Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba ndo mwenyewe mfalme atadumu milele na milele!

Promo na iendelee vote for KingKiba

Hafu huyo apololo kumbe ni muuza njiwa hapa mjini nadhani ni wa kumpuuza tu. Life gumu linamsumbua hapo kanunuliwa bundle.
 
Peleka kwenye Uzi wake huku hatatuhusu mambo yake Invisible pitia huku. Uwe unakuja na I'd yako iliyozoeleka mana wajifanya kichwa ngumu. Nyie timu ndomo sijui mkoje yakiwashinda kila siku kuja na vi I'd vipya juzi mumeanzisga Uzi wa kizushi.

@modetator, Invisible wote wanaumwa vidole hawawezi kuzihamisha hizo post za ndomo kuzipeleka kule kwao na ndo maana hawa watu wanavimba vichwa.
Kule kwao anaenda kucomment kwa ID yake ya kawaida then anakuja kuchokoza huku kwa ka ID kengine!

Taratibu hivi hivi mwishoe wanaanza kufungua threads kudiss wenzao.
 
Last edited by a moderator:

It's so boring kuja kwenye Uzi special kwa ajili ya Kiba na kupost yasiyo mhusu. Wana tabia mbovu isiyo ya kistaarabu kabisa hafu wanakuja na I'd mpya kwao wana comment na I'd zao zilizozoeleka. Huko ka si ukosefu wa ustaarbu nini? Please Invisible do something uu utoto umezidi sasa and it's intolerable kabisa.Naona hii tabia imezidi kukua sasa. Hamishieni taarifa na picha za dai kwenye Uzi wake.
 
Last edited by a moderator:
Peleka kwenye Uzi wake huku hatatuhusu mambo yake Invisible pitia huku. Uwe unakuja na I'd yako iliyozoeleka mana wajifanya kichwa ngumu. Nyie timu ndomo sijui mkoje yakiwashinda kila siku kuja na vi I'd vipya juzi mumeanzisga Uzi wa kizushi.

Alafu huyu sijui ni mmoja wa wanawake walozaa na kiba!! Maana hizo mimba zinamuuma kweli
 
Last edited by a moderator:
Tupe link tukavote yaani mie kura silazii damu.
Am a die hard fan wa Kiba......wewe mwaflani uliekuwa unahorojoka jana eti tunaact die hard fans....lako hili pita tena uliangalie kwa umakini upate cha kwenda kucomment si unapitaga kimya kimya unatuangaliiiiiiia kwa jicho lako la husda....kaogeeee bibi weee kisha kahemee vyupi vya wanao!!! Mxiiiuuuuu

Gudmorning #TeamMuzikiMzuri #Teamkiba haya sasa @officialalikiba ameingia kwenye tuzo za Archivers awards zinazotolewa na chuo kikuu cha Dar es salaam kama most inspiration music icon.(msanii aliewashawishi watu wengi kupitia muziki wake, maisha yake na heshima yake kwa jamii inayomzunguka.) Nadhani wote tunajua #KingKiba
alivyo wa inspire vijana wengi kupenda kuimba, jinsi anavyoheshimika kwa mchango wake kwenye jamii na pia kama msanii asie na skendo za ajabu na anajichangaya na kila mtu kwenye jamii awe wa hali ya chini au ya juuu.
Basi twendeni tukampigie kura
BADO SIKU 2 TU.. baada ya hapo tunaendelea na #kilimusicawards nifah, atoto, Ms.Lincoln, Avemaria, Diva Beyonce, unanitaka, Matola na fans wote wa kiba
 
Last edited by a moderator:
Huyo kedrick wakati anatiwa mimba alikuwa anafurahia tu why now ndo aanze kuropoka au alidhani mimba ndo kila kitu?
Ye atulie

Utadhani aliahidiwa ndoa, ye atulie tu maana ashapata chata la mfalme, genye zake kwa king zipo juu kweli
 
Last edited by a moderator:
Oyoooooo, asante muandishi wetu wa habari wa Kiba Fans Ho. cute b....leo nimekupa heshima yako bibie, uko vizuri.
Leta link tuvote sie, wale wa mb 8, hata vocha za kupiga kura hawana ndio maana hawawezi kuvote.
Mwisho wa siku King Kiba akishinda wanakopa vocha halafu wanaingia humu na kumwaga povu utadhani walinyimwa wasipige kura.
 
Last edited by a moderator:
It's so boring kuja kwenye Uzi special kwa ajili ya Kiba na kupost yasiyo mhusu. Wana tabia mbovu isiyo ya kistaarabu kabisa hafu wanakuja na I'd mpya kwao wana comment na I'd zao zilizozoeleka. Huko ka si ukosefu wa ustaarbu nini? Please Invisible do something uu utoto umezidi sasa and it's intolerable kabisa.Naona hii tabia imezidi kukua sasa. Hamishieni taarifa na picha za dai kwenye Uzi wake.

Robot la Invisible lipo Viettnam linafanyiwa upasuaji wa vidole huku umebaki mchoro wake tu!
 
Last edited by a moderator:
Sijui walitaka Kiba abakie yupo yupo tu ndo roho zao ziridhike.

Na anawaumiza kweli, wanatamani asingeshabikiwa hataaaaa!! Roho mbaya tu km wauza sumu, ndio twamshabikia tenaa na hatuachi ng'ooooo hata aimbe mchiriku
 
Tupe link tukavote yaani mie kura silazii damu.
Am a die hard fan wa Kiba......wewe mwaflani uliekuwa unahorojoka jana eti tunaact die hard fans....lako hili pita tena uliangalie kwa umakini upate cha kwenda kucomment si unapitaga kimya kimya unatuangaliiiiiiia kwa jicho lako la husda....kaogeeee bibi weee kisha kahemee vyupi vya wanao!!! Mxiiiuuuuu
cute b wapi link?
 
Last edited by a moderator:
Alafu huyu sijui ni mmoja wa wanawake walozaa na kiba!! Maana hizo mimba zinamuuma kweli

Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
Madhira anayopata nikimwona namuhurumia
Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawaaa

Mimi na yule (yuleee) tulioana yulee

Maji ya mapenzi aloonyesha yalifuata mkondo yakaenda...
Na radi ikapiga kuonesha kwamba nilimpenda sana
...

Mimi na yule (yuleeeee) tulifunga ndoa

Arakata tatatataaaa dulesheleee dusheleeee

kedrick utahanja sana ila kwenye le royal family hunusi!
 
Last edited by a moderator:
Oyoooooo, asante muandishi wetu wa habari wa Kiba Fans Ho. cute b....leo nimekupa heshima yako bibie, uko vizuri.
Leta link tuvote sie, wale wa mb 8, hata vocha za kupiga kura hawana ndio maana hawawezi kuvote.
Mwisho wa siku King Kiba akishinda wanakopa vocha halafu wanaingia humu na kumwaga povu utadhani walinyimwa wasipige kura.

Ni mwendo wa kuvote tu wale wa mb 8 sunna yao WhatsApp na kwenyewe mara 1 tu heheh pole yao!
 
Last edited by a moderator:
Oyoooooo, asante muandishi wetu wa habari wa Kiba Fans Ho. cute b....leo nimekupa heshima yako bibie, uko vizuri.
Leta link tuvote sie, wale wa mb 8, hata vocha za kupiga kura hawana ndio maana hawawezi kuvote.
Mwisho wa siku King Kiba akishinda wanakopa vocha halafu wanaingia humu na kumwaga povu utadhani walinyimwa wasipige kura.

Mie tena hahahahaaaaaa asante mamy kwa heshima uliyinipa..
Link nishaitupia unaingia tuu direct
 
Last edited by a moderator:
Tupe link tukavote yaani mie kura silazii damu.
Am a die hard fan wa Kiba......wewe mwaflani uliekuwa unahorojoka jana eti tunaact die hard fans....lako hili pita tena uliangalie kwa umakini upate cha kwenda kucomment si unapitaga kimya kimya unatuangaliiiiiiia kwa jicho lako la husda....kaogeeee bibi weee kisha kahemee vyupi vya wanao!!! Mxiiiuuuuu

Link tayari mama wahi fasta
 
Back
Top Bottom