Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sasa hiv KingKiba kapiga video na Director anayemnyima usingizi godfather, director Mejilabi na kaamua kumpotezea Godfather, huyu mejilabi video zake ni hatare ukipitia YouTube ndo lazima upande wa jirani zetu wapagawe kabisa, video safi utadhani zile za chris brown
 
Naomba tuheshimiane tena usi ni quot kama hauna point ya kuniambia.
Mimi sio demu wako wala ndugu yako so pita ivi utokee kule

Cheza sankoro sankro kama ronaldoooo sankoro sankoro
 
Tetetetete video imekufa kifo cha mende siku hiyo hiyo ilipotoka

😀😀😀 embu ingia YouTube uone una views ngapi halafu anagalia kipindi ilipotoka halafu kaangalie ile video ambayo kinachoibwa n scene haziendani inaitwa mwana uje utupe jibu home work yko iyo
 
Cheza sankoro sankro kama ronaldoooo sankoro sankoro

We unadhan mpaka diamond kushukuru Tbc kwa kuipiga hiyo video yake ni jambo la kitoto, ujue kashikiwa pabaya safari hii kwani hivi sasa media za tz zinampotezea balaa wameshaona huyu kijana sio riziki
 
Tetetetete video imekufa kifo cha mende siku hiyo hiyo ilipotoka

Iyo video inavyoombewa kuchezwa ni sheeda...domo akibaatisha inapigwa lazma apige picha yaan ananichekesha sana...
Ila ni sawa coz hakutegemea kama ingechezwa kwa kua ni wimbo mbovu video bovu
 
We unadhan mpaka diamond kushukuru Tbc kwa kuipiga hiyo video yake ni jambo la kitoto, ujue kashikiwa pabaya safari hii kwani hivi sasa media za tz zinampotezea balaa wameshaona huyu kijana sio riziki

Haaaah we mshamba embu kaanglie insta za Sean tizzle au olamide km unawajua wametoa video mpya kila iliplayiwa n station yoyote wana tuma km snx grow up ww
 
Nilikuwa nawaza video itoke inikute nje ya nchi itakuwaje...
Au tuzo zitoke zinikute nipo nje ya nchi ingekuwaje...daah niliwaza sana.
Sanx afro pop
 
Attachments

  • 1433590816261.jpg
    1433590816261.jpg
    38.1 KB · Views: 93
Mtafika lini hata video yenu ionekane sound city team kiba au ndo coming soon okey yamoto band hao hapo coming soon tunawangojeeea hata sound city kavideo chenu kaonekana cwezi jua may coming soon 😀

We jamaa kichwa chako kina usaha
 
Huyo jamaa mkimuweka kwenye ignore list wala hatowapa shida, me siku hz wala hanipi shda, halafu wala wasitupe shida, nimeisikia hyo nyimbo inayowapa kiburi, aliyoimba na p squre ni mbovu sijawahi kuiona, basi tu wanajitoa fahamu
 
Mtafika lini hata video yenu ionekane sound city team kiba au ndo coming soon okey yamoto band hao hapo coming soon tunawangojeeea hata sound city kavideo chenu kaonekana cwezi jua may coming soon 😀

Mwana inachezwa Africa na nje ya Africa , umenielewa ?
Alafu uache kupiga vijiscreen shot kutoka kwenye page za akina tale na fella
Piga picha kutoka kwenye Tv yako !!

Alafu apo sound city zinachezwa mpka ngoma za baba levo
 
Attachments

  • 1433591049387.jpg
    1433591049387.jpg
    18.6 KB · Views: 135
  • 1433591081935.jpg
    1433591081935.jpg
    20.8 KB · Views: 137
  • 1433591105146.jpg
    1433591105146.jpg
    25 KB · Views: 131
  • 1433591116658.jpg
    1433591116658.jpg
    30.4 KB · Views: 132
Mwana inachezwa Africa na nje ya Africa , umenielewa ?
Alafu uache kupiga vijiscreen shot kutoka kwenye page za akina tale na fella
Piga picha kutoka kwenye Tv yako !!

Alafu apo sound city zinachezwa mpka ngoma za baba levo

Ilichezwa Mara ngapi
 
TV yangu hii hapa upo afro music wametoka kuiplay sasa ivi
 
Mwana inachezwa Africa na nje ya Africa , umenielewa ?
Alafu uache kupiga vijiscreen shot kutoka kwenye page za akina tale na fella
Piga picha kutoka kwenye Tv yako !!

Alafu apo sound city zinachezwa mpka ngoma za baba levo

Sound city wakaiplay nakupenda by inyanya ft diamond live thru t.v yng we TV yko IPO wapi inayoplay wimbo wa kiba uache kuchukua kwa Millard ayo umeckia
 
Back
Top Bottom