Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ha ha ha ha ha chezea mutoto muzuri kutoka Zenji aliyeko UK wewe?
Jamani wanawake tujifunze kutokana na hili la Zari.Hii tabia ya kuparamia wanaume tusiowajua na kuanza show off na vijembe vya hatari tuache.
Ona sasa kama ni kweli Zari anaadhirika vipi? Na mimba akajibebesha kumkomesha wema, ataiweka wapi hii aibu?
Atulie tu na kukubali kua kuchapiwa ni siri ya ndani kama alivyokoma mashauzi maana huko insta yuko kimya kama sio yeye.
Mwanaume/mwanamke aliyetoka kubreack up na mpenzi wake anakua hana mapenzi ya dhati bali kulipiza kisasi.Na wale wote wanatumiana kulipa visasi....hapo sasa!
nifah dada mwenyewe ndo huyuuuu?
 

Attachments

  • 1432384524039.jpg
    1432384524039.jpg
    16.6 KB · Views: 88
Last edited by a moderator:
Haya sasa tuangalie yajayo sasa tunaomba tuliimarishe taifa la wana cheketua, kwanzia leo mpaka siku ya tuzo za KTMA ni kupiga kura tuu. Yaan ukipanda daladala chukua simu ya majiran muombe kutuma mesej afu piga kura. Hapa ni mwendo wa kushinda tuzo zoooote. Asanteni
 
Haya sasa tuangalie yajayo sasa tunaomba tuliimarishe taifa la wana cheketua, kwanzia leo mpaka siku ya tuzo za KTMA ni kupiga kura tuu. Yaan ukipanda daladala chukua simu ya majiran muombe kutuma mesej afu piga kura. Hapa ni mwendo wa kushinda tuzo zoooote. Asanteni

Oyooooooo pamoja mkuuu.........
Siku ya KTMA ni lini?
 
Nilisoma mahali eti kamtumia domo wapelelezi ....

Shoga hebu umwage huo ubuyu vizuri basi? Na atakoma na hashuo zake.Mwanaume anapelelezwa tokea lini?
Bora angekua mwingine ila sio domo pasua kichwa.
 
Hata mi nilijua tu hakuna kudumu. Nikasema nisiongee sana nisije onekana hater. Yani yule ni kiboko aisee aliona mbali kwa darubini Kali.

Mimi je? Niliamua tu kukaa kimya ila moyoni nilimkubali yule jamaa kua kaongea fact...
Domo ni bado kijana isitoshe alikulia kwenye maisha ya kimasikini sasa pesa kazipata lazima afanye starehe.
Hawezi kua hubby material yule.
 
Rumours hizo mwenzangu lakini lisemwalo?
Bibie tokea juzi hizo habari zilivyovuja hajapost chochote.So kuna kitu kinaendelea hapo....ila itabidi ajikaze tu maana hakuna jinsi ndio utu uzima huo.

Hata mimi nilikua disappointed sana lakini mwisho wa siku nikaona haina haja ndio maisha yake aliyojichagulia.

...............kama halipo laja!!
Na ivumayo sana.....???

Dah ngoja tusubirie, msemakweli ni muda.
 
Shoga hebu umwage huo ubuyu vizuri basi? Na atakoma na hashuo zake.Mwanaume anapelelezwa tokea lini?
Bora angekua mwingine ila sio domo pasua kichwa.

Kumbe hujapata huo ubuyu eeee....ngoja nika cupture kule insta
 
Ndie huyohuyo shoga! Hatariiii japo bado mambo hayathibitika...
Naona domo kachoka wasichana kahamia kwa wamama maana nasikoa huyu nae ana watoto watatu!
Angekua Kiba mbona tungekoma?

Fact wamama wanajuwa mambo na wana utamu wake. Raha ya mechi bao vitoto visivyojuwa utamu wa kukojoa vinaendekeza pesa tu.
 
Aiseee diamond ana ela embu pigeni hesabu kalipa elfu 10 kwa boda boda hao aiseee nyie cjui account ya kibwa inasoma tshs ngapi

Weee mburula angekuwa na hela angehangaika na matamasha bila kupumzika?? Hhahahahha. Bodaboda zimekodiwa na jembe, msukuma mwenye sifaaaaa hahahahah
 
Mbona kiba alikodisha watu kumzomea diamond fiesta n kwny TIGO music concert walikuwepo walivyo anza kuzomea wakawa wanarushiwa elfu 2 n diamond mashabiki wa kiba wakanza kumshangilia diamond mnajaa sn km msanii wenu kiba

Sasa unaanza kuingia laini kuwa bodaboda zimekodishwa safiiiiiiii! Leo acha tujae tu bana, tunywee kwani tumekosa tuzo???
 
Code si ndo hizi hizi au zimebadilika??Now nipo home place ni mwendo wa kuvote tu!!

Haya haya jamani wakati wa kupiga kura KTMA ndio umeshafika.
Yafuatayo ni maekekezo ya jinsi ya kumpigia King Kiba kura na vipengele vyake.

1.Mtumbuizaji bora wa kiume CODE # DA4

2.Wimbo bora wa mwaka CODE # AB1

3.Mwimbaji bora wa kiume CODE # BB1

4.Mtunzi bora wa mwaka CODE # FB1

5.Video bora ya mwaka CODE # GA3

6.Wimbo bora wa Afropop CODE # AH1

7.Wimbo bora wa kushirikiana CODE # AL4

Jinsi ya kupiga kura.
1.Tuma hizo code # kwenda namba 0686 528 813 kwa kutumia WhatsApp.

2.Tuma hizo code # kwenda namba 15415.

Kwa wale wa WhatsApp nadhani itakua rahisi kwetu.

NB.Tuma code moja moja kwa kila sms usiunganishe zote kwa pamoja.Nimejaribu kutafuta jinsi ya kupiga kura online nimeshindwa!
Mwenye kujua zaidi naomba atufahamishe.
Pionaire njoo hapa nadhani utaelewa vizuri sasa.
Vote vote for King Kiba.
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahaahah sasa jifikirie video hakuna na mmepigwa bao, hahahahhaha hiyo ni audio nyi hangaiken kutoa video kila siku wakat si tunachekechaaa hahahahaha rahaaaaa

Hahahaaaaa leo raha sana jamani wakuja na wahame!

Sasa unaanza kuingia laini kuwa bodaboda zimekodishwa safiiiiiiii! Leo acha tujae tu bana, tunywee kwani tumekosa tuzo???
 
Back
Top Bottom