Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Watu wengine bhaaana...
Hayo ndo madhara ya kutokunywa chai mtu unaandika pumba tuu ili na yy awe ameanzisha sred
Ahahahaaa!!tumeachiliwa wengi kwa msamaha wa rais.

Eti Kiba akipanda ndege tunaletewa thread. ..khaaa!
Nyie team domo mtaelewa tuu mwaka huu
😀😀😀😀 Mr coming soon. Kasema nn tena kina coming soon video ya cheketua, collabo n Bella kingingine 😀😀 nataka matusi mapya plz coming soon 😀
Vipi demu wako na prego...... Anaendeleaje ameacha usumbufu.
Ahahahaaa!!tumeachiliwa wengi kwa msamaha wa rais.
Vipi demu wako na prego...... Anaendeleaje ameacha usumbufu.
😀😀😀😀 Mr coming soon. Kasema nn tena kina coming soon video ya cheketua, collabo n Bella kingingine 😀😀 nataka matusi mapya plz coming soon 😀
Pita ivi sibishanagi na wajinga na kama umetumwa mwambie aliyekutuma sitaki ban
Ongea taratibu bwana.Mods hua wanaangalia na nidhamu yako labda.
Wengine tukiwepaga ban tu tunahangaika na id's mpya.Huenda wewe hujafanya hivyo ndio maana.
Miss you more cuttie...bora umerudi kabla video haijatoka...
Mtafika lini hata video yenu ionekane sound city team kiba au ndo coming soon okey yamoto band hao hapo coming soon tunawangojeeea hata sound city kavideo chenu kaonekana cwezi jua may coming soon 😀
Eti Kiba akipanda ndege tunaletewa thread. ..khaaa!
Hahaaaaa kweli kabisa ma dia sio kila kitu ni ushabiki. Sasa hataki mtu afatane na ndugu yake wa damu si shiiigda tu au kupanda ndege.
Mamaaa acha tuu nisikuhadisie apa maana nahisi nitarudishwa ndani...
ila nashukuru kwa huruma yao
Kumbe ulipigwa ban ma dia nilikua sikuoni mweeeh pole sana bora umerudi tena.
Ban ulipigwa ban pole sn punguza matusi mbona mie situkanagi eh team coming soon punguzeni matusi don't panic
Ban ulipigwa ban pole sn punguza matusi mbona mie situkanagi eh team coming soon punguzeni matusi don't panic
Team video 3 (TeamV3) punguzeni fujo aisee, nahis mna hali mbaya kisa tu kuona picha za behind the scenes, je ikitoka video yenyewe si mtakufa kwa vihoro