengi kupenda kuimba, jinsi anavyoheshimika kwa mchango wake kwenye jamii na pia kama msanii asie na skendo za ajabu na anajichangaya na kila mtu kwenye jamii awe wa hali ya chini au ya juuu.
Basi twendeni tukampigie kura
BADO SIKU 2 TU.. baada ya hapo tunaendelea na #kilimusicawards nifah, atoto, Ms.Lincoln, Avemaria, Diva Beyonce, unanitaka, Matola na fans wote wa kiba
Mbona umecheka? Unajua alifanyaje?hahahahaha
Hahahahaha, mapovu yameshaanza kumwagika....
Welcome back dear, ila umerudi mapema kuliko nilivyodhani...
Hongera.