Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani kwanza kabda hamjaanza kutupa matusi..mimi sina team..mimi team good music aka mziki mzuri..either ali kiba,diamond,tid,Bella- ,jd ,sijui nani kama music is good i will support..Tatizo kubwa- la kwanza linalomfanya Ali kiba kutokendelea ni kutwa kushindana na diamond yani nimegundua anatumia muda mwingi kushindana na diamond ..
Trust me this- boy has talent kama muda mwingi ange invest kujifanyia kazi zake na kuboresha art yake angefika mbali. .
Nikiongelea kuboresha I mean
Great management behind him sio uswahili wake wa kuleta ujanja ujanja
Na kujifanya yeye na mdogo wake ndo ma meneja ..mfano video ya mwana
Kakulupuka video imemla pesa nyingi lakini mpaka sasa hivi ile pesa aliyotumia
Kwa video haijarudi. .video yenyewe kaibiwa tu ili imradi na yeye aonekane kafanyiwa na god father ..wakati AJ angeweza kutoka a better video..hii inaonesha jinsi gani kipimo Chao ni diamond yani watu walio behind wanamjaza. .mwisho but not least Aache kufanya mziki na Abdu kiba- najua ni mdogo wake ila dogo hana sauti ana force sana kipaji hana atafute means nyingine ya kuishi na sio kuimba ..
- Ntalejea or to be continued with more .
 
Tupa kuleeee or pita hivi...! Hapa ni mwendo wa Team flani but vigilante nachana kote kote...!
 
Umejuaje kuwa ana shindana na mond wewe. Na alikuja kukulalamikia kuwa anakula hasara. Naona umeandika personal issues zaidi sasa ulitaka asiwe close na mdogo wake awe na nani labda.?
Hoja yako haina mashiko hadi business class sijui nini umeandika pumba tupu. Nothing new ka unapenda domo endelea kumpenda hivo hivo sio kuanza Ku attack usichokikubali.
 
Sijaona mantiki ya kuanzisha thread....kwa jambo kama hilo...!
 
Umejuaje kuwa ana shindana na mond wewe. Na alikuja kukulalamikia kuwa anakula hasara. Naona umeandika personal issues zaidi sasa ulitaka asiwe close na mdogo wake awe na nani labda.?
Hoja yako haina mashiko hadi business class sijui nini umeandika pumba tupu. Nothing new ka unapenda domo endelea kumpenda hivo hivo sio kuanza Ku attack usichokikubali.

Watu wengine bhaaana...
Hayo ndo madhara ya kutokunywa chai mtu unaandika pumba tuu ili na yy awe ameanzisha sred
 
Watu wengine bhaaana...
Hayo ndo madhara ya kutokunywa chai mtu unaandika pumba tuu ili na yy awe ameanzisha sred

Welcome back dear, ila umerudi mapema kuliko nilivyodhani...
Hongera.
 
Welcome back dear, ila umerudi mapema kuliko nilivyodhani...
Hongera.

Asante mamy... ata mimi mwenyewe sikutegemea kama ningerudi leo yaani.
Nilikuwa nimekatiwa ticket ya tar 10 ila leo nipo apa.
 
Nyie team domo mtaelewa tuu mwaka huu
 
Attachments

  • 1433585783158.jpg
    1433585783158.jpg
    20.4 KB · Views: 153
Asante mamy... ata mimi mwenyewe sikutegemea kama ningerudi leo yaani.
Nilikuwa nimekatiwa ticket ya tar 10 ila leo nipo apa.

Ongea taratibu bwana.Mods hua wanaangalia na nidhamu yako labda.
Wengine tukiwepaga ban tu tunahangaika na id's mpya.Huenda wewe hujafanya hivyo ndio maana.
 
Ama neneee....
Ngoma ikiachiwa nahisi watu hawatapumua...
Afu kweli aiachie b4 Ramadhan ili kwa pamoja tucheketuee...
Mambo zenu jamani.. nimewamith daaaaahhhh.

Miss you more cuttie...bora umerudi kabla video haijatoka...
 
Back
Top Bottom